sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
Mtindo wa kuacha maziwa wazi hasa kwa wasichana umeibuka kwa kasi katika kipindi huku wengine wakijikuta wanavaa namna hiyo hata wawapo ofisini wakiwamo wanahabari ambao ni kioo cha jamii.
Sijaelewa mantiki hasa ya uvaaji huo,kwani kila msichana kwani kila msichana anavaa kwa malengo tofauti na ya mwenzake.
Lakini wajuzi wa mitindo wanasema kuwa kuvaa hivyo katika eneo la kazi ni kinyume,kwani kama mtu anaenda madiskona ni nyakati za usiku sawa vaa vivazi vyako.
Hivyo basi mpaka hapo utaona kwamba wapo wengi wanaovaa ili mradi tu wamevaa tu na pengine hawajui mitindo mingine ni ya kuvaa kwenye madisko.
Nawakilisha.