Mavazi yanayoonyesha maziwa hayakubaliki.

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Mtindo wa kuacha maziwa wazi hasa kwa wasichana umeibuka kwa kasi katika kipindi huku wengine wakijikuta wanavaa namna hiyo hata wawapo ofisini wakiwamo wanahabari ambao ni kioo cha jamii.
Sijaelewa mantiki hasa ya uvaaji huo,kwani kila msichana kwani kila msichana anavaa kwa malengo tofauti na ya mwenzake.
Lakini wajuzi wa mitindo wanasema kuwa kuvaa hivyo katika eneo la kazi ni kinyume,kwani kama mtu anaenda madiskona ni nyakati za usiku sawa vaa vivazi vyako.
Hivyo basi mpaka hapo utaona kwamba wapo wengi wanaovaa ili mradi tu wamevaa tu na pengine hawajui mitindo mingine ni ya kuvaa kwenye madisko.

Nawakilisha.

mobimbaa ya maama eeh, mobimba ya mama ooh.

kuna haka kawimbo haka sijui nani alikaimba mweee. wamegundua wanaume wanazubaa wakiona maziwa injeinje.

zamani mwanamke hata akinyonyesha ziwa lilifichwa analiona mtoto tu. mh sikuhizi mmmmmmmh.

Siku hizi mambo yamekuwa KINYUME,,,,,,,,

Hili nalo ni janga,maana utakuta mtu mzima na akili zake anavaa mavazi ya ajabu,na cha kushangaza zaidi mtu miguu ina upele au mabaka mabaka alafu anavaa sketi fupi(kimini) sielewi mantiki ya kuvaaa hivyo.

Waache tu maana kunawataalam wamebaini kitendo cha mwanaume kuangalia 'mewata' zao kinafaida kwa afya ya moyo

sredi imepwaya sababu za kukosa picha, maana sredi kama hizi zinatakiwa na picha ili tuone mnachokisema

sredi imepwaya sababu za kukosa picha, maana sredi kama hizi zinatakiwa na picha ili tuone mnachokisema

Yatosha bila picha. Kuvaa namna hiyo ni dalili za uhuni na tabia mbaya. Kuna mtangazaji fulani alishawahi kupigwa madongo sana kwenye kituo kimoja cha TV aliacha matiti nje '' ilikuwa live. Na mwaka huu ameamua kutuonyesha action ya kweli kabisa kwenye TV kutoka bondeni.Hivyo theory imeprove kuwa mara nyingi hawa ni wafanyabiashara za .... kama kinondoni.

Kama ilivyo fashion ya nywele (wigi,rasta,n.k) ni vivyo hivyo ilivyo kwa;
-mitindo ya nguo
-................ viatu
-............... sunglass
UVAAJI
............jeans ya kubana
.............vitop
.............. Y string na sasa kutovaa kabisa
........kuanika nido
nk
nk
nk

sophia-vergara-cleavage1.jpg

You meant cleavage?

dawa, unamaanisha matiti? ukisema maziwa mi nawaza mtindi wa baridii,kasukari kwa mbali na sliced strawberries...

Mtindo wa kuacha maziwa wazi hasa kwa wasichana umeibuka kwa kasi katika kipindi huku wengine wakijikuta wanavaa namna hiyo hata wawapo ofisini wakiwamo wanahabari ambao ni kioo cha jamii.
Nawakilisha.

kwa hiyo unamaanisha kama mtu ana mguu wake wa kutosha with silky look its ok kuu-expose? basi kama mtu ana boobs za kuvutia si a-expose pia! weeh furahia uumbaji wa Mungu achana nao! usishangae manake utapigwa mweleka tu,usijesema sikukuonya,lol
Hili nalo ni janga,maana utakuta mtu mzima na akili zake anavaa mavazi ya ajabu,na cha kushangaza zaidi mtu miguu ina upele au mabaka mabaka alafu anavaa sketi fupi(kimini) sielewi mantiki ya kuvaaa hivyo.

It is very Hypnotic ... They don do it for themselves .... Its for Men and It gives all them Power !!!

The world is centred in Feminine Power at the moment and Musculine Power is destined for extinction .... Take care!!

S.Ivuga leo tunaongelea maziwa ya akina dada njenje,hatuongelei K-K ya akina kk sasa ina maana akina kk nao wana boobs?tafuta mda na siku ili tuongee pia kuhusu k-k ya nini kuchanganya mada.

Similar Discussions

Back
Top Bottom