MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Mda wakuvunja utakua nao kweli? Atakuwai
Nitakuwa nao huyo MTU inaonyesha hanipendi sasa akikuta na discuss mambo private ya kike yeye anafuatilia tu hata ka kunichunga nikitaka Fanya kitu sijifichi.kwanza siku hizi watu hawachart sensitive matters kwa mitandao ni hatari.
 
Bora uyavunje mahusiano kabisa maana utakuwa umejiacha uchi hasa, mara aingie kwenye group la kungwi wako kucheki michango yako , mara asome chat history ya group lako la saluni,
mara asome michango yako kwenye group la famili n.k
Hahaaaaa haipendezi kwanza mi MTU anayefuatilia vtu vya kijinga ka hivo hanifai ana tatizo kubwa mno aisee. Kila MTU ana deserve privacy sasa yeye had chart na nduguzo anajua ili afaidike nini. Mie kwa nimupendaye siwezi kumfanyia hivo.
 
Vizuri sana

Hivi akiwa mbali itawezekana
akiwa mbali itawezekana endapo tu kabla hajaenda huko mbali ulifanya huu mchakato

yaani ukisha fanikisha ni kwamba hata aendewapi badoutakuwana uwezo wakupata kila meseji inayo ingia na kutoka kwenye simu yake
 
Ninawasichana wanne wote inawezekana kuwafanyia hivyo na inafutika
itakubidi udownload app iitwayo

parallel space ambayo itakuwezesha kutumia whatappWeb mbili au zaidi katika simu yako.

PIA HIYO PARALLEL SPACE INAKUWEZESHA KUFANYA YAFUATAYO
kuwa na account mbili za facebook
kuwa na account mbili za whatsapp
kuwa na account mbili za insta n.k

zote hizo kwenye simu moja.
 
Kujitesa tu kufatilia mawasiliano ya mtu kwanza si vzuri, mi mtu wangu nikigundua kanifanyia huo ujinga basi navunja mahusiano.
Kwanini wanawake mnaogopa sana kufanyiwa hivi nazani mnajijua mlivyo mnatisha sana .mm niliwai kufanya kwa demu niliyo kutananayo ni noma ila nilikuwa nimemjulisha namchunguza alikuwa anashida na mm kumfuatilia kwa hiyo njia mana Mimi ndo huwa nawasetia simu zao mambo mbalimbali hadi pass word zao wakisahau wananifuata mm
 
Nikimgundua hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, bagosha, hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.

lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma ktk PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.

sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.

fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install ktk simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili
ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. binyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uiffungue italuletea hiyo cod iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

nimeshindwa kuupload screenshots

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.

KWENU MOD KAMA MADA HII ILIKWISHA WEKWA HUMU MNAWEZA KUIFUTA AU KUIUNGANISHA
ila tu iwe na maudhui kama haya ambayo yamekusudiwa katika mada hii.
nipo tayari kukosolewa.
Serikali ndo wadukuzi no moja duniani kama ni kosa mbona serikali zote zinadukua mm simu yangu hadi key board yangu inadukuliwa sijui na nani hadi nataka kutoa tigo pesa yangu mana Nina zaidi ya m1
 
Wadau wengi wanaogopa kufanya hii kitu kwa nn? Naona mnasingizia presha... cjui magonjwa ya moyo...
Kwan ni vibaya kujua madud ya mwenzio
 
Back
Top Bottom