Mauno ya ROSE MUHANDO Jamani!!

kuna mahali nimeona anashake boobs tena mwenyewe hadi nikakoma,Ila ndo hivyo ukiongea sana kuwakosoa hawa wengi watakupinga,kuna style ambazo watu hawawezi kucheza mbele za baba au wajomba zao lakini wanamchezea Mungu ukihoji unaambiwa mbona David alicheza hadi nguo zikadondoka.Ulokole wa siku hizi ume adjustiwa ili uwe mrahisi ndo mana mambo mengi yanaacha maswali.
Anamchezea Mungu, mungu hana macho kama baba na mama.....tehe tehe tehe...
Kama mungu angekuwa anakaa kanisani kweli hawa wange shake boobs mbele yake?
 
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani
Mungu wetu ni mkuu kuliko wote,anastahili sifa zote zilizo njema. Enzi na utukufu vyote ni vyake,yeye ni alfa na omega. Hata kama nyie hamtaimba na kucheza mbele yake,''mawe yaitamba mbele za bwana''(lugha ya picha). Rose Muhando endelea kuliimba na kulitukuza jina la Mungu wa Ibrahimu wala usirudi nyuma,
 
Mungu hajawahi wala hana mpango kuomba msaada kwa binadamu kulinda imani duniani. Kila mtu ana uhuru kumwabudu au kutomwabudu, cha moto tu baadae kitafuata!

Yaani namaanisha, hakuna ''tetea dini ya Mungu kwa ncha ya upanga'' katika ukiristo. Mungu anatupigania sio wenzetu wanaompigania Mungu wao.

Rose ana uhuru wa kucheza awezavyo, kuimba atakavyo. Kuangalia ni uamuzi wako.

uyasemayo sio kweli hata akili ya kawaida inakataa. katika jambo lolote unalotaka kulifanya lazima ujiulize je angekuwa Mungu binafsi anaweza kufanya hayo unayotaka kufanaya au je unaweza kumwomba Mungu kulifanya jambo hilo unalotaka kulifanya. Nafsi roho na dhamiri bila shaka zitakukatalia. ndiyo maana hata Mungu anasema tutumie akili ipasavyo na tusiwakwaze watu na mwenendo wetu uwe kielelezo kwa wanadamu na kwa Mungu.

akifanyacho Rose ni kutafuta biashara hamna Mungu wala utukufu ndani yake
 
Mungu hajawahi wala hana mpango kuomba msaada kwa binadamu kulinda imani duniani. Kila mtu ana uhuru kumwabudu au kutomwabudu, cha moto tu baadae kitafuata!

Yaani namaanisha, hakuna ''tetea dini ya Mungu kwa ncha ya upanga'' katika ukiristo. Mungu anatupigania sio wenzetu wanaompigania Mungu wao.

Rose ana uhuru wa kucheza awezavyo, kuimba atakavyo. Kuangalia ni uamuzi wako.
Hapa umenukuu kifungu gani katika kitabu kitakatifu? elekeza tafadhali ili tujieleimishe.
 
Michael Jackson was under contract with Sonny..Rose Muhando is in contract with Sonny... Warn her maana Sonny ni ya FM!
 
Nakubaliana na wewe na huo ndiyo ukweli wenyewe.

Hata Pinda kagoma kuachia ngazi, yeye na Mawaziri wenzake ni FREEMASONS.

Ile Gari ya Kikwete iliyowekewa mafuta yaliyochakachuliwa na ikagoma kutembea ilikuwa FREEMASONS.

Ndege ya ATCL ilikuwa ni FREEMASONS...... Freemasons RULE.

Huyu mama anadanganya sana. Huo utamu anaouimba ni kama ule utamu wa Adam na Eva....

Sijui haka ka mama ni kafundi kiasi gani kwenye Mauno ya kikwelikweli. Ila hawa Muhando, watu wa Tanga, mhhh!!!!!

Aisee. We have carried the Freemason thingy too far. Recently niece and company were watching Rihhanas "diamonds" hit on MTV. Then it happened, a statement most unfounded from seven year old minds "Farasi wa Rihhana ni Freemason!
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanajaribu kusaka soko la muziki kwa mapana yake.....soko la watu wa mataifa ni kubwa!
 
I think this Preachers Uchwara they have taken this issue to all Nyumba za Sala. Since the brain of Kids can catch everything easily, they believe every thing belong to those Musicians is Freemasons. So why not those Farasi?
Aisee. We have carried the Freemason thingy too far. Recently niece and company were watching Rihhanas "diamonds" hit on MTV. Then it happened, a statement most unfounded from seven year old minds "Farasi wa Rihhana ni Freemason!
 
Anamchezea Mungu, mungu hana macho kama baba na mama.....tehe tehe tehe...
Kama mungu angekuwa anakaa kanisani kweli hawa wange shake boobs mbele yake?

Wanaongopeana2 Mungu haabudiwi hivyo! Biblia inasema alie lala ktk kristo amelaaniwa
 
lakini ujumbe umefika haijalishi anaimba katika huzuni ama furaha habari njema itatangazwa pande zote za dunia bila kujali ni kitu gani kitumike kufikisha injili
 
Wanaongopeana2 Mungu haabudiwi hivyo! Biblia inasema alie lala ktk kristo amelaaniwa

we unaakili za kuazima ndo mnadanganyana misikitini hvyo eti?mara Yesu alikuwa muislam cjui muhamad alianzsha nn?kati ya Biblia na kuran nn klianza? ----- wewe.
 
Mungu wao ana nyege kweli,kaamrisha watu waimbe na wakate mauno mbele yake.Aah hizi dini za kucheza ngoma na kukusanya michango na kuibatiza jina la sadaka we acha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom