Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

Akili zingne bhana! Mnapiga mapicha ya uchi halafu bdae ndo mwaanza kujutia! We kuku mdogo, nafsi inayoteseka, itakayoteseka au itakayoenjoy ni ya kwako, nadhani jibu la jumla uko nalo wewe na majibu ya hapa unayahitaji ili ujiridhishe na uamuzi ulio nao moyoni wa kuthuka au kunyoa! Ila ingekuwa me ndo wewe, ningeendelea nae ila kwa tahadhari manake waweza kuta wewe unatumika kumtia mshkaji wivu may be after some misunderstanding, then bdae wanarudiana we unabaki unalia na roho.
 
mkuu....ngumu iyo...

Ugumu uko wapi? huoni hapo kuna habari ya sizitaki mbichi hizi?

kwa mtoa mada:
kama umempenda huyo binti ni vyema uongee naye na kujua pia msimamo wake u wapi
Na ni wazi kuwa wanaume wengi huwa hawaamini kuwa mwanamke anaweza kuwa wa kwanza kuvunja mahusiano
Wengi hutegemea kuwa iwapo uhusiano utafikia level ya kuvunjika basi mwanaume ndiye mwenye uhalali wa kusema sasa basi
Wengi huumizwa na kuachwa na mwanamke, na hivyo hiyo "resentment" yaweza pelekea hata kumdhuru binti au mpenzi mpya wa binti.

Hivyo mchukulie huyo X.BF kama mkosaji, na ongea na muhusika wako. Ila pia akili za mbayuwayu changanya na za kwako---by JK.

Happy weekend
 
Piga chini kama huyu demu hataiweka vizuri hii topic iliyokupata. Yawezekana ni gold digger, sasa jamaa kapata tena hela imesimama anamtaka
 
Huyo jamaa asikutie mshasha, we endeleza na huyo mtoto. Usiyatazame hayo ya nyuma we mtazame huyo mpenzi wako kuanzia mlipoanzia na uangalie mwenendo wake kadiri mnavyosonga mbele.
 
LD wapi wewe?? Ulipotea sana my dear, welcome back jamvini.......I hope everything is alright.
Nipo mzima wa Afya, Ila sasa uchumi mbovu umesababisha nikose hela ya Internet Cafe............Vipi mzee hutafuti house girl nije?
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
limemchoma mnoo ukiona ivo ww endelea kukamua zamu yako sasa ila cha msingi ww usimfotoe tena picha ok
 
mjibu x wake,mimi nnazo nzuri kuliko hizo.huyo yupo katika maumivu,kafanya hivyo kama kukukomoa.ila lazima utaumia
 
hata nimpende mwanamme vipi,sikubali kupigwa picha za utupu.nyengine mara zitaishia jukwaa la wakubwa
 
mkuu ilo lisikuumize jua hapo huyo jamaa anampenda sana demu ndiyo maana anamharibia ili warudiane usikubali wivu wakutengenezwa uchukue nafasi katika akili yako.forget da past jenga future.

umeona eeh! Jamaa anataka kumharibia tu huyo mdada.
Mtoa mada fanya uchunguzi kwanza isijekuwa mambo ya photo nini sijui.
 
Dogo hayo ni maneno ya mkosaji,sikiliza moyo wako na sio vituko vya huyo x wake!
Kaona mnapendana ndio anaiona thaman ya huyo bint na wivu unamsumbua!
Mpotezee huyo X kwan hata kumjibu ni kumpa crdt za kujua limekuumiza!
Km umechunguza bidada na ukaona anakufaa na umempenda achana na kelele za chura...........!
 
evidence hizo uko nazo + ex bf wake anakudisturb itakufanya kutokuwa na furaha ktk mahusiano yenu na kama uko na wivu ndio kabisa nafsi yako itakupa tabu always na kujikuta mnapishana lugha hata kwa mambo yasiyo na msingi na once huyo binti akigundua hakuna furaha kwa mahusiano yenu anaweza rudisha maamuzi yake kwa huyo aliyekuwa nae kabla au mwingine kabisa. Be carefull!
 
....jiandae,baadaye atawatishia anazipeleka kwenye magazeti y a udaku ili mumtoe,akili kichwani kwako!kama sio mtu wa kumanage stress,kazi kwelikweli
 
Simple, fuata usemi usemao kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji. Chamkosaji ndo maana anahangaika, afu sio mstaarabu, hajiamini na ameshaonyesha kashindwa kwa vituko vyote alovifanya.
 
kwakweli nafarijika na mawazo ya watu wanaojua kufikiria ndio mana nikaliweka hapaJF
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?

Kwani hizo picha alipiga wakati ukonae au alipokua na huyu bwana kabla yako? SMS anaweza kutuma hata shoga wa huyo binti au X wako wewe sio lazima awe huyu bwana na hata akiwa kweli ni huyo bwana anakwambia akuone udhaifu wako, achana nae focus kwenye mapenzi yako asikurushie ndege wako bure .....
 
Back
Top Bottom