Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,316
- 7,734
Sasa wewe mbona unatuchanganya? unazungumza kiingereza na huku ukichanganya na kiswahili?Chagua lugha ya English au kiswahili ili upate kusaidiwa au hutaki kusaidiwa matatizo yako?
Mkuu lakini si umeelewa? ama?
Sawa, ni hivi.., nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu sasa zaidi ya mwaka, nilienda hosipitalini nikaambiwa ninunue mipira flani ya kuvaa mgongoni na kiunoni, but still haisaidii, nimejaribu massage kwa hizi electrical massaging chairs lakini bado tu,
Nifanyaje?