Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

Backache, also known as lumbago, is one of the most widespread ailments found in people. It can be described as mild to sever pain in the lower back region of the sufferer. The pain may, at times, be excruciating and unbearable. Backache results in difficulty in bending forward, backward or even sideward. The problem is not restricted to older people and can also affect young people, especially those who indulge in a lot of physical work. Females usually face back during the pregnancy stage. The main causes for backache are strain, strained ligaments, back-muscle injury, excess lifting of heavy objects and disc disorders. Backache is a degenerative disorder but can be cured with the help of home remedies. In the following lines, we prove some ways to treat backache naturally.


  • An effective home remedy for backache would comprise of a combination of wheat, Cuscus grass and coriander. Soak 60 grams wheat in water, overnight. The next morning, add 30 grams each of Cuscus grass and coriander to it. Add 250 ml milk. Put the mixture in a pan and boil it, until only 2/3rd of the quantity is left. Drink this concoction to get relief from backache.
  • Mix 3 grams khas khas grass with 3 grams sugar candy. Take this mixture twice a day, with a glass of milk.
  • Mix 1 tbsp glucose or honey in warm water and have it in the morning, on an empty stomach. It is a simple, yet effective way to get relief from backache.
  • Eat two to three cloves of garlic in a day. Garlic oil can also be effective in curing backache. To prepare garlic oil, fry ten cloves of garlic in 60 ml of oil (mustard oil, sesame oil or coconut oil). Strain the oil, let it cool down a bit and massage the back with it.
  • Mint oil has been found effective in curing backache. Lightly massage your back using some mint oil. It will give relief from the pain.
  • Apply some heat to the back, using hot water bottle or infrared lamp. This would give instant relief from the pain.
  • Massaging with turpentine oil is another effective home remedy for backache.
  • An effective home remedy would be to apply potato, in the poultice form. Peel a potato and cut into cubes. Boil the cubes and mash them. After they cool down a bit, apply on the back and hold it there with a bandage, for an hour.
  • Take out the juice of one lemon and add some common salt to it. Intake this, twice a day.
  • Basil leaves can also cure a person suffering from backache. Take a cup of water and boil ten basil leaves in it. Let the water boil till only half the quantity is left. Cool down the water and add 1/4 tsp salt. Drink this decoction once a day.
  • For tea drinkers, an easy remedy would be to add 5 black pepper corns, 5 cloves and 1 gram dry ginger powder to the tea. Have such a tea twice everyday.
  • Include foods that have rich Vitamin C content, such as citrus fruit, tomatoes, blueberries and strawberries, in your diet.
 
Pole sana kwa maumivu.

Ninaona umepewa njia nyingi ya tiba. Mimi hapa nakupa njia ya tiba na kinga. Ukipata maji yaliyopitishwa kwenye kifaaa cha kisayansi kiitwacho BIOdisc ukanyanywa kwa kipimo sahihi kwa muda, itakuwa tiba na kinga hata kwa maginjwa mengine yasiyokuwa ya kimelea.

Biodisc ni kifaa cha kisanyansi kilichotengenezwa kuhuisha maji ya kawaida kwa kukomaza maumbo ya maji (molecules) na kuzifanya ziwe na umbo la pembe sita (hexagonal in shape). Maji yakiwa katika maumbo haya kazi yake ni kuhuisha cells za mwili na kuwezesha kuongeza kinga ya mwili na kuzuia magonjwa yasiyo ya kimelea mwilini. Hii ni pamoja na constipation, maumivu ya mgongo, kisukari, gout, pressure n.k.

Zingatia fomula ya kunywa maji hata kwa mtu mzima ni 0.04 x bodyweight. Mfano una kilo 100. Maji unayotakiwa kunywa ni 0.04x100=4.0 lts kwa masaa 24.
 
Nina matatizo ya muda mrefu ya maumivu ya kiuno mgongo na miguu kupasua na siwezi kutembea muda mrefu bila kuipumzisha nimeenda hospitali za kizungu kichina hata dawa za kienyeji bila mafanikio wana jamvi naomba ushauri!
 
Pole sana maana mie ninayo ya mgongo kunawakati yananipeleka puta. Kuna Dk. Aga Khan Hosp Dar nadhani anaitwa Foya ama Faya nimeambiwa ni mzuri sana.
 
Habari wana JF,naomba kupata msaada wenu kwa wale wenye upeo juu ya hili tatizo.

Mke wangu amejifungua miezi nane iliyopita,mwezi mmoja baada ya kujifungua alianza kulalamika sana kuwa anapata maumivu makali sana ya mgongo (haswa sehemu ya uti wa mgongo),kila siku huwa namchua na huwa anasema anajisia afadhali.

Nataka kujua kwanza hili tatizo linatokana na nini?

Plili, matibabu yake ili apone afanyaje? Maana kwa kweli inafika mahali namuonea huruma sana kwa jinsi anayolalamika...

Naomba msaada wenu wakuu
 
POle mkuu kwa matatizo ya ma-watoto wako. Jaribu kumtafutia awe analala sehemu ngumu kama sakafuni au ktk godoro analolalia jaribu kuweka ubao mgumu ambao hautaruhusu kubonyea godoro inaweza kumsaidia. Pamoja na dawa za maumivu. Ila tembelea hosp ya jirani.
 
POle mkuu kwa matatizo ya ma-watoto wako. Jaribu kumtafutia awe analala sehemu ngumu kama sakafuni au ktk godoro analolalia jaribu kuweka ubao mgumu ambao hautaruhusu kubonyea godoro inaweza kumsaidia. Pamoja na dawa za maumivu. Ila tembelea hosp ya jirani.

ushauri mzuri man!
 
Runner, kuna magodoro yanasaidia sana tatizo la migongo, yanaitwa Othopedic Matress. Mimi ni mhanga wa tatizo hilo na ninapata sana ahueni kwa kulalia godoro hilo. Nilinunua vitaform. Kama upo Dar es Salaam wapo Chang'ombe karibu na Tz Distilleries. Piga namba hii uulizie watakupa msaada 0713800611

Hata hivyo mkumbushe bibie anapaswa kupumzika kwa sasa, kuinama kufua au kudeki si kazi zinazomfaa sana kwa kipindi hiki. Na awe mwangalifu anaponyanyua vitu kama ndoo ya maji na vitu vingine vizito. Wakati anaponyonyesha ajitahidi kukaa kwenye kiti kirefu ambacho kinaruhusu miguu yake kufika/kukanyaga chini. Mgongo uwe straight. Asipende kukaa sofa iliyotumbukia au kiti kifupi.

Zoezi moja linalosaidia sana. Alale kwa mgongo sakafuni ukiwa na gym mat ni vizuri, mikono iweke kado ya hips sakafuni, akunje miguu kisha anyanyue hips/tumbo juu as much as she can...si ajiumize. kwa maana hizo sehemu ya juu ya mgongo/bega, nyayo na mikono ndio itakayompa support. afanye kwa idadi atakayoweza.
 
Habari!

Jamani nasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo sehemu ya chini (kwenye kiuno to be percise). Ni tatizo la muda mrefu sana, kila nikiwaona wataalamu napewa dawa za maumivu, haziponyeshi.

Kwa anayemfahamu mtaalamu wa kutoa tiba au dawa (iwe ya kienyeji au ya kisasa) YA KUONDOA TATIZO HILO KABISA tafadhali tuwasiliane kwa private message! Au la kama kuna ushauri wa kitaalamu nitafurahi kuupokea.

Asanteni
 
Habari!

Jamani nasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo sehemu ya chini (kwenye kiuno to be percise). Ni tatizo la muda mrefu sana, kila nikiwaona wataalamu napewa dawa za maumivu, haziponyeshi.

Kwa anayemfahamu mtaalamu wa kutoa tiba au dawa (iwe ya kienyeji au ya kisasa) YA KUONDOA TATIZO HILO KABISA tafadhali tuwasiliane kwa private message! Au la kama kuna ushauri wa kitaalamu nitafurahi kuupokea.

Asanteni

Hujasema ni wataalam gani?! Lakini kama ni tatizo la muda mrefu na umeenda hospitali, basi utakuwa umeshaelezwa tatizo ni nini. Umri wako? Kuna matatizo ya mgongo ambayo yanatokana na umri kwenda..pia uziro mkubwa, kiti unachotumia kama kazi yako ni yakukaa muda mrefu, godoro/kitanda unacholala...sababu zinaweza kuwa nyingi. Unahitaji kumuona daktari wa mifupa na viungo (Orthopedician), narecommend MOI, akuexamine pamoja na kufanya X-Rays ili kujua tatizo ni la mifupa au soft tissue, kisha atakushauri. Matibabu ya maumivu ya mgongo sio dawa za kutuliza maumivu, kwani hapo unatibu dalili na sio ugonjwa wenyewe. Muone mtaalam atibu ugonjwa.
 
Dogo!

Nimekuwa na tatizo kama hilo, kwanza inaweza kuwa infection, kama homa ya mifupa, ambayo inaweza kutibika kama ukipewa hizo dawa ulosema, vile sasa inakaa dawa hizo zimeshindwa, hapo inakuwa msagano wa 'vertebrae' hua grease zake zinakwisha, mie nimesumbuka lakini Doctor mmoja rafiki yangu aliniandikia dawa hii....Zyrtal MR, uliza wenye kuuza dawa dosage yake.

Natumai zitakupa Afueni!!!
 
Jamanh am having the same problem tena mimi ni both upper and lower back zinauma balaa, nikikaa, kusimama na kulala hakuna afadhali,kuna mtu kanambia nikamuone dr bake pale mail moja I heard ni doc mzuri wa mifupa, u can join me.
 
Dogo!

Nimekuwa na tatizo kama hilo, kwanza inaweza kuwa infection, kama homa ya mifupa, ambayo inaweza kutibika kama ukipewa hizo dawa ulosema, vile sasa inakaa dawa hizo zimeshindwa, hapo inakuwa msagano wa 'vertebrae' hua grease zake zinakwisha, mie nimesumbuka lakini Doctor mmoja rafiki yangu aliniandikia dawa hii....Zyrtal MR, uliza wenye kuuza dawa dosage yake.

Natumai zitakupa Afueni!!!
Mkuu hatuendi hivyo.

Hata kama wagonjwa wana dalili sawa si lazima wakawa na ugonjwa sawa. Ukitibiwa kwa ugonjwa uliokuwa na dalili fulani, usigeuke daktari kwa wagonjwa watakaokuja na dalili zinazofanana. Namkumbuka kijana mwenye TB alisababisha kifo cha baba yake kwa kuwa alikuwa akimgawia mzee dawa alizokuwa anapewa kutibu TB, kwa sababu tu mzee alikuwa anakohoa sana kama alivyokuwa yeye kabla hajaanza tiba; lakini kumbe mzee wa watu alikuwa na heart failure ya nguvu. Na walipomleta hospital walikuwa washachelewa.

Hata hiyo homa ya mifupa ndio nini? Ndio Osteomyelitis? Unaijua Osteomyelitis? Hata Ndodi hajui. Mkuu vitu vingine vinasomewa muda mrefu, huwezi amka na kuwa daktari. Usitoe ushauri wa kidaktari kama huna sifa ya udaktari au uko incompetent.
 
How a jab of gel could be the surgery-free solution to your bad back

  • Clinical trials likely to start in three years
article-0-05200190000005DC-619_233x356.jpg

Excruciating: Eighty per cent of Britons suffer with back pain at some point in their lives

A jab that could ease the misery of back pain for millions has been invented by British scientists.

The injection contains thousands of microscopic sponge-like particles that inflate and gel together inside the body, repairing damaged and worn-away spinal discs.

Almost everyone over 50 has degeneration of the intervertebral discs, which cushion the vertebrae that make up the various sections of the spine.

Eighty per cent of Britons suffer back pain at some point in their lives.

The most badly damaged discs are treated through surgery, in a major operation in which vertebrae are fused together, and patients can take months to recover.

In contrast, it is hoped that patients would be back to normal just days or weeks after a jab of the gel.

The injection, which is the result of 25 years of work at Manchester University, contains billions of tiny particles which form a liquid in the syringe. Once inside the body, they turn into a gel.

Lead researcher Dr Brian Saunders, of the university's School of Materials, said: ‘It is made up of lots of really, really small microgel particles, sponge-like particles, each about one-thousandth the width of a human hair, floating around in water.

‘When we inject them, they expand and push against each other like a boxful of balloons blowing up and pushing against each other.'

As a result, they lock together, creating a strong, load-bearing material, the journal Soft Matter reports.



Sijui tiba hii itafika lini TZ ? Ila ni matumaini tosha kwa wagonjwa wenzangu wa mgongo.
 
Kama sio ttz la kazi unayofanya! Ukilala lala flat huctumie mto wala kitu chochote cha kuinua mwili wako.
Nilishauliwa hivyo nikapona kabisa.
 
Jamanh am having the same problem tena mimi ni both upper and lower back zinauma balaa,nikikaa,kusimama na kulala hakuna afadhali,kuna mtu kanambia nikamuone dr bake pale mail moja i heard ni doc mzuri wa mifupa,u can join me

My God, I wish you could trace and talk to his victims before you proceed.
 
Back
Top Bottom