Maumivu makali sehemu ya siri baada ya tendo la ndoa

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!
 
labda ukifunga ndoa na mchumba litaisha.pole mwaya,ngoja wataalamu waamke,mie nafyagia tu.
 
wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!

Hapo kwenye red. Kapime pia na magonjwa yasio ya zinaa. Mtafute daktari ambaye ni specialist.
 
tatizo utakuwa unanyonywa sana hiyo uliyotaja sijui nini kabla ya hiyo kudo....punguza makeke kabla ya kazi...we angalia kitu kiko mchongoma paka mate twendekazi ..mbwembwe hizo ndo zinawaletea side effect mara sijui koro inauma ,....aaagh vijana bana
 
Si hivyo mkuu! Hata ka sijadoo jogoo akiwika tu maumivu yanafuata mkuu!
 
tafuta daktari wa hivyo viungo vya uzazi, kuna mmoja anaitwa kapona yupo muhimbili na tumaini kama upo dar

sometimes ni mirija, torsion nk
 
Nipo arusha mkuu! Nimehudhuria kwa specialist wa magonjwa ya uzazi kanipa dawa mara nne hivi bila any relief mkuu.
 
Mmmhhhh hiyo ngiri nini? Kamuone daktari haraka. Na umueleze yote, mirija inazingua hiyo. Je unatoa bao ngapi kwa tendo zima?
 
Mmmhhhh hiyo ngiri nini? Kamuone daktari haraka. Na umueleze yote, mirija inazingua hiyo. Je unatoa bao ngapi wa tendo zima?
Kawaida tu mkuu! Sema nikipiga bao nyingi ndo jinsi maumivu yanakuwa makali zaidi mkuu!
 
Hii kitu mi nilikuwa nayo, ilikuwa nikisimamisha bila kutoa manii zinauma ile mbaya. Ila nikitwanga na kuachia vitu kitu mwake
 
Duh! Mimi haijalishi mkuu,nikitwnga noma,jogoo akiwika noma!
 
HUWA INATOKEA IWAPO KITU KIMEENDA WINGA KWA MUDA MREFU BILA KUCHOMEKWA KUNAKO, NA KIKISHA CHOMEKWA MAUMIVU HUBAKIA KTK KENDE PAMOJA NA MTALIMBO baada ya tendo. USIRUHUSU MTALIMBO USIMAME KWA MUDA MREFU. NA IWAPO HUWA UNATUMIA MUDA MWINGI KUMUANDAA MWENZIO BASI WAKATI WA KUMUANDAA MWENZA UNATAKIWA UZIPOTEZEe NYEGE, KWA KUWA WANAUME HISIA zetu ziko karibu sana. jitahidi kupotezea mpaka ukishamwona mwenza yuko tayari kwa tendo ndio nawe urudishe hisia zako mchezoni kaka upo?
 
Asante kaka,ntajaribu mkuu lakini huwa sikawii sana mkuu!
 
Hili tatizo kama tunafanana vle.,! Ila me mwenzio huwa napatwa na tatizo la korodan kwani huwa znasnyaa na znaniuma sana na sehemu zote za siri kama nawaka moto. Nkaenda Bugando nikapma na kupewa dawa lakn maumivu bado.
Sijui ni gonjwa gani haswa manake vpimo vnaonyesha cna STD.
 
Inawezelana ktk umri fulani ulijichua sana ikapelekea mishipa kupata dhoruba au unachango la kiume yaani ngiri onana na daktari bingwa atakusaidia ila umueleze ukweli kama ulijichua ni kwa muda gani.
 
mbona kama ni ukweli..!? Na mie hapo mwanzo kama six miez ilyopita nlikuwa nafanya sana punyeto ktu kama 5 times per wk. Manake nahc pumbu kulegea na maumivu pia napata.
Najiandaa j3 kumwona dr.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom