VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Japokuwa mwabishana sana bt ukweli ni kuwa UKIMWI unaambukizwa kutokana na michubuko m2 wangu,so kama hakuna michubuko we man kamua mzigo kwa raha zako!bt usibweteke man
 
Wachangiaji wengi wametoa michango yao kwa umakini na kuzingatia umuhimu wa suala lenyewe, ila cha kusisitiza hapa ni kwamba mechi za ugenini angalau tamko liwe "Kondom kwanza" kama ilivyo kwenye sector ya kilimo yaani "kilimo kwanza" condom sio 100% risk free lakini angalau inasaidia kupunguza risk ya maambukizi kwa mechi za ugenini.

Chukua tahadhari ukimwi ni noma!
 
Salama zipo kibao ndugu kama kuvumilia kumekushinda!!!! Usijidanganye na uume mduchu au uke mkubwa!!! How sure are you hauna mchubuko au hana mchubuko au mchubuko hautatokea!!??
 
Kwa vile huwezi kupata ukimwi hadi uchubuke wakati wa tendo la ngono, sasa je unaweza kupata ukimwi iwapo uume wako ni mdogo na umekutana na mwanamke mwenye uke mpana? yaani muda wote wewe ni kuogelea (kuelea) tu

Wataalamu naombeni majibu.

Kaitaba, kama nimeelewa swali lako, wewe unaulizia risk ya mwanaume mwenye kidodoma kidogo na mwanamke kwenye tumbua kubwa... sawa?

Ok;

  • Risk inaweza kuwa ndogo iwapo tu kuna proper lubrication ammbayo itapunguza misuguano yenye kuleta michubuko
  • Kumbuka mavuz! pia huweza kuchangia michubuko which lead to risk of transmission of the virus
  • Hata ukiwa na kidodoma, kama unafanya kwa muda mrefu unaweza kupata
  • Kuna other factors za kuangalia kama vile kutahiriwa, style, maandalizi, kama kidodoma kimetumika more recently ngozi yake inakuwa na hatari nk.
  • Pia kuna watu genetically wanaweza kuwa resistant na ukimwi na wengine kuwa more receptive kwa virus

Tutahangaika weee, lakini the best solution ni kutumia kinga!!
 
Kwenye uume pia kuna kale kamrija kanaitwa urethra, ile tundu panapotokea mkojo, huwa ni teketeke sana pale na pia kamrija kenyewe ni laini sana kwa ndani, vvu vinapitia hapo hata kama hujachubuka.
 
UKIMWI ni balaa wakuu, yaani msichezee kabisa hii kitu! Kama halijakufika unaweza kucheza na maneno utakavyo, lakini likikufika ndio utaelewa vizuri. Mie ushauri wangu ni mameno mawili tu: KONDOM DAIMA.
 
Kwa vile huwezi kupata ukimwi hadi uchubuke wakati wa tendo la ngono, sasa je unaweza kupata ukimwi iwapo uume wako ni mdogo na umekutana na mwanamke mwenye uke mpana? yaani muda wote wewe ni kuogelea (kuelea) tu

Wataalamu naombeni majibu.

...kwani ni size tu?,

wengine wana 'minywele' ilokomaa 'kule bondeni' utafikiri 'steel-wire' zile za kusugulia masufuria! ...baada ya mechi unajikuta kama Carrot ilopitishwa kwenye Grater!...

Muhimu ni kujiepusha tu 'ikiwezekana', Lol!
 
Kwa vile huwezi kupata ukimwi hadi uchubuke wakati wa tendo la ngono, sasa je unaweza kupata ukimwi iwapo uume wako ni mdogo na umekutana na mwanamke mwenye uke mpana? yaani muda wote wewe ni kuogelea (kuelea) tu

Wataalamu naombeni majibu.

Ha ha ha, unawapa habari njema watu wenye maumbile madogo nini, ni kweli huwezi pata lakini lazima uwe hauna kidonda au mchumbuko wowote uumeni na hauna ugonjwa wowote wa zinaa.

Wanaume wenye maumbile makubwa wana hatari kupata manake mpaka amalize anakuwa kachumbuka au kachumbua mpz wake hasa wale mastaa wa bao mbili hadi sita " wazee wa kukomoa"

elimu ya ukimwi inahitajika sana, pia kuna mafuta unaweza kutumia kuzuia michubuko na kuongeza mterezo wakati wa kuingia ndani.
 
Uwezekano wa kupata ni mdogo sana hasa kama k ina maji mengi...
 
usidanganyike, usiingie hivi hivi, hata condom yenyewe is not 100% protective, cha msingi ni kuwa na mmoja aliyepima na akakutwa hajaambukizwa. Kama umeambukizwa tayari basi tumia kinga (condom kila wakati ili kumkinga mwezi na wewe pia kama wote ni waathilika msiongezeane dozi ya vvu)!
 
Kwa vile huwezi kupata ukimwi hadi uchubuke wakati wa tendo la ngono, sasa je unaweza kupata ukimwi iwapo uume wako ni mdogo na umekutana na mwanamke mwenye uke mpana? yaani muda wote wewe ni kuogelea (kuelea) tu

Wataalamu naombeni majibu.

Maumivu huanza taaaaaratibu..........................:becky::becky::becky::becky:

Subiri miezi 3 ukacheki afya yako............kwa hisani ya JF
 
Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.
 
Mawazo yako siyo mazuri,kwanini hao wanaotoa wasiwape elimu ya kutosha hao wanaotumia hayo madawa? Mie naisi ni hulka ya hao baadhi ya wanaotumia kufanya ngono au kutokua na elimu ya kutosha jinsi gani unatakiwa kuishi ukiwa unatumia ARV
 
Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.
Hayo ni majibu rahisi kwa maswali magumu....kweli ungekua wewe au baba yako au mama yako ana HIV ungefikiria hivyo??? kwanini usifikirie kama mchangiaji hapo juu alivyo suggest jinsi ya kuwaelimisha wanaotumia ARV wasiambukize wengine? au unafikiri wewe unahaki zaidi ya kuishi kuliko wengine so wasitumie dawa ili wafe wasije wakakuambukiza wewe? sifikiri kama una tania, kwakua huo ndio mtazamo wa watanzania wengi....UBINAFSI......hatutafika bro!!!!
 
Lakini mkuu huoni hata kama haya madawa yapo lakini watu wanazidi kuteketea na hili gonjwa kwa sababu hizi dawa zinabadilisha type ya virusi na hivyo maambukizi na kuendelea kwa kasi
 
Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.

HUU NI UNYANYAPAA ni kinyume kabisa na Sera ya nchi ya UKIMWI.
 
Back
Top Bottom