Maulid Kitenge: Jamani tu-connect hizi dots ndo utajua huu mchezo, Makonda na Diamond hii ilipangwa

Huyu Mtangazaji naye siku hizi kichwa chake sijui kimekuwaje. Sasa kuna dots gani hapo za kuunganisha? Unawezaje kuacha kufanya kazi zinazoeleweka ushinde kwenye mitandao unawaeleza watu waunganishe dots kwa mambo mepesi mepesi na ya udaku udaku.

Mswahili ni mswahili tu.
Ukiona umeshindwa kuconnect dots hapo maanake hicho kilichoandikwa kimezidi uwezo wako wa kufikiri. Simple tu.
 
Yupi aliyepata zero kidato cha nne?
Ni juyu
9523992bac6f9de47ad6a0cf36b74e60.jpg

Miaka mingi sana mlimtabiria kupotea kimuziki, ndio kwanzaa anazidi kupaa!!

Hata hili pia litawaumbua, maana hakuna uhusiano kati ya Bashite na Mond, tatizo lenu mnapenda watu wengine wayaishi mawazo yenu...
 
Ha ha ha haaaaaaaaaa

Acha kumwandikia mwenzako uongo, eti mimi nani!?

Ila le Mutuz nae anajua kupanga hoja, hakurupuki.
Aaaah kwani na wewe unapanga hoja? Kama ulishindwa kutofautisha madaraka na makongoro...hahaha sawa wapanga hoja.
 
ukimya wa mkulu juu ya matukio ya utekaji na utesaji wa vijana wasio-hatia inatia hofu miongoni mwa jamii
 
Huyo kitenge anajua Mondi tu ndiye aliyetoa ngoma alafu kwa uelewa wako mtoa mada unaona hiyo ngoma inamuelezea Roma tu?
 
Kiukweli ile kauli ya makonda ya kusema watapatikana kabla ya jumapili.ni ya kutisha kwa kweli.lipo la kujibu hapa
Makonda sina imani na wewe.
 
Vipi lile la makongoro nyerere na madaraka nyerere umeweza kuwafafanulia wana jf tofauti kati ya watu hawa wawili au bado unajua ni mtu mmoja?

Nimepata kiki kwa sababu mmependa kuikuza, na hamtamsahau Cocochanel wa JF.

Wote wameumia kwa kukosa ubunge, furahia basi. Hata mdogo au mkubwa mtu moyo uuma, labda nyie wenye mioyo ya chuma.

Nacheka sana, na kufurahia kujua kwamva kumbe wengi mliumizwa sana sana sana na wivu juu ya Mhe. Makonda na pia anavyowasomesha namba.

Na bado mtaendelea tu kunyooka

Kumbe mnanifatiliaga hivi, oooooh

Makonda oyeeeeeeeeeeeee

Piga Muziki.....
 
bashite mshamba wa kijijini, anatuletea usukuma wake mjini.
Hakuna msukuma anaitwa Bashite. Hili jina lina asili ya nchi mbili ndogo ukiziunganisha hazifikii mkoa wa Singida ambazo tumepakana nazo upande wa magharibi. Ndio maana akabadili jina lifanane na wasukuma.
 
Mtandao wa mafia bashite.
Najaribu kufikiria ikiwa mwigulu wangekuwa wanaiva na bashite alafu kuwe na genge hilo oamoja na dikteta uchwara nadhani watz wangebambikiwa sn kesi za ugaidi na madawa na kulevya na hapo hapo imagine taifa halina LISU hata mmoja
 
Back
Top Bottom