Maulid Kitenge: Jamani tu-connect hizi dots ndo utajua huu mchezo, Makonda na Diamond hii ilipangwa

Yaani hapa ndo utaona AJIRA ni utumwa sana. Waajiriwa wa EFM na CLOUDS na wao wamekuwa watu wa KUTUKANA NA KUMRUSHIA VIJEMBE Makonda ili kumfurahisha tu BOSS Wao
 
Exactly matukio mengi ya Dai na Bashite yamefuatana ndani ya wiki moja

Naomba vituo vya radio/TV & vyombo vya habari vipige kimya kwa Dai na Bashite

Hizo nyimbo zake ampe zari azisikilize
Zero plus zero is equal to ......
 
Back
Top Bottom