Mauaji ya watu watatu wa familia moja

kvelia

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
246
44
Mfanyakazi wa Bunge, Nicolaus Luther Senge amefariki dunia kwa kupigwa risasi na askari polisi katika tukio ambalo lilisababisha vifo vya watu watatu. Senge (49) alifariki dunia usiku wa kuamkia jana katika mauaji yaliyofanyika kwenye kikao cha wanafamilia Kibaha mkoani Pwani. Wote ni watu wa familia moja kisa ni ugomvi wa ardhi iliyopo huko Singida ambayo huenda hata sii fertile. Jamani kwa hali hii tutafika??????? Ni elimu bado au nini?????
 
Nani kamuua?kwa sababu gani?tatizo ni ardhi sawa ililetaje mgogoro huo?nk hayo ndiyo hasa ungetakiwa kutuelewesha sio unatoa habari kama vile unakimbizwa
 
Mbona unaleta habari kama vile unakimbizwa?kauliwa na polisi kwa sababu ipi?ugomvi ulitokana na shamba la singida lililofanya nini. Je polisi walipora hilo shamba?sijaelewa ipasavyo
 
Kwa kupigwa Risasi na police hao police waliendaje kwenye kikao cha familia na kupiga risasi?
 
Wapendwa tunaingia jf kupata habari, so mtu unapoleta habari lete kitu kinachoeleweka kwa maana ya kichwa mikono na miguu, na si kiwiliwili.
 
jamani familia ya kaka nico poleni sana tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu sana Mungu awape uvumilivu pole felista,pole Recho na Neema mazishi yatafanyika wapi?
 
Mfanyakazi wa Bunge, Nicolaus Luther Senge amefariki dunia kwa kupigwa risasi na askari polisi katika tukio ambalo lilisababisha vifo vya watu watatu. Senge (49) alifariki dunia usiku wa kuamkia jana katika mauaji yaliyofanyika kwenye kikao cha wanafamilia Kibaha mkoani Pwani. Wote ni watu wa familia moja kisa ni ugomvi wa ardhi iliyopo huko Singida ambayo huenda hata sii fertile. Jamani kwa hali hii tutafika??????? Ni elimu bado au nini?????

jitahidi kuja kwa kina mkuu.hapa ni GT
 
Ndio Maana Siku Zote Tunasema ni muhimu kabla Mtu Hajapewa Silaha lazima apimwe Akili!! Angalia sasa Huyu Muuaji aliyekuwa na silaha Ameweza kuwaua ndugu Zake Je angeweza kweli kumlinda Raia?? Jeshi la Polisi Take a note!!
 
Back
Top Bottom