Hawawezi kumuhukumu coz muuaji sio yeye.
Tuiachie mahakama ifanye kazi yake na hatimaye mshtakiwa akikutwa na hatia atanyongwa tu!
Ni nini kipo nyuma ya pazia kuhusu hukumu ya huyu muuaji wa Padre huko Zanzibar? Au ndiyo yale ya kusema ni upepo utapita? Hukumu itatolewa lini?
Toa ushahidiHii haijawahi hata kusikika. Ndo mtindo wa Zanzibar na mauaji yaliyoruhusiwa na wakuu. Kulikuwa na mtindo pia wa utekaji wa watoto wa kikristo, ukiongozwa na viongozi wa serikali, na kuwalazimisha kuingia uislamu.