Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Huko nyuma watu waliojitenga na Kanisa katoliki kwa kumpinga Papa na maamuzi yake wakikuwa wanawaona wakaidi wenye shetani la uasi na waliopotoka

Baada ya yamko la Papa kuruhusu kubariki wapenzi wa Jinsia moja Papa kapingwa na mabaraza ya Maaskofu nchi nyingi tu

Moto unafukuta waumini wengi wako tayari kwa lolote kujiengua ukatoliki na kwenda madhehebu mengine yaliyopo au kumfuata padre yeyote atakayeanzisha dhehebu jipya la katoliki lisilokubaliana na tamko la Papa

Zile kelele za kuita wengine waliojiitenga na katoliki kupinga maagizo ya Papa zimepungua wameanza kuelewa logic ya waliojitenga kuwa kuwa ni kweli Papa aweza Kosea na kuudhi kanisa
 
Naona Catholic na Anglican wanaenda kuwa kitu kimoja.

Anglican wamefikia hatua ya kufungisha ndoa za jinsia moja.

Catholic wapo kwenye hatua ya kubariki wanaojihusisha na ushoga (LGBTQ) wakitoka hapo ni kuanza kufungisha ndoa.

Ni kheri Lutheran walioruhusu makasisi wao (wachungaji) kuoa na wanawake kuolewa.

Ama kweli dunia imefika pabaya. Miaka ya 70s, 80s & 90s kurudi nyuma ilikuwa mtu anatambulika jinsia yake kwa kumwangalia. Hakuna mjadala ni aidha ME au KE.

Leo hii unaliona dume kabisa lakini bado unaliuliza jinsia yake na bila aibu linakujibu yeye ni SHEMALE. WTF!
 
Leo nimesali Lutheran,Papa kanikwaza sana.
 
sasa wee unaumia nn, yeye akiwa shemale?
 
Lengi la LGBTQ ni kugeuza ulimwengu kuwa wa kike hiyo movement ilianzishwa na feminists movement kuhakikisha mfumo dume unakufa na nfumo jike una dominate
Wanaume wawe kikekike na watamani kuwa wa8nawake kuolewa nk wamefanikiwa sasa wamefika hadi Vatican Papa karuhusu baraka za wapenzi jinsia moja ruksa
 
Leo nimesali Lutheran,Papa kanikwaza sana.
Lutheran likianzishwa na padre tena mkubwa wa kanisa katoliki hongera sana ni hatua nzuri ya kuanzia kiimani kuliko kutosali kabisa kwa kuzira kwendawe kanisani ..

Wengine waige uamuzi wako wasiache kwenda kanisani Lutheran huwa hawana masharti magumu ya kusali kwao hata uwe wa kanisa lolote waweza enda sali hata kila ibada bila kuhangaika kujitambulisha hata waseme wageni wasimamame kauka ila siku ukijisikia kujiunga unaongea tu na Mzee wa kanisa kuwa unataka kujiunga na Lutheran process haina complications za aina yeyote sio lazima uonane na Mchungaji mzee wa kanisa atakuchukulia fomu haina mambo mengi utahesabika muumini uwe mkatolii,mpentecoste,Msabato nk mtu akiwa anatoka dini yeyote ya Kikristo au msabato kujiunga rahisi sana na hawabatizi tena kama ukibatizwa ukiwa mdogo au mkubwa dhehebu lako wanakuchukulia ni Mkristo halali unayeruhusiwa kuwa mlutheri ukitaka wewe na familia yako yote
 
Martin Luther alikuwa Padri,

Baadae akaachana na Upadri kutokana na sheria na taratibu za Kikatoliki ambazo hazikufaa na hata leo hazifai,wakataka kumuua na wakati wanamtafuta ndio akatunga ule wimbo

"Mwamba wangu wa kale, kwako nitajificha" sikuhizi wanaita "Mwamba wenye imara"

Miongoni mwa sababu 95 za Martin Luther kuhama katoliki ni pamoja na

1) Ibada ya kusujudia sanamu

2) Kukataza au kuwazuia Watumishi wa Mungu marijali (Mapadri) kuoa

3) Muumini kutubu dhambi kwa Padri na kumtajia dhambi zako na si bure padri mwenyewe ametoka kufanya ufuska badala ya kutubu kwa Mungu na kusamehewa kwa Neema na inabaki kuwa siri

4) Kulipia msamaha wa Dhambi, zamani ilikuwa ili usamehewe dhambi ni lazima kuilipia kulingana na uzito wa dhambi

5) Kumtumia Bikira Maria kama Channel ya kuwasiliana na Mungu ilihali Yesu ndie njia ya KWELI NA UZIMA na Mariam alikuwa na umuhimu wa kumzaa Yesu TU.

Martin Luther alikuwa sahihi KABISA.
 
Huko nyuma watu waliojitenga na Kanisa katoliki kwa kumpinga Papa na maamuzi yake wakikuwa wanawaona wakaidi wenye shetani la uasi na waliopotoka

Baada ya yamko la Papa kuruhusu kubariki wapenzi wa Jinsia moja Papa kapingwa na mabaraza ya Maaskofu nchi nyingi tu

Moto unafukuta waumini wengi wako tayari kwa lolote kujiengua ukatoliki na kwenda madhehebu mengine yaliyopo au kumfuata padre yeyote atakayeanzisha dhehebu jipya la katoliki lisilokubaliana na tamko la Papa

Zile kelele za kuita wengine waliojiitenga na katoliki kupinga maagizo ya Papa zimepungua wameanza kuelewa logic ya waliojitenga kuwa kuwa ni kweli Papa aweza Kosea na kuudhi kanisa
We unaongea kama nan ndani ya kanisa?
 
Martin Luther alikuwa Padri,

Baadae akaachana na Upadri kutokana na sheria na taratibu za Kikatoliki ambazo hazikufaa na hata leo hazifai,wakataka kumuua na wakati wanamtafuta ndio akatunga ule wimbo

"Mwamba wangu wa kale, kwako nitajificha" sikuhizi wanaita "Mwamba wenye imara"

Miongoni mwa sababu 95 za Martin Luther kuhama katoliki ni pamoja na

1) Ibada ya kusujudia sanamu

2) Kukataza au kuwazuia Watumishi wa Mungu marijali (Mapadri) kuoa

3) Muumini kutubu dhambi kwa Padri na kumtajia dhambi zako na si bure padri mwenyewe ametika kufanya ufuska badala ya kutubu kwa Mungu na kusamehewa kwa Neema na inabaki kuwa siri

4) Kulipia msamaha wa Dhambi, zamani ilikuwa ili usamehewe dhambi ni lazima kuilipia kulingana na uzito wa dhambi

5) Kumtumia Bikira Maria kama Channel ya kuwasiliana na Mungu ilihali Yesu ndie njia ya KWELI NA UZIMA na Mariam alikuwa na umuhimu wa kumzaa Yesu TU.

Martin Luther alikuwa sahihi KABISA.
Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
 
Huu ni Uongo, Waroman mlitaka kumuua baada ya kurelease ukweli na maovu ya kanisa tena katika Ibada...

Baadae Ambrosio Padri Muitaliano na wenzake wakatangaza kuwa amejinyonga, wengine wakasema amelewa mpaka akafa...kumbe uongo, Martin Luther alikufa kwa Mshtuko kitandani akiwa na Catherine mkewe na akiwa na Watoto 6

Suala la kuzikwa sio issue, ilimradi alikufa na imani ya Kiluteri...ht km asingezikwa akatupwa baharini ila alikufa akiwa Mlutheran wa kwanza

Suala la kumzuia Mwanaume rijali tena anayekula vizuri kuoa ndio kunazalisha Mashoga
 
Ulutheri ni mafundisho ya wanadamu hakuna kabisa la Mungu hapo! Miulize huyo Martin Luther aliwekwa wakfu na nani?
 
The fact remain, hata uwe dhehebu lipi issue ya LGBTQ sio ya kuiendea hivi hivi, inahitaji umakini mkubwa hasa kwa mataifa yetu yanayoendelea ambao wengi wetu ni wafuasi wa madhehebu yaliyokuja kwa merikebu.

Ila bado nina shaka juu ya maana halisi ya dhana ya Papa ya kuwabariki hao watu vs tafsiri tunayoletewa huku.

Ni jukumu la Kanisa husika kuhakikisha tafsiri halisi ieleweke, kuna subjectivity nyingi zinajiibua hata kupotosha maana halisi ya Mkuuwa kanisa alichomaanisha.
 
Naona Catholic na Anglican wanaenda kuwa kitu kimoja.

Anglican wamefikia hatua ya kufungisha ndoa za jinsia moja.

Catholic wapo kwenye hatua ya kubariki wanaojihusisha na ushoga (LGBTQ) wakitoka hapo ni kuanza kufungisha ndoa.

Ni kheri Lutheran walioruhusu makasisi wao (wachungaji) kuoa na wanawake kuolewa.

Ama kweli dunia imefika pabaya. Miaka ya 70s, 80s & 90s kurudi nyuma ilikuwa mtu anatambulika jinsia yake kwa kumwangalia. Hakuna mjadala ni aidha ME au KE.

Leo hii unaliona dume kabisa lakini bado unaliuliza jinsia yake na bila aibu linakujibu yeye ni SHEMALE. WTF!
Kisha wale mashoga na wasagaji wa dini zingine wanakua wamepata pakujihifadhi na kuhalalisha mambo yao
 
Back
Top Bottom