Mauaji ya Abraham Linkolin

UncleBen niaje.
Nakuona unapita
Napita taratibu napata darasa hapa ,hasa nikikumbuka nilisoma mahali fulani vifo vya Lincolin na Kennedy ,vilivyokua vinafanana ,mmoja kapigwa risasi kwenye jumba la cinema la Ford,mwingine kapigwa risasi kwenye gari aina ya ford ,nk ......wakasema vifo vilikua planned na secret society
 
Hata Vice Presidents wao wote wanafanana majina.
Moja anaitwa Andrew Johnson mwingine Lyndon Johnson.
Coincidence eeh????
 
Halafu Andrew Johnson akawa successor wa Lincolin na Lyndon Johnson akawa successor wa Kennedy ,
Andrew alizaliwa 1808 wakati Lyndon alizaliwa 1908

Wote wawili Lincoln na Kennedy walifiwa na watoto wakiwa Ikulu ..........

Lincoln na Kennedy wote walipigwa risasi siku ya ijumaa

Such a coincidence aisee
 
Mkuu @MALCOM,MSEZA wimbo ulikuwa unazungumzia nini kwa ufupi? Nitoeni uvulivuli kidogo maana naona nao kama ulikuwa na ngvu yake.
Huu Wimbo umetumika kwa makundi mablimbali kila mmoja kwa maana yake.
Kwa wanaokumbuka Vita vilivyoghalimu maisha ya waamerika malaki wakipoteza maisha. na unatumika kama Wimbo wa kivita Kwa watu weusi ni wimbo wa Kipindi cha Mapambano Ya civil Rights na Unyanyasaji, Wengine wanafananish drixie na Kaanan kama wana wa irael walivyokuwa wananyanyapaliwa misri, Wanatamani na kupambane wawe kwenye nchi ambayo wote wataheshimiana, haki zitakuwepo, hakuna kudharauliana, nchi ambayo hakuna manyanyaso ya wazungu, bali wote wazungu na watu weusi wawe na hali sawa bila kuangalia rangi. Wimbo mtambuka huu mkuu kuna kipndi ulifungiwa maana baadhi ya wazungu waliutumia kama dhihaka kuwa watu weusi wanatamani kurudi utumwani,
Lakini ukweli ubaguzi ulikuwa ni mkali kuliko hata ule utumwa.
 
Halafu Andrew Johnson akawa successor wa Lincolin na Lyndon Johnson akawa successor wa Kennedy ,
Andrew alizaliwa 1808 wakati Lyndon alizaliwa 1908

Wote wawili Lincoln na Kennedy walifiwa na watoto wakiwa Ikulu ..........

Lincoln na Kennedy wote walipigwa risasi siku ya ijumaa

Such a coincidence aisee

Noma sana ova walifanya hesabu.
 
Hivi vitu huwezi kuvitenga. ingawa huyu linkoln history yake sioni link na secret society tofauti na benjamin franklin ambae alikuwa freemason na higher degree . ila lisemalwo lipo.

Ila twende mbele turudi nyuma hakuna raisi aliyewaweza Freemasons kama Andrew Jackson.
Teh teh teh Jamaa alikuwa kapinda. Aliua watu sana.
 
weka kidogo vitu mkuu

Andrew Jackson aliingia kipindi ambacho haya mataifa ya Ulaya yakiongozwa na The Rotschild walipenyeza watu ili waanzishe THE BANK of America. Lakini Andrew alivyokuwa raisi alikataa akasema haiwezejkani Bank of America iongozwe na watu wa nchi za nje na wawe na hisa kubwa.

Ikumbukwe Andrew alipigana vita na Uingereza ya mwaka 1812-1814 ambapo hadi Ikulu ya Marekani WHITE HOUSE ilichomwa moto yote. Sasa jamaa alikuwa ana matatizo na hawa watu wa Ulaya.
Walitaka kumuua kwa kutuma assassins lakini yule jamaa akakosea shabaha Andrew alikwepa halafu akanza kumpiga na bakora yake hadi jamaa akaenda chini.

Sasa speech yake maarufu ni hii
"Gentlemen, I have had men watching you for a long time and I am convinced that you have used the funds of the bank to speculate in the breadstuffs of the country. When you won, you divided the profits amongst you, and when you lost, you charged it to the bank. You tell me that if I take the deposits from the bank and annul its charter, I shall ruin ten thousand families. That may be true, gentlemen, but that is your sin! Should I let you go on, you will ruin fifty thousand families, and that would be my sin! You are a den of vipers and thieves. I intend to rout you out, and by the Eternal God, I will rout you out."

Alitumia hadi majeshi kuzima kila aina ya uasi au fujo sizitokee kule U.S.A mwishowe wakamshindwa na BANK OF USA ikafungwa na kina Rotschild wakatimuliwa warudi kwao Ulaya.
Nashangaa huyu jamaa hakumbukwi sana lakini alisaidia sana U.S.A kwenye vitu vikubwa hasa kulinda Uchumi wa Marekani usitawaliwe na watu wa Ulaya.

Aliwasaka sana mamluki wa Ulaya na hawa Bankers na akawashinda bila hata kuonyesha huruma.
Ni noma sana ukimsoma. Lakini leo huwezi kumsikia.
 
Imetulia sana, inatanua misuri ya fikra ,
hawa wayahudi ni balaa, hii listy unaizungumziaje au walikuja wakashinda tena vita vyao, maana story pote hawa Roth child ni matajiri wakubwa sio wa kuwachukulia poa na wanatajwa sana kwenye mambo ya mabenk. Au jamaa alipoondoka akawashinda nguvu
ROTHSCHILD OWNED & CONTROLLED BANKS:

The world's Megabanks

There are two Megabanks that offer loans to all the countries around the planet, the World Bank and the IMF. The first one is jointly owned by the world's top banking families, with the Rothschilds at the very top, while the second one is privately owned by the Rothschilds alone.
 
Aliwawezaje mkuu?

Kumbuka mwaka 1811 Bunge la Marekani lilitaka kuanzisha BANK OF AMERICA lakini ikapingwa.
Mwaka 1812 Uingereza ikaitangazia vita Marekani na hii lilitokea baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza anayeitwa Spencer Perceval kuuwawa basi Wazir Mkuu mpya akapewa hela na Nathan Rotschild akavamia Marekani ili kutawala upya.

Lakini wanahistoria wanakuambia eti kisa Napoleon alikuwa anapigana na Uingereza ndiyo maana wamamuwahi U.S.A asimsaidie Ufaransa au Upande wowote. Tena Marekani alikuwa anataka kuivamia Canada ili liwe jimbo lake.
Lakini ukweli ni kwamba U.SA walibana maslahi ya hawa mabwana wa Ulaya.

Ile vita Marekani aliumizwa na baada ya Ikulu kuchomwa moto na vita kuisha James Madison mwaka 1815 akaanzisha Sheria mpya ili kuanzisha BANK OF AMERICA. Ambapo ilikuwa na hisa nyingi za familia ya Rotschild na watu wa Ulaya.
Andrew Jackson alivyokuwa raisi akaipinga akasema itahatarisha uchumi. Wakata kumuua ikashindikana na jamaa alimchapa bakora sana muuaji wake.

Lakini kuwakomoa hawa kina Rotschild na wengine alikamua kutoa hela zote na mali za serikali ya Marekani kwenye BANK OF AMERICA na mwishowe BANK ikafilisika na kina Rotschild wakabaki kapa na kufukuzwa.
Jamaa alikuwa ni mbabe balaaa.

CC: MSEZA MKULU , UncleBen
 
Andrew Jackson aliingia kipindi ambacho haya mataifa ya Ulaya yakiongozwa na The Rotschild walipenyeza watu ili waanzishe THE BANK of America. Lakini Andrew alivyokuwa raisi alikataa akasema haiwezejkani Bank of America iongozwe na watu wa nchi za nje na wawe na hisa kubwa.

Ikumbukwe Andrew alipigana vita na Uingereza ya mwaka 1812-1814 ambapo hadi Ikulu ya Marekani WHITE HOUSE ilichomwa moto yote. Sasa jamaa alikuwa ana matatizo na hawa watu wa Ulaya.
Walitaka kumuua kwa kutuma assassins lakini yule jamaa akakosea shabaha Andrew alikwepa halafu akanza kumpiga na bakora yake hadi jamaa akaenda chini.

Sasa speech yake maarufu ni hii
"Gentlemen, I have had men watching you for a long time and I am convinced that you have used the funds of the bank to speculate in the breadstuffs of the country. When you won, you divided the profits amongst you, and when you lost, you charged it to the bank. You tell me that if I take the deposits from the bank and annul its charter, I shall ruin ten thousand families. That may be true, gentlemen, but that is your sin! Should I let you go on, you will ruin fifty thousand families, and that would be my sin! You are a den of vipers and thieves. I intend to rout you out, and by the Eternal God, I will rout you out."

Alitumia hadi majeshi kuzima kila aina ya uasi au fujo sizitokee kule U.S.A mwishowe wakamshindwa na BANK OF USA ikafungwa na kina Rotschild wakatimuliwa warudi kwao Ulaya.
Nashangaa huyu jamaa hakumbukwi sana lakini alisaidia sana U.S.A kwenye vitu vikubwa hasa kulinda Uchumi wa Marekani usitawaliwe na watu wa Ulaya.

Aliwasaka sana mamluki wa Ulaya na hawa Bankers na akawashinda bila hata kuonyesha huruma.
Ni noma sana ukimsoma. Lakini leo huwezi kumsikia.
Mkuu hakika una nondo sana katika Historia. Kinachokulemaza ni ULUMUMBA wako tu.
 
Imetulia sana, inatanua misuri ya fikra ,
hawa wayahudi ni balaa, hii listy unaizungumziaje au walikua wakashinda tena vita vyao, maana story pote hawa Roth child ni matajiri wakubwa sio wa kuwachukulia poa na wanatajwa sana kwenye mambo ya mebk. Au jamaa alipoondoka akawashinda nguvu
ROTHSCHILD OWNED & CONTROLLED BANKS:

Afghanistan: Bank of Afghanistan
Albania: Bank of Albania

Vietnam: The State Bank of Vietnam
Yemen: Central Bank of Yemen
Zambia: Bank of Zambia
Zimbabwe: Reserve Bank of Zimbabwe

Abraham Lincoln during the Civil War alimsikia mama moja akisema "Those enemies from the south have betrayed us" Lincoln akamjibu akasema "I have two great enemies, the southern army in front of me and the financial institutions, in the rear. Of the two, the one in the rear is the greatest enemy..... I see in the future a crisis approaching that unnerves me and causes me to tremble for the safety of my country. As a result of the war, corporations have been enthroned and an era of corruption in high places will follow, and the money power of the country will endeavor to prolong its reign by working upon the prejudices of the people until wealth is aggregated in a few hands and the Republic is destroyed. I feel at this moment more anxiety for the safety of my country than ever before, even in the midst of the war."

Wakati American Civil War imeisha Albert Pike ambaye ndiye alikuwa The MASONIC GRAND MASTER OF THE SCOTTISH RITE alikimbilia Canada baada ya Lincoln kusema He will punsihe the treacherous general.
Ukweli ni kwamba apart from North Korea na Libya bank karibia zote za dunia ziko chini ya hawa jamaa.
Teh teh teh na sasa hivi Libya katoka kabaki North Korea.

Tusubiri tuone.
 
Kumbuka mwaka 1811 Bunge la Marekani lilitaka kuanzisha BANK OF AMERICA lakini ikapingwa.
Mwaka 1812 Uingereza ikaitangazia vita Marekani na hii lilitokea baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza anayeitwa Spencer Perceval kuuwawa basi Wazir Mkuu mpya akapewa hela na Nathan Rotschild akavamia Marekani ili kutawala upya.

Lakini wanahistoria wanakuambia eti kisa Napoleon alikuwa anapigana na Uingereza ndiyo maana wamamuwahi U.S.A asimsaidie Ufaransa au Upande wowote. Tena Marekani alikuwa anataka kuivamia Canada ili liwe jimbo lake.
Lakini ukweli ni kwamba U.SA walibana maslahi ya hawa mabwana wa Ulaya.

Ile vita Marekani aliumizwa na baada ya Ikulu kuchomwa moto na vita kuisha James Madison mwaka 1815 akaanzisha Sheria mpya ili kuanzisha BANK OF AMERICA. Ambapo ilikuwa na hisa nyingi za familia ya Rotschild na watu wa Ulaya.
Andrew Jackson alivyokuwa raisi akaipinga akasema itahatarisha uchumi. Wakata kumuua ikashindikana na jamaa alimchapa bakora sana muuaji wake.

Lakini kuwakomoa hawa kina Rotschild na wengine alikamua kutoa hela zote na mali za serikali ya Marekani kwenye BANK OF AMERICA na mwishowe BANK ikafilisika na kina Rotschild wakabaki kapa na kufukuzwa.
Jamaa alikuwa ni mbabe balaaa.

CC: MSEZA MKULU , UncleBen
Sasa nimewaelewa mkuu, hao marais tofauti zao Lincoln inaonekana alikua mbishi na Andrew ni Mbabe..,sasa jamaa walijichanganya wapi wakachemka kumuuwa Andrew? Na Andrew aliwagundua vipi?
 
Back
Top Bottom