Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

Nafikiri elimu ya kuvaa condom bado haijakomaa kwa wengi.....
wanaume wengi wana fikra ya kuwa nikivaa sita enjoy -ladha itakuwa tofauti (it might be true to some extent lakini kweli ladha ina kipa umbele kuliko maisha yako?) na ukizingatia wanwake hawawalazimishi wanaume kuvaa, ndo unakuta panaharibika kabisa.

na hilo suala la mkishakuwa pamoja kwa mwezi mmoja unasema unamuamini na unasahau kabisa kuhusu condom.......kabla hujamuamini moja kwa moja, hebu fataneni angaza mkapime kwanza :D
hapo penye kupima hapo......!utawakosa wanaume wengi sana:D:D:D
 
mh!....hebu ngoja nitafute mtu mmoja hapa simwoni kwanza...
 
hapo penye kupima hapo......!utawakosa wanaume wengi sana:D:D:D

kwa hiyo geoff unataka kunambia hawa watanzania wenzetu tuwategemee kuishi kinyumba kwa muda wote huo huku wakiwa wanavaa condom? watanzania hawa hawa?

sasa ikiwa baada ya mwezi tayari `anamuamini` na anaacha kuvaa condom kabla ya kupima, si ni bora aanze tokea siku ya kwanza tu au?
 
KUNA KITU NIMEGUNDUA!....
mwanamke AKISEMA NOOOOO!NO CONDOMS NO SEX....mwanaume gani atapinga?
 
my dia kila mtu na mapenzi yake,kwa mfano mm kula wali na mkono ndo burudani maana vijiko si mila yangu lakn mwingine hawezi,tabia ni mazoea,raha kwangu mm ni kuwa na yule anaenipenda kwa zati(mapenzi ni zaidi ya ngono)so kwa wale wasio na ndoa (kama mm)ukifanya mapenzi na kondom kama hiyo ni mila yako utaenjoy tu!nani kasema pipi ndani ya ganda hainogi?mbona tunakula embe na maganda bado utamu tunapata na vitamini juu?
TANZANIA BILA UKIMWI? NI WW NA MM TUAMUE NA KUDHAMINI MAISHA YETU.[QUOTE=Charity;835193]Samahani kama nipo ofutopik.
Kwa maelezo hayo juu,Inamaanisha kuwa kudumisha mila bila kondomu ni raha zaidi kuliko ukitumia kondomu? Ni mazingira tu ya ukimwi yanafosi matumizi ya kondomu?[/QUOTE]
 
kwa hiyo geoff unataka kunambia hawa watanzania wenzetu tuwategemee kuishi kinyumba kwa muda wote huo huku wakiwa wanavaa condom? watanzania hawa hawa?

sasa ikiwa baada ya mwezi tayari `anamuamini` na anaacha kuvaa condom kabla ya kupima, si ni bora aanze tokea siku ya kwanza tu au?
mkuu GAIJIN,
HAPA KUNA FUMBO KUBWA SANA!mimi binafsi huwa sielewi kabisa
 
kwa hiyo geoff unataka kunambia hawa watanzania wenzetu tuwategemee kuishi kinyumba kwa muda wote huo huku wakiwa wanavaa condom? watanzania hawa hawa?

sasa ikiwa baada ya mwezi tayari `anamuamini` na anaacha kuvaa condom kabla ya kupima, si ni bora aanze tokea siku ya kwanza tu au?
Na wengine wanakuwa wanajua kabisa kuwa waathirika ila wanafanya makusudi kuwaambukiza wenzao(story ya zawadi ya gari nyekundu)
 
my dia kila mtu na mapenzi yake,kwa mfano mm kula wali na mkono ndo burudani maana vijiko si mila yangu lakn mwingine hawezi,tabia ni mazoea,raha kwangu mm ni kuwa na yule anaenipenda kwa zati(mapenzi ni zaidi ya ngono)so kwa wale wasio na ndoa (kama mm)ukifanya mapenzi na kondom kama hiyo ni mila yako utaenjoy tu!nani kasema pipi ndani ya ganda hainogi?mbona tunakula embe na maganda bado utamu tunapata na vitamini juu?
TANZANIA BILA UKIMWI? NI WW NA MM TUAMUE NA KUDHAMINI MAISHA YETU

Upo sawa kabisa my lulu.Lakini Geoff anasema tuzungumzie FACTS.Majority ya watanzania hawafanyi sex kwa ajili ya mapenzi ya dhati.Ni kutimiza tamaa zao na vilevile ni ujasiriamali.Na hapo ndio kuna hatari zaidi.
 
He! Kumbe kijiwe leo kiko hapa? I will be back soon!

Ngoja niwatafute jamaa flani niwaalike hapa.
 
My dia G,kwa mtazamo wangu wapo wanawake wengi tu wanaowashawishi wanaume kutokuvaa kondom(action speak beta zan weds)unakuta mko uwanja ule wa mapenzi,viuchokozi vya hapa na pale vinaanza,jamaa anaanza kupitisha mtarimbo,(mwanamke kalala tu kama hajui kinachotaka kutoea)jamaa anajifanya kucheza cheza pale juu(mwanamke kalala tu na kujifanya anagugumia raha)jamaa anasema"kichwa tu"(mwanamke anasahau haina mabega itapita yote)"eeeh lkn usiingie ndani cheza tu alafu kondom umenunua"?"ndio ninazo usijali c tunacheza kwanza?"ghafla mechi imeisha!"jamani mbn hukuvaa kondom"niko kwenye cku za hatari" "nilipitiwa mama ngoja nipumzike kidogo"!
Mtazamo wangu mm usijilainishe kama mrenda,chukua kondom mveshe jamaa zen do for love

unavoongeleaga hali halisi mi ndo nakupendeaga hapo tu Pearl:rolleyes:
 
na wewe unakimbia kimbia SREDI!msije nituhumu kwamba SIJAWATAARIFU:D

kama taarifa zenyewe hizi, bora yeshe..we sema wapi kongoro la kiti moto bana...:D

namsubiria cheusimangala hapa atie neno...
 
kwa hiyo geoff unataka kunambia hawa watanzania wenzetu tuwategemee kuishi kinyumba kwa muda wote huo huku wakiwa wanavaa condom? watanzania hawa hawa?

sasa ikiwa baada ya mwezi tayari `anamuamini` na anaacha kuvaa condom kabla ya kupima, si ni bora aanze tokea siku ya kwanza tu au?

Mwezi mrefu sana mpwa....hivi vitu saa nyingine ni MUNGU tu anatenda MAAJABU
 
Upo sawa kabisa my lulu.Lakini Geoff anasema tuzungumzie FACTS.Majority ya watanzania hawafanyi sex kwa ajili ya mapenzi ya dhati.Ni kutimiza tamaa zao na vilevile ni ujasiriamali.Na hapo ndio kuna hatari zaidi.

Hivoeeeh? basi kwenye confidence level kama ni 95% mi nipo kwenye 5% shemeji
 
wanaume wanatupia mpira wanawake .......ati mwanamke akisema NO condom no sex mwanamme gani atapinga? well na mwanamme akisema NO CONDOM no sex mwanamke gani atapinga?

hapa responsibility inakuwa half half .......au watu wa visiwani wansema nusu bin nusu :)
 
kaizer ......kaa mwezi mrefu y utumie siku ya kwanza? labda ndo maana huwa watu hawaoni point ya kutumia :(
 
wanaume wanatupia mpira wanawake .......ati mwanamke akisema NO condom no sex mwanamme gani atapinga? well na mwanamme akisema NO CONDOM no sex mwanamke gani atapinga?

hapa responsibility inakuwa half half .......au watu wa visiwani wansema nusu bin nusu :)
tatizo mwanamke anaushawishi mkubwa sana wa kufanya maamuzi!MWANAMKE AKIAMUA AMEAMUA
 
Condoms ni muhimu sana kwa maisha ya sasa kwanza inasaidia maisha kiusalama zaidi ...
pili Uzazi wa mpango .......
sioni kuna haja gani kwa mwanamme kumkatalia mwenzake kuivaa ,mie napata hisia huyu mtu anaeikataa kama Protection anakuwa ameamua kusucrifise maisha yake ..anakuwa amekata tamaa na maisha ,,
lakini pia nasikitika kwa nini akina sie tunashindwa kujisimamia .....??
kama mwanaume atakuwa mstaarabu hawezi kukulazimisha kufanya jambo ambalo hutaki na akitumia nguvu hiyo ni kesi nyingine ya ubakaji!!
 
MPZ, the fact ni kwamba wanaume wengi hawapendi kondom but wanatumia tu kwa vile wanaogopa majukum(mimba)kuna rafiki yangu alimdate bf wake for 2yrs kila cku walikuwa wanatumia kondom zo wanakaa pamoja jamaa akaanza na story"mamii unajua pale dukani kwa mangi jamaa ananiuliza eti ww si mke wangu?mbn kila siku nanunua kondom"mwanamke akamnjibu"mwambie tuna mtoto mchanga"siku ya siku jamaa akachukua ndom akaanza kama anavaa,my frinend kalala anasubiri jamaa avae,jamaakajipinda anafanya bise anavaa,mara akazama baada ya kama pushap mbili anamuuliza dem"vipi leo unaskiaaje"dem bila kujua jamaahajavaa na keshanogewa akajib"leo pouwa kuliko jana"mda ulivyozidi kwenda dem akastua mbona wazungu wanatoka?kumuuliza jamaa kwann kafanya hivyo akamjibu"ww kila cku huniamini tu miaka yote tumekaa pamoja"nimechoka kuvumila bana dem nae oooh kwanza kom zina harufu,alafu zinanichubua mm sizipendi nilikuwa nashindwa kukuambia(who let the dog out?)

Back
Top Bottom