Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

tatizo mwanamke anaushawishi mkubwa sana wa kufanya maamuzi!MWANAMKE AKIAMUA AMEAMUA

Soma post ya pearl apo juu kisha utajua kuwa hapo ni vice versa mpwaz..wamaume ndo mwenye maamuzi!
 
HEHEHE!leo umenena jambo.naona huko pugu sec library kumekupenda

he niligundua tatizo jingine la pugu library,,,vishawishi vingine...kisha tutaleta tena topic hapa kama tutumie condom siku ya kwanza au vipi...dah:D
 
wanawake ni dhaifu sana kwa mwanamme .......mwanamke atakhiari asivae iwapo atafikiri akimuomba mwanamme atamkera ( si unajua wanawake walivyokuwa wanapenda attention?)
 
Previous??
I am talking abt the present, previous is done with me, which means i stoped using condoms a long time ago, i dont even remember, and since then there has been no need to, unless i get a reason to, i wont use it.
 
Condoms ni muhimu sana kwa maisha ya sasa kwanza inasaidia maisha kiusalama zaidi ...
pili Uzazi wa mpango .......
sioni kuna haja gani kwa mwanamme kumkatalia mwenzake kuivaa ,mie napata hisia huyu mtu anaeikataa kama Protection anakuwa ameamua kusucrifise maisha yake ..anakuwa amekata tamaa na maisha ,,
lakini pia nasikitika kwa nini akina sie tunashindwa kujisimamia .....??
kama mwanaume atakuwa mstaarabu hawezi kukulazimisha kufanya jambo ambalo hutaki na akitumia nguvu hiyo ni kesi nyingine ya ubakaji!!
nimeambiwa hapa kuna mwanamke alipoona jamaa anavaa condom AKABANA MIGUU MOJA KWA MOJA!jamaa ilibidi avue tu:D:D:D

MPZ, the fact ni kwamba wanaume wengi hawapendi kondom but wanatumia tu kwa vile wanaogopa majukum(mimba)kuna rafiki yangu alimdate bf wake for 2yrs kila cku walikuwa wanatumia kondom zo wanakaa pamoja jamaa akaanza na story"mamii unajua pale dukani kwa mangi jamaa ananiuliza eti ww si mke wangu?mbn kila siku nanunua kondom"mwanamke akamnjibu"mwambie tuna mtoto mchanga"siku ya siku jamaa akachukua ndom akaanza kama anavaa,my frinend kalala anasubiri jamaa avae,jamaakajipinda anafanya bise anavaa,mara akazama baada ya kama pushap mbili anamuuliza dem"vipi leo unaskiaaje"dem bila kujua jamaahajavaa na keshanogewa akajib"leo pouwa kuliko jana"mda ulivyozidi kwenda dem akastua mbona wazungu wanatoka?kumuuliza jamaa kwann kafanya hivyo akamjibu"ww kila cku huniamini tu miaka yote tumekaa pamoja"nimechoka kuvumila bana dem nae oooh kwanza kom zina harufu,alafu zinanichubua mm sizipendi nilikuwa nashindwa kukuambia(who let the dog out?)
wewe pearl wewe?!..NASHUKURU KWA KUWA MKWELI
Tanzania bila ukwimwi naona kama ni ndoto ...
NDOTO KWELI KWELI

c tumeambiwa na Boss" We Dare to tok Openly?"I hate lies after ol kama ni kuelimishana y ficha ze nolegi u have?
GONGA MSUMARI mama!

Soma post ya pearl apo juu kisha utajua kuwa hapo ni vice versa mpwaz..wamaume ndo mwenye maamuzi!
mimi naona mwanamke ndo mwenye maamuzi
 
I am talking abt the present, previous is done with me, which means i stoped using condoms a long time ago, i dont even remember, and since then there has been no need to, unless i get a reason to, i wont use it.
how will you REACT/RESPOND kama utaona pakiti ya rafuraida kwa sarawili ya hubby?:D:D(considering the fact kwamba YOU AIN'T USE IT)
 
he niligundua tatizo jingine la pugu library,,,vishawishi vingine...kisha tutaleta tena topic hapa kama tutumie condom siku ya kwanza au vipi...dah:D
NDO MAANA LEO hujaenda?:D:D
 
Nimerudi. Ngoja nilipitie sredi kwa kina. Naona linakimbia kama limewekewa betri za Duracell!
 
I am talking abt the present, previous is done with me, which means i stoped using condoms a long time ago, i dont even remember, and since then there has been no need to, unless i get a reason to, i wont use it.

well.. am trying to read between the lines..
reason 1:..............................(30pts)
reason 2:.............................(30pts)
reason 3:.............................(40pts)
 
well.. am trying to read between the lines..
reason 1:..............................(30pts)
reason 2:.............................(30pts)
reason 3:.............................(40pts)

hehehehe!wewe mpwaaz wewe?!haya bana
 
well.. am trying to read between the lines..
reason 1:..............................(30pts)
reason 2:.............................(30pts)
reason 3:.............................(40pts)
Total 100%
 
how will you REACT/RESPOND kama utaona pakiti ya rafuraida kwa sarawili ya hubby?:D:D(considering the fact kwamba YOU AIN'T USE IT)
that will be a sign that tells me to start using it dont you think so?
 
Back
Top Bottom