Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Duh! Hii itakuwa kati ya zile zile zetu wabongo. Nakumbuka nikiwa chalii, tulikuwa tunaambiwa ukikutana na kinyonga unajitemea mate kiaina mwili mzima ili kuzuia asichukue rangi yako. Sikumbuki kama ilikuwa inafanya kazi.
Au ukinyooshea kidole makaburi kinakatika
 
Halafu pia huwezi kunuia kwa kuichoma chumvi halafu itende mema
Chumvi kwa kweli inamiujiza mingi sana , hasa chumvi ya mawe. Mfano kwangu mimi nilikuwa na eneo langu nauza kwa muda mrefu madalali walichemsha , nikaamua kununua chumvi ya mawe na kuimwaga katika pembe 4 za eneo na katikati ( eneo lenyewe lipo uswahilini) next day akatokea mnunuzi na kulinunua .
 
Maajabu ya Chunvi
 
Back
Top Bottom