Matumbo ya wadada zetu...habari zenyu wadada? fanyeni mazoezi,....au pua ndefu kwa sanaaa?

mmmnh ngoja ninyamaze mie,sioni mwenye tumbo kubwa hapo....hamjui ni wasichana wangapi wanatamani wangekuwa na shape kama za hao wadada........
 
Aisee, huyo wa mbele ajitahidi kuanza tizi bado mapema...
Manake huo mtambi unaonekana utaongezeka zaidi akiendelea kusubiri...
 
Wanapigwa vitu mapema halafu wanakwenda kuzichoropoa Marie Stopes pale, so matumbo yanabaki vile vile tuu
 
Unajua historia ya mlikotokea ni lazima mtu-Praise sana tu. We are your mothers, wifes, daughters! useme nin kama hujatamka mama, dada, mke! etc.

Laleni salama.
 
Back
Top Bottom