Matumbo ya wadada zetu...habari zenyu wadada? fanyeni mazoezi,....au pua ndefu kwa sanaaa?

Ivuga naomba basi uwe unanisindikiza gym.......nikienda mwenyewe nitapata uvivu
Nakuja Arusha huko .........in less than one year nitakuwa nitashatia timu huko kuendeleza maisha yangu pande hizo ...na nakuja nikiwa single digit....sasa ole wako uwe hujaolewa....:):)
 
Nakuja Arusha huko .........in less than one year nitakuwa nitashatia timu huko kuendeleza maisha yangu pande hizo ...na nakuja nikiwa single digit....sasa ole wako uwe hujaolewa....:):)

karibu sana......tutaongea zaidi tukiwa gym
 
mh hawa hapa wanajua ngoja nijikaze huenda nami nikampata wangu huku,mh ujue kitamb kwa women hakivuti ila watafanyaje na ha
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">karibu sana......tutaongea zaidi tukiwa gym</span></font></font>
Deal yetu ya nyara za serikali inakuaje?
Kitimoto pori, nakuja j5, na nilazima upike wewe mwenyewe shemeji!
 
Deal yetu ya nyara za serikali inakuaje?
Kitimoto pori, nakuja j5, na nilazima upike wewe mwenyewe shemeji!

he he....ukarimu ni jadi yangu........iko mpya.....kitimoto pori tupa kule.......
 
Kweli kibanga,sindano,vidonge nasikia na mafuta yaliyo ktk cndm ndo 7babu,datc y ni wadada2.
 
Back
Top Bottom