Matukio ya Moto, Tindikali yanaratibiwa na Katibu Mkuu wa CCM TAIFA?

Hali inatisha kweli,kumbe ndio mpango wao ili Cdm ionekane vibaya machoni kwa waTz,hakika Mungu asimamie hili jambo na wote wenye mpango huu ambao ni Ccm Mungu asaidie kutuonesha huu uhuni wao

Huo ni ukatili dhidi ya wanyama HAO WALIOCHOMA KUKU KWA KISINGIZIO NI CHADEMA WASHITAKIWE na SHIRIKA LA KUTETEA HAKI ZA WANYAMA,

Haingii akilini Chadema ni lazima mfike pahala mjue amani yetu ni mhimu kuliko ujanja mnaofanya wa kumwagia watu tindikali!
Leo ratiba ya kuchoma inasemaje wapi...mwandishi wa gazeti ameshamaliza kuandika habari yake anasubiri jina tu la sehemu na mtaa habari itoke hewani.

Nnachoipendea ccm ni kwamba ujinga wao wanaufanya hadharani wala hawajifichi....
Bendela ya ccm ina alama kama
1. Panga
2. Nyundo
3. Jembe
Na silaha nyingine zisizoonekana...sidhani kama watanzania tutapona

Dawa yake huyu ni kumwagia Tindikali kwenye Masaburi yake tu halafu ashindwe kwenda .....

Kama yaliyoko hapa ni kweli basi chama chochote kinachotumia mbinu chafu kama hizi hakipaswi kuachwa kuendelea na mipango michafu kama hii.
Nawahimiza yeyote mwenye ukweli hata kama chama kilichoyatenda haya ni chake atoe taarifa kwani hii ni mbinu iliyopitiliza kwa ubaya.

inawezekana, kwani wajita wanaongoza nadhani kwa kuwa na roho mbaya. Ubinadamu kwao ni kidogo mno. Kama upo ofisini, linganisha tabia za mjita na makabila mengine utayajua hayo
unawapaka matope wajita, kila kabila lina watu wema na wabaya, ukweli ni kuwa mkama anatumia mikakati ya zamani sana ya kipindi cha vita baridi, akajifunze ujasusi wa karne ya 21

Matukio haya kuchoma nyumba,kumwagia watu tindikali imebainika yanapangwa na katibu mkuu wa CCM Wilson Mkama ili kuipa CDM taswira Mbaya mbele ya jamii , wanayapanga wao wenyewe CCM chini ya uratibu wa Mkama akishirikiana na komba… kama ni kuchomanyumba wameichoma wenyewe ni mpango wao huo

Tuhuma za tindikali zinazoelekezwa kwa Chadema ni mipango iliyosukwa makusudi na CCM na kwamba kama ni watu wenye tindikali, basi CCM ndiyo walionazo.Propaganda hizi zilizopitwa na Wakati anazotumia Mkama haziwapendezi viongozi wa CCM Mkoa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wakasubi na Katibu wa CCM Mkoa Ahmed wamenukuliwa wakisema Mukana anawaaribia ''Tatizo la mkama anatumia propaganda za kizamama as if bado tupo kwenye siasa za kijamaa''
Watanzania tuwe makini nadhani Tanzania hatujafikia siasa zenye propaganda za aina hiyo, hapa CHADEMA mnatudanganya kama nanyi hiyo ni propaganda yenu basi mmeishiwa yaani watu wanaumizwa na wengine kupoteza mali zao , bado mnasema ni ccm. Nadhani wana Igunga wanaujua ukweli tusubiri waamue. Watanzania tusimame kwenye ukweli tuache itikadi za vyama.

Nnachoipendea ccm ni kwamba ujinga wao wanaufanya hadharani wala hawajifichi....
Bendela ya ccm ina alama kama
1. Panga
2. Nyundo
3. Jembe
Na silaha nyingine zisizoonekana...sidhani kama watanzania tutapona

Vidole viwili vya CHADEMA vina maana gani? je ni wachomoaji kwenye mifuko ya watu? au wanadhaminiwa na kundi la FREEMASONY? tuelezane manake wengine hatuna hata VYAMA tujuzane wakubwa hapa ndo pa kueleweshana.

Dawa yake huyu ni kumwagia Tindikali kwenye Masaburi yake tu halafu ashindwe kwenda .....

Hata mjinga hapa atajua kuwa mwenye tindikali ni nani CCM au CHADEMA? kwa ujinga wangu napata jibu kuwa ni CHADEMA kwa vile tayari ndugu yangu umesema mwenyewe kuwa "HAPA DAWA NI KUMWAGIA (MKAMA) TINDIKALI ASHINDWE KWENDA" so mnayo CHADEMA?

Ukweli huchukua muda kudhihirika,na udhihirikapo hubakia kwa muda mrefu kama kielelezo cha yajayo.Ikija gundulika ni hila ya CCM,basi wasidhani kuwa kampeni zijazo kila kitakachotokea,hata km watakuwa wamefanyiwa wao,hawataaminika katika jamii waiongozayo.Mwisho wa kitu huonesha mwanzo wa kitu halisi kilivyokuwa.

Hali inatisha kweli,kumbe ndio mpango wao ili Cdm ionekane vibaya machoni kwa waTz,hakika Mungu asimamie hili jambo na wote wenye mpango huu ambao ni Ccm Mungu asaidie kutuonesha huu uhuni wao

Wewe pengine siyo Mwana CHADEMA, hebu kumbuka kauli mbiu ya Chama " HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE" sasa ndo inatekezwa kwa vitendo na hilo kila kijana wa CDM analijua popote anapotembea.

Kama yaliyoko hapa ni kweli basi chama chochote kinachotumia mbinu chafu kama hizi hakipaswi kuachwa kuendelea na mipango michafu kama hii.
Nawahimiza yeyote mwenye ukweli hata kama chama kilichoyatenda haya ni chake atoe taarifa kwani hii ni mbinu iliyopitiliza kwa ubaya.
BG UP kaka Utanzania mbele U-CHADEMA na U-CCM baadaye

Nnachoipendea ccm ni kwamba ujinga wao wanaufanya hadharani wala hawajifichi....
Bendela ya ccm ina alama kama
1. Panga
2. Nyundo
3. Jembe
Na silaha nyingine zisizoonekana...sidhani kama watanzania tutapona

Vidole viwili vya CHADEMA vina maana gani? je ni wachomoaji kwenye mifuko ya watu?  au wanadhaminiwa na kundi la FREEMASONY? tuelezane manake wengine hatuna hata VYAMA tujuzane wakubwa hapa ndo pa kueleweshana.

Alama ya freemason ikoje mjzee? Sina hakika ni alama kama ya cdm! Chunguza kwanza kabla hujaanika mkuu!
vidole viwili vya chadema vina maana gani? Je ni wachomoaji kwenye mifuko ya watu? Au wanadhaminiwa na kundi la freemasony? Tuelezane manake wengine hatuna hata vyama tujuzane wakubwa hapa ndo pa kueleweshana.

Mukama alianguka chooni akiwa mtoto. Ubongo ulpata shoti bado hajarecover vizuri.

Mukama interijensia nchi hii inafanywa na katibu mkuu wa chama?usalama wa taifa?polisi?jwtz mpaka makomandoo waingie kijijini huko vyombo vyote vya ulinzi na usalama visijue?siasa za zengwe mtu mzima wewe mukama halafu ovyoooooooooooooooo!.mnatia aibu kweli watu hadanganyiki tena!

Back
Top Bottom