Matukio ya Moto, Tindikali yanaratibiwa na Katibu Mkuu wa CCM TAIFA?

Matukio haya kuchoma nyumba,kumwagia watu tindikali imebainika yanapangwa na katibu mkuu wa CCM Wilson Mkama ili kuipa CDM taswira Mbaya mbele ya jamii , wanayapanga wao wenyewe CCM chini ya uratibu wa Mkama akishirikiana na komba… kama ni kuchomanyumba wameichoma wenyewe ni mpango wao huo

Tuhuma za tindikali zinazoelekezwa kwa Chadema ni mipango iliyosukwa makusudi na CCM na kwamba kama ni watu wenye tindikali, basi CCM ndiyo walionazo.Propaganda hizi zilizopitwa na Wakati anazotumia Mkama haziwapendezi viongozi wa CCM Mkoa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wakasubi na Katibu wa CCM Mkoa Ahmed wamenukuliwa wakisema Mukana anawaaribia ''Tatizo la mkama anatumia propaganda za kizamama as if bado tupo kwenye siasa za kijamaa''


Mukama alikuwa urusi? Anajaribu kuigiza mbinu za mafia wa kirusi katika mbinu ya chini kabisa
 
Magamba watamkumbuka msema ovyo Makamba kuliko huyu jamaa, analeta siasa za kizamani hana isue chadema tunawaombea go on...
 
waliorusha mawe kwenye gari la mbunge walikuwa wamekaa chini ya mti wenye bendera ya chadema

waliochoma moto mabanda ya kuku wameacha ujumbe kuwa wao ni chadema.

mtegemee na mengine mengi yatakuja ila woga wangu ni kwamba watakuja kujikuta wanaua au wanasababisha kifo cha
kwa kujitafutia cheap political gain.
 
This remind me the white girl that cut a "B" into her forehead during the run up to the presidency and blame it on Black Barack Obama supporters.
same BS
 
Tujikumbushe miaka ile Omary Mahitah akiuonyesha umma visu vya CUF vilivyoingizwa kwa ajiri ya kuvunja amani na mpaka leo tunasubiri waliongiza hivyo visu wapelekwe mahakamani. Tatizo lao walizoea kuwahadaa wananchi kwamba Vyama vingi vitaleta ya Rwanda na Burundi na watu walikuwa wanaamini, wamesahau kabisa kwamba watu wanabadirika kifikra, Unaweza ukawadanganya watu wote kwa wakati mmoja lakini huwezi ukawadanganya watu wote kwa wakati wote, Sasa hivi wanaweza kumdanganya bibi yangu aliyepo Kasuru Kigoma lakini hawawezi kumdanganya na mjukuu wake kijana kama mimi, ninaamini vijana woote wameujua ukweli kuhusu CCM ila wana maslahi binafsi ambayo yanatofautiana kutoka mtu mmoja na mtu mwingine, kwa mfano mpaka sasa kuna vijana ambao ujanja wa kununua Tshirt na Kofia hawana wao inatosha sana kuwahonga Tshirt na Kofia, pia wapo
wale ambao wanafanya biashara visivyo halali ili wawe salama wanalazimika kujifanya wao ni CCM damudamu mfano halisi ni maeneo mengi ya pembeni mwa barabara yenye vibustani vya kuuzia miti na maua, utakuta mtu yupo eneo lisilo ruhusiwa kibiashara ili kujihami anapeperusha bendera ya CCM au kufungua katawi ka wakereketwa wa CCM akiamini watu kama polisi na City hawatambuguzi kwa kujua ni mtu wao. CCM badirikeni Watu wamebadirika sana.

nikupe japo ka thanks umeongea kweli 2pu hasa hao wanaofanya shughuli sehemu haramu
 
"Chadema think out of box........."

Jamani kuweni makini na huyu mzee pengine anaongea kinyumenyume kumbe CCM ndo imeleta watu wake waje wafanye ulipuaji isemekane ni CDM . Guys please don't take this message for granted, it may have a maxmum impact for our people in Igunga. Tumeshaona attempt za CCM kumwagia tindikali, kuchoma nyumba na vituko vingine vingi ambavyo vimeshindwa kuleta matokeo tarajio.

Mimi moyoni napata wasiwasi kwamba kuna kitu kikubwa kinataka kufanywa na CCM ili kuvuruga uchaguzi Igunga na hasa siku ya uchaguzi au siku chache kabla.
Chadema lazima waongezee inteligence na ulinzi maana inaonekana CCM hawahitaji tena uchuguzi ufanyike tarehe 2 ila wanataka kuvuruga uchaguzi ili CDM ibebeshwe lawama za vurugu na baadaye uchaguzi urudiwe upya na watu watakuwa scared.

Jamani naomba CDM wawe waangalifu sana na hizi statement, Mukama ni mtu mkubwa sana na anajua kila kitu kwenye hii nchi hivyo hawezi kuongea maneno haya bila kuwa na siri kubwa iliyofichika na hatachukuliwa hatua yoyote zaidi ya polisi kuzuga tu kuwa wameshamhoji.

CCM inataka kufanya kitu cha hatari sana pale Igunga kama CDM hawatakitegua mapema kabla hakijatokea.

Jamani we need to pray na hata mlioko huko field mwombeni Mungu sana kwa wale Wakristo mnaweza kufunga hata siku chache mkiliombea swala hili ili Mungu awaabishe madui zenu.

Haki itatendeka tu pale Mungu akiwa upande wetu.

Mungu irehemu Igunga na watu wake.
 
kwa mtazamo wangu, hili jimbo ni la chadema,
baada ya uchaguzi namshauri JK awe makini sana kwani kuna dalili za yeye kutolewa magogoni kwani tumechoka sasa!
 
CDM Mshukuruni Mungu zaidi kuna mbinu nyingine wameikosea timing tu. MBINU YA KUTEKA MTU NYARA. Inatumika sana hiyo kwenye harakati za kurudisha fomu. MAGAMBA ni Mafia wale
Mkuu hiyo mbinu walikuwa nayo kwa namna tofauti, ilikuwa imepangwa hivi: siku ya kurejesha fomu C.U.F waanzishe vurugu ktk vurugu hilo waichukue fomu ya mgombea wa cdm waichane chane na kuipoteza, ccm ndo ilivokuwa imepanga kutimiza hilo kupitia cuf.kama utakumbuka tukio hilo, tulokuwepo kwnye tukio kiongozi wa cuf aliamuru dereva aingize gari barabaran punde tu cdm walipoanza kuondoka, dereva alikataa huku akisema barabara imejaa watu ngoja wapite, waliendelea kubishana hadi kiongozi huyo alipo amuru aachiwe usukani ndipo dereva alipo liingiza gari kwa barabara, ukatokea mtafaaruku kidogo baadaye cdm wakarudi pembeni na ikawa ndiyo ponapona ya cdm siku hiyo, mpango ulikuwa umesukwa na kufadhiliwa na ccm mtekelezaji akiwa ni CUF nilishangaa sana kuwaona cuf wakilalamika kwny vyombo vya habari kuwa wamefanyiwa fujo wakati wao ndo walowafanyia cdm! Ova!
 
Wakuu habari zilizo zagaa mitaani igunga nikuwa ccm ina mpango wa kuchoma majengo ya ofisi za ccm na la almashauri ya zamani ili wasingizie kuwa cdm ndo wamechoma, hivi sasa mafaili yote yamehamishwa kutoka majengo hayo!.
 
Ukiwa mwizi unnaweza ukajikuta unajiibia mwenyewe, sasa kumuharibu mtu sura yake kwa tindikali na kusingizia CHADEMA ili wanyimwe kura hizo si ni akili mbovu.
Kumchomea mtu banda lake la kuku na kusingizia CHADEMA ili upate huruma ya kura huo si unyama, CCM inabidi wajitazame upya kuliko kuendeleza unya wanaoufanya!!1
They dont give a sh.t watu wangapi wanapata ulemavu, wanapoteza maisha, mali kiasi gani zinaharibiwa.
Objective yao ni moja: Kushinda.
Their image on the society is least of their worries....
 
Kwa jimbo moja tu ccm wanakuwa makatili hivyo.!

Nawaonea huruma sana wana IGUNGA maana hadi kampeni kwisha CCM itakuwa imewamaliza sana watu pamoja na vitega uchumi vyao kwa njama za kutaka huruma za kura zenu. Inatia hasisa sana maana wao hawajui wanachofanyiwa, wananuliwa kwa damu na mali zao wenyewe na MAGAMBA. Wapigieni wakombozi wa kweli ili wawalinde huko CCM ni maafa na wenyewe mmeona wameanza maovu na kusingizia CHADEMA. Namwomba MUNGU awaadhibu MaGAmbA kwa maovu wanayofanya.
 
Shinyanga walichoma jengo mojawapo la manispaa mwaka jana wakasingizia chadema, yaani wakaazi wa SHY hakuna asie jua hilo, ila wanadhani watu bado ni wale wa kudumisha FIKRA za m/kiti wa magamba! Wamefirisika siasa sasa wameamua kuwa chama cha kigaidi,HOVYOooooooooo!!!
 
Mukama kuna haja ya kumpeleka kupdate knowledge yake on mikakati ya ushindi katika kampeni maana hii anayotumia ni ya enzi za Hitler and Mussolini
 
Shinyanga walichoma jengo mojawapo la manispaa mwaka jana wakasingizia chadema, yaani wakaazi wa SHY hakuna asie jua hilo, ila wanadhani watu bado ni wale wa kudumisha FIKRA za m/kiti wa magamba! Wamefirisika siasa sasa wameamua kuwa chama cha kigaidi,HOVYOooooooooo!!!
 
Haingii akilini Chadema ni lazima mfike pahala mjue amani yetu ni mhimu kuliko ujanja mnaofanya wa kumwagia watu tindikali!
 
Back
Top Bottom