Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

Status
Not open for further replies.
Rekebisha Kiswahili kidogo Mpwa...tumia hata mipira au goroli au mengine...hilo neno kali kidogo...ushauri tu
 
Duh! Nimechoka kabisa! Mpaka naogopa! Sasa tumchague nani....? Mbona hali mbaya? Aaaah!
 
1. Msafara wake kupigwa mawe kule Mbeya.
HTML:
2. Msafara wake kuzuiwa barabarani Mbeya ili wananchi watoe kero ya kujengewa soko na pia kero ya matuta bara barani
3. Kuruhusu binti yake kuchezwa ngoma
4. Kurusu mama wa kwanza kwenda Swaziland kushiriki Ngoma ya Reed Dance
HTML:
5. Kuzuiwa kumpa mama wa Kwanza ashike Kombe la dunia la FIFA uwanja wa Taifa
6. Kudanganywa ujenzi wa Daraja mto Ruvuma (Tanzania - Msumbiji) kuwa limekamilika wakati bado, na kujaribu kumpandisha kwenye ki-boat.

Bongoland bado kazi ipo.What does it mean president anasimamishwa na wananchi???Can anyone tell me hii ni dalili ya nini?Aibu or?Refer final days of Obama's campaigns with industrial workers kule PA.Jamani,let's be critical huu ukumbi utanoga.Kuna posts zinaonyesha kabisa tabia za vijiwe vya kahawa na saluni za kike.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
kama hilo la uzinduzi wa hotel ni aibu kweli kweli coz yeye hakuona kwamba ipo road au ndio mambo yetu yaleeeeeeeeeee!
 
Hapana, mtazamo wako haumtendei haki JK hata kidogo. Kuchekiwa afya mara kwa mara kamwe hakumaanishi kwamba anayechekiwa hawezi kuugua ghafla. Kwa hiyo mimi nikiugua ghafla ni nani anapata aibu; mimi ninyeugua, dokta wangu, au watu wanaoniona nikikimbizwa kwenda hospitali?

Mkuu sio kweli kwamba ingekuwa katika nchi zilizoendelea dokta au msaidizi wake angeachichwa kazi. Kama ndio hivyo madktari wa watu binafsi USA, UK na Canada wangekuwa wanafukuzwa kazi kila kukicha mana kila siku watu wenye madaktari wao wanapata shinikizo la damu na strokes, wengine wanadondoka, wengine wanapata mshituko wa moyo wakiwa wanaendesha n.k. Sasa hapa sijui aibu anapata nani? JK kadhalilika kwa mengi yakiwemo hayo 8 uliyoyataja, ila hili la kuugua ghafla kwa kweli nimefaulu kushawishika bila mafanikio.

kwani JK ana matatizo gani? ndio maana unaambiwa lazima achekiwe afya kila mara maana mara tatu zote alizoanguka tunapewa sababu tofauti, 2005 uchovu wa kampeni, Mwanza uchovu wa safari, 2010 swaumu.
Tunahitaji afya ya raisi izingatiwe, mara zote hizo ni hadharani, haiyumkini huanguka mara nyingi zaidi ya hizi
 
Amegawa sana pipi pia kwa watoto ambao hawana madaftari na karamu za shule..huyu ndiye nrais wanaemtaka mambumbu...........
 
Na hili la Leo la Kusaini Muswada wa Sheria huku alijua makosa yaliyomo nadhani ni tukio la Kumi la kumdhalilisha Rais Kikwete.
 
Na hili la Leo la Kusaini Muswada wa Sheria huku alijua makosa yaliyomo nadhani ni tukio la Kumi la kumdhalilisha Rais Kikwete.

Ndio tatizo la wabunge wa viti maalum hakuna kazi ya kufanya (kazi kula hela za wananchi bure) ..

Hivi hauna kazi za ubunge ambazo zitawasaidia kilombero..kuliko kuandika upupu..

Ungekuwa unaandika projects za kutafuta pesa kwa ajili ya kumsaidia Slaa na chadema kushinda kuliko kuhangaika na JK

JK yuko mbali sana..uwezo wake, mtabakia na majungu na mambo madogo madogo kafanya hivi vile..

Lakini kwenye macro economic za nchi amewapiku ma presidaa wote wa Tanzania..
 
Na hili la Leo la Kusaini Muswada wa Sheria huku alijua makosa yaliyomo nadhani ni tukio la Kumi la kumdhalilisha Rais Kikwete.
Walioenda kula askirimu ikulu wakati wewe unakula miwa kwenu huko sijui kivomero, ndio waliodhalilika.... kawapuuza, hamna maana.
Kama nazi.... mbata!:A S 109:
Kama kuku.... kishingo!:msela:
 
Ndio tatizo la wabunge wa viti maalum hakuna kazi ya kufanya (kazi kula hela za wananchi bure) ..

Hivi hauna kazi za ubunge ambazo zitawasaidia kilombero..kuliko kuandika upupu..

Ungekuwa unaandika projects za kutafuta pesa kwa ajili ya kumsaidia Slaa na chadema kushinda kuliko kuhangaika na JK

JK yuko mbali sana..uwezo wake, mtabakia na majungu na mambo madogo madogo kafanya hivi vile..

Lakini kwenye macro economic za nchi amewapiku ma presidaa wote wa Tanzania..
acha ujinga mbwiga wewe!hayo madudu yote bado unatetea ujinga na hayo yote ni yale aliyotoke adharani je yale ya ndani kwa ndani?

Mijitu mingine bwana sijui inaishije
 
Walioenda kula askirimu ikulu wakati wewe unakula miwa kwenu huko sijui kivomero, ndio waliodhalilika.... kawapuuza, hamna maana.
Kama nazi.... mbata!:A S 109:
Kama kuku.... kishingo!:msela:

hata haya huna unaonge takataka gani wewe mwanamke mjane!
 
acha ujinga mbwiga wewe!hayo madudu yote bado unatetea ujinga na hayo yote ni yale aliyotoke adharani je yale ya ndani kwa ndani?

Mijitu mingine bwana sijui inaishije

Kuna kitu gani cha kujadili eti imetolewa na mbunge?? aaargh kichefuchefu..

Hii kazi ya ubunge imedhalilishwa sana ..aisee..
 
Sasa ndio unalia?my message sent and am happy for that. Ubunge wa Vitamaalum ni wangu na Kama unaamini kuwa nakula bure hela za Wananchi basi nakupa pole sana kwa wivu unaokusumbua.Nitaendelea kuzila hizo hela mpaka 2015 kama Mwenyezi MUNGU ataniweka hai.Halafu tamu ile mbaya.

Wenyewivu wajinyonge.

Ndio tatizo la wabunge wa viti maalum hakuna kazi ya kufanya (kazi kula hela za wananchi bure) ..

Hivi hauna kazi za ubunge ambazo zitawasaidia kilombero..kuliko kuandika upupu..

Ungekuwa unaandika projects za kutafuta pesa kwa ajili ya kumsaidia Slaa na chadema kushinda kuliko kuhangaika na JK

JK yuko mbali sana..uwezo wake, mtabakia na majungu na mambo madogo madogo kafanya hivi vile..

Lakini kwenye macro economic za nchi amewapiku ma presidaa wote wa Tanzania..
 
Ndio tatizo la wabunge wa viti maalum hakuna kazi ya kufanya (kazi kula hela za wananchi bure) ..

Hii itakua imakuuma sana,je zile walizokua wanagawana akina Jairo ni hela au kokoto?
Acha maneno ya koras za taarabu
 
Sasa ndio unalia?my message sent and am happy for that. Ubunge wa Vitamaalum ni wangu na Kama unaamini kuwa nakula bure hela za Wananchi basi nakupa pole sana kwa wivu unaokusumbua.Nitaendelea kuzila hizo hela mpaka 2015 kama Mwenyezi MUNGU ataniweka hai.Halafu tamu ile mbaya.

Wenyewivu wajinyonge.

Si ndio maana huna kazi za kufanya na hela za bure unazo..unabaki kuandika upupu..

Kweli ubunge wa aina hii ni kudhalilisha na kuchezea fedha za umma..

endelea kula bibie.."maana waliokupa wanajua wanakula nini kwako"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom