NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Tetesi zilizopo muda huu ni kuwa mkulu kampa Mataka fupa la NIC news of appointment to follow soon!!!
Tetesi zilizopo muda huu ni kuwa mkulu kampa Mataka fupa la NIC news of appointment to follow soon!!!
Hilo linajulikana, hata yeye mwenyewe keshasema ni tetesi. Hujasema jipya hapo.
Huwa ni kawaida kujadili mada tetesi as long as wote tunajua kwamba sio hakika - na haijawekwa kama ni hakika. Anaeswalisha mjadala wa mada tetesi na yeye ni mkufunzi kinara wa kuleta mada tetesi.
Nadhani tuendelee kuijadili based uelewa kwamba ni tetesi.
JK analipa fadhila sijui alimsaidia nini huko Kibaha Sec...
Mpita njia, mmeshahakikisha kuwa kweli amepewa UMD wa NIC?
Hivi kwa nini rais ateue ma-director wote kuanzia wa mashirika ya umma, mikoa, wilaya you name it!! Hivi huu ujima utatuisha lini??
Katiba inampa mamlaka hayo