-Hivi wakati ATCL inaungana na Alliance Air ya kina Dr. Gedeon Kaunda Mattaka alikuwa ATC?
-Wakati ATC inauzwa kwa mara ya kwanza na ya pili kwa makaburu, Mattaka alikuwa ATC?
-Wakati mali za ATC zinabinafsishwa Mataka alikuwa ATC?
Kama Mattaka ndio anawajibika kwa kuliua shirika la ATC, nini mchango wa PSRC, TIC na baraza zima la mawaziri walioleta wawekezaji njiwa kuruka South? Kama Mattaka anawajibika na kufa kwa ATCL ni nani anawajibika kwa kufa, kuchechemea au kudumaa kwa mashirika yote mengine yaliyokuwa chini ya serikali?. Kufikia hapo, naamini kuna watu, watafaidika kuondolewa kwa Mattaka ATCL, lakini hilo haliwezi kunishawishi kuwa kuondoka kwa Mattaka ATCL ni suluhisho kwa matatizo ya ATCL; na utendaji wake ni mbovu kulinganisha na wakurugenzi wengine watendaji wa mashirika yaliyo chini ya serikali.