JF,
Kama ulifuatilia kulikuwa na habari kwenye magaze wiki iliyopita, yakidai kuwa "wafanyakazi wa Air Tanzania" hawaitaki Menejimenti na wameishauri Serikali iondoe menejimenti haraka!
Wasijue kuwa hawana wadhifa wa kuiamuru Serikali wala hawajui mipango ya Serikali juhudi zao ziligonga mwamba baada ya Waziri kujibu bayana kuwa "Too early to phase out ATC's Management"
Wazushi hao walifadhaika sana na sasa wameibukia kwenye JF kumwaga uzushi wao na sumu> Hawa ni watu hatari sana, na anayetaka ukweli akaulize kama mke wa Mattaka anania ya kuanzisha Bureau De Change.
Ushauri wangu wa bure kwao inaonyesha dhahiri walivyo na chuki binafsi! Wana mufilis wa mawazo mapya na wengi wao ni wazembe walio changia kulifikisha shirika hapa lilipo! na kwamba hata ikija Menejimenti gani vigogo vizee hivyo vitaendelea kuwa kikwazo cha maendeleo ya Kampuni, wengi wao ni wazee waliokwisha kata tamaa ya kimaisha na hawana muelekeo.
Ni vyema wakaeleza ukweli watu wajue, kuliko kupotosha umma eti na Breaking News Feki" Nawashauri wajitahidi kuboresha maisha yao na kuacha kupika majungu kila kukicha! Tuleteeni habari zenye kina na mizania hapa ni JF bwana sio kijiwe cha wazushi wazee!!!

What!!!
Shut up your mouth.
Unataka kuniambia Mataka ni mtu safi?
Unataka kuniambia Mataka hafanyi ufisadi Atcl?
Usifikiri hatujui uozo wake, tunajua mengi anayoyafanya pale.
Na kwa taarifa yako hata zile bilions hewa zinazolipwa na atcl eti kuna ndege imekodiwa na Atcl na inafanya kazi huku Atcl ikiwa inailipa Mabilioni kila mwezi kwa kampuni hiyo tuliyokodi hiyo ndege na hali hakuna ndege iliyokodiwa ila malipo hewa tu yanafanyika.
Hilo hatujalisema bado tunavuta pumzi tuu.
Waandiishi habari mnaitajika jengo la atcl now;waziri awasili mjengoni kushuhudia ujenzi
waandishi wa habari popote mlipo kuna mkutano wa hadhara muda si mrefu..na hili ni baada ya jf kutundika uhuni unaofanywa pale mjengoni atcl.waziri wa miunndo mbinu mh NUNDU amewasili hapa muda si mrefu na ameagiza kustopisha ujjenzii wa bureu de change ya mama mattaka ulioanza asbh leo na mapema kwa nguvu ya ajabu..waziri ameagiza telephone operator arejee kabla ya saa nane machana na kutak aelezwe kwaa maandishi nani alietoa kibali cha kujenga huo ujenzi....na baada ya hapo ameomba kuongea na waandishi wa habari
ATCL wakivunja mkataba na huyo mama si watapelekwa ICC?