Mattaka amfungulia Mkewe Bureau De Change Ofisi za ATCL

JF,
Kama ulifuatilia kulikuwa na habari kwenye magaze wiki iliyopita, yakidai kuwa "wafanyakazi wa Air Tanzania" hawaitaki Menejimenti na wameishauri Serikali iondoe menejimenti haraka!
Wasijue kuwa hawana wadhifa wa kuiamuru Serikali wala hawajui mipango ya Serikali juhudi zao ziligonga mwamba baada ya Waziri kujibu bayana kuwa "Too early to phase out ATC's Management"
Wazushi hao walifadhaika sana na sasa wameibukia kwenye JF kumwaga uzushi wao na sumu> Hawa ni watu hatari sana, na anayetaka ukweli akaulize kama mke wa Mattaka anania ya kuanzisha Bureau De Change.
Ushauri wangu wa bure kwao inaonyesha dhahiri walivyo na chuki binafsi! Wana mufilis wa mawazo mapya na wengi wao ni wazembe walio changia kulifikisha shirika hapa lilipo! na kwamba hata ikija Menejimenti gani vigogo vizee hivyo vitaendelea kuwa kikwazo cha maendeleo ya Kampuni, wengi wao ni wazee waliokwisha kata tamaa ya kimaisha na hawana muelekeo.
Ni vyema wakaeleza ukweli watu wajue, kuliko kupotosha umma eti na Breaking News Feki" Nawashauri wajitahidi kuboresha maisha yao na kuacha kupika majungu kila ku
kicha! Tuleteeni habari zenye kina na mizania hapa ni JF bwana sio kijiwe cha wazushi wazee!!!

Wewe ni Mattaka, pia tunakujua kuwa wewe ni
 
serikali inaongozwa na shetan
WAZIRI atamwogopa MUNGU??Labda wa Misri/Libya /Yemen nk
 
Hawa ni watu hatari sana, na anayetaka ukweli akaulize kama mke wa Mattaka anania ya kuanzisha Bureau De Change.

akaulize wapi we kuwadi wa mafisadi???embu jibu tukusaidieb kenge manyoya weye tukomjengoni unakowatetea sema lingine

 
Waziri Nundu unaonekana unweza kufaanya mambo mazuri hebu act tuone, na tupate mkurugenzi mpya mwenye akili na mzalendo na mwenye vision na ana uwezo wa kuitekeleza asilimia 100
 
Waziri Nundu unaonekana unweza kufaanya mambo mazuri hebu act tuone, na tupate mkurugenzi mpya mwenye akili na mzalendo na mwenye vision na ana uwezo wa kuitekeleza asilimia 100

Mkuu Boma huyu ni Bomu LINGINE YAWEZEKANA ZAIDI YA LILE LA MBAGALA LILOTUPWA WIZARA YA ELIMU SIKU ALIPOJIBU MAJUZI""TOO EARLY TO REMOVE MATTAKA MANAGEMENT""" NAHISI TUNAITAJI WAKINA MAGUFULI KWENYE HIZI WIZARA

NA NYIE MREMA WANAFIKI MNAKIMBILIA KWAKO ILI URUDI MWAKANI UONEKANE UKO SAFI EMBU NJOO SAFISHA UOZO WA DAR TUKUONE NA UAMURU WAPELEKWE MAHAKAMANI KAMA ULIVYOOMBA KWA WAHASIBUWA ROMBO..
 
Pdidy, umewajibika ipasavyo unastahili pongezi kwa "kukinukisha" hapo mjengoni, kumbe hawa jamaa na wao tuko nao humu? Hongera JF.
 
Pdidy, umewajibika ipasavyo unastahili pongezi kwa "kukinukisha" hapo mjengoni, kumbe hawa jamaa na wao tuko nao humu? Hongera JF.


KAMA GADAFI ATAFIA LIBYA BASI NASI TUTAFI JF
Usiwe na shaka wako wengi huku mkulu!!nawasoma mmoja mmoja na wengine wameogopa kujibu umemwona alietumwa ajarudi tena nahisi anasubiri kupewa nauli ya ndege na MD aelekee loliondo
kusafisha dhambi zake
 
Mattaka na Board ya ATCL hawana vision hata ya nini kitokee cha maendeleo baada ya mwaka katika shirika hilo !!!! Yaani wao ni kutafuna tuuu !!! Najua ATCL ni kiota kimoja wapo cha mafisadi !!!!!!
 
Back
Top Bottom