Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 150
Kwa mtazamo wangu uongozi wa Yanga ulitakiwa kumshauri kocha mpya kuwa mshauri wa Minziro. Issue ilitakiwa kuwa hivi:- Kwa kuwa kocha mpya hakuwa anaijuwa Yanga vizuri, nikiwa na maaea ya kuwajua wachezaji wake na formation yake, kilichotakiwa kufanywa na uongozi wa Yanga ni kumshauri kocha huyo mpya kuuangalia uchezaji wa timu kabla ya kumpa majukumu yote kabla ya kumpa majukumu yote kama ilivyofanyika leo.