Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,600
19,507
Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya.

Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria.

Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa Kama Kocha Mkuu wa Yanga alikuwa amefundisha jumla ya vilabu 13 katika maisha yake ya soka na Timu ya Taifa ya Burkinafaso
94E5A54D-8A72-4F4E-84B0-1DD31E2B727C.jpeg

CBB388CD-E650-413A-99BA-9615E3052399.jpeg

92ADA4F9-C9A7-44C2-B9CC-808FF91D09E7.jpeg

****

Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
 
Yanga imetambilisha kocha Miguel Ángel Gamondi raia wa Argentina kama Kocha Mkuu. Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawai kufundisha timu kubwa kwa zaid ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
Ana kazi kubwa sana
 
Yanga imemtamblisha kocha Miguel Ángel Gamondi raia wa Argentina kama Kocha Mkuu kwa msimu ujao. Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
Mkuu mbona CV yake imeshiba? Kapita Wydad Casablanca, Esperance, Mamelodi Sundowns, USMA, De Tunis, hivi hizi team huwa zinazowa matakataka kweli?
 
Yanga imemtamblisha kocha Miguel Ángel Gamondi raia wa Argentina kama Kocha Mkuu kwa msimu ujao. Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
Kila laheri kwake.......huenda kwa Yanga akapata mafanikio.

Ina maana Ibenge na Pitso waligoma kuja jangwani ?

Scars OKW BOBAN SUNZU Kalpana
 
Yanga imemtamblisha kocha Miguel Ángel Gamondi raia wa Argentina kama Kocha Mkuu kwa msimu ujao. Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
Screenshot_20230624-144217_Samsung Internet.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom