Matokeo ya Udiwani ya 1/04/2012

Real Masai

Senior Member
Oct 12, 2011
123
24
Kwa ujumla siki zote Mungu ndiye anayesimamia haki.Kiwira diwani ni wa CHADEMA.Mwanza pia CHAEDEMA kidedea.Arumeru pia mambo yanaenda vizuri,.CCM wamepagawa..Mwenye matokeo ya jumla Kutoka kwenye Arumkeru atujuzuze
 
Jamani kama ni taarifa basi tupeane source. Tetesi si kitu cha kusherehekea.
 
Back
Top Bottom