Chakachua ni neno la zamani... Kuna bendi ya mziki ilikuwa inatumia mtindo wa kucheza mziki ujulikanao kama CHAKACHUA! Enzi zile za Kamanyola bila jasho. Nadhani Bendi iliyokuwa ikitumia mtindo huo ni Urafiki Jazz, ila sina uhakika sana.Wana lugha nahisi msamiati kuchakachua umekuwa ni msamiati uliokuwa na kutumiwa sana katika lugha yetu ya taifa na kuwa ni msamiati uliopata umaarufu kwa kipindi kifupi,na kukua kwa msamiati kuchakachua kumesaidiwa na matokeo ya uchaguzi
Ni kama nyerere kipindi anastaafu alivyotumia Neno Kung'atuka. Je hiki kilikuwa kizanaki au ni neno halali la kiswahili lilikuwepo kabla ?
Chakachua ni neno la zamani... Kuna bendi ya mziki ilikuwa inatumia mtindo wa kucheza mziki ujulikanao kama CHAKACHUA! Enzi zile za Kamanyola bila jasho. Nadhani Bendi iliyokuwa ikitumia mtindo huo ni Urafiki Jazz, ila sina uhakika sana.
I wish NN angeiona hii thread utaalamu wake wa isimu naukubali.haya nauliza ......shina la neno chakachua ni nini?