Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 Oct 31, 2010 #1 Wakuu nimeanzisha hii thread mahususi kwa matokeo ya uchaguzi mkuu na kwa kuanzia nimneona niweke idadi ya wapiga kura kwa kila mkoa.
Wakuu nimeanzisha hii thread mahususi kwa matokeo ya uchaguzi mkuu na kwa kuanzia nimneona niweke idadi ya wapiga kura kwa kila mkoa.
Consultant JF-Expert Member Jun 15, 2008 11,401 20,661 Oct 31, 2010 #2 Inakuwaje yale majimbo waliyoahirisha uchaguzi? matokeo ya URAIS watasubiri mpaka kura zipigwe kule??
Inakuwaje yale majimbo waliyoahirisha uchaguzi? matokeo ya URAIS watasubiri mpaka kura zipigwe kule??
C chanai JF-Expert Member Oct 9, 2010 279 2 Oct 31, 2010 #3 Kama nimesikia vizuri ni kwamba kura za uraisi zilipigwa kama kawaida. Hakuna kusubiri
W WAMURUBHERE JF-Expert Member Apr 21, 2010 337 25 Oct 31, 2010 #4 majimbo gani hayo mkuu mm niko mbali na Tz
GM7 JF-Expert Member Jun 26, 2009 492 24 Oct 31, 2010 #5 Pia matokeo ya nchi nzima yatapatikana kwenye link hii ya NEC