Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi mkuu October 31 2010

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Wakuu nimeanzisha hii thread mahususi kwa matokeo ya uchaguzi mkuu na kwa kuanzia nimneona niweke idadi ya wapiga kura kwa kila mkoa.

IMG00410-20101031-1226.jpg IMG00409-20101031-1226.jpg
 
Inakuwaje yale majimbo waliyoahirisha uchaguzi? matokeo ya URAIS watasubiri mpaka kura zipigwe kule??
 
Kama nimesikia vizuri ni kwamba kura za uraisi zilipigwa kama kawaida. Hakuna kusubiri
 
Back
Top Bottom