Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

AljuniorTz

JF-Expert Member
Jan 6, 2009
544
17
Fresh hope as Karume meets Hamad

Early signs of thawing relations between Zanzibar's main political adversaries emerged yesterday with a rare meeting between President Amani Abeid Karume and his longtime rival and critic, Mr Seif Shariff Hamad.

Mr Hamad stepped into the Zanzibar State House for the first time in several years after repeatedly turning down previous invitations by both President Karume and his predecessor, Dr Salmin Amour.

A brief statement from the State House said the talks between President Karume and Mr Hamad centred on the stability and future of Zanzibar, adding that the meeting was "very fruitful".

The two men agreed to put aside their differences and work together to serve the people of Zanzibar.

"The two leaders agreed on the need to have peace and mutual understanding in Zanzibar, They have agreed to end existing differences between them, which have played a significant role in sowing divisions among Zanzibaris," the statement said.

Calls by the two leaders to their parties and supporters to end hostilities and work together are significant. Coming in the wake of recent developments in Zanzibar that have made it virtually impossible for CUF and CCM to agree on anything.

President Karume had in the past resisted attempts to bring him and Mr Hamad together after the CUF official refused to recognise Mr Karume as the Zanzibar President on the grounds that CUF was robbed of victory in both the 2000 and 2005 presidential elections. Mr Hamad was the CUF candidate and Mr Karume's closest rival in both races.

Mr Karume and Mr Hamad yesterday called on all parties and the people in general to work together despite their divergent ideologies

They said the country would be better placed to march towards development and poverty eradication if the people of Zanzibar cooperated in all spheres of life.

"During their discussions, the leaders reiterated the significance of sustainable dialogue between them and their political parties," the statement said.

It was not immediately clear who initiated the meeting, which was made public after the two leaders had held discussions behind closed doors.

CUF and CCM officials in Zanzibar remained tight-lipped, saying the State House statement had everything that journalists wanted to know.

President Karume hosted the CUF delegation a few days after returning from France where he attended a Unesco conference.

The meeting comes at a time when Zanzibar is in the international spotlight over violence that has marred the registration of voters in Pemba. CUF says its members are being prevented from registering by being denied Zanzibar residency identity cards (Zan-IDs).

Donor countries have condemned the violence, and expressed concern over the insecurity that has hampered the registration. The US recently incensed the Zanzibar government by issuing a travel advisory cautioning its citizens against visiting the isles.

Yesterday's talks could also pave the way for a resumption of negotiations between CUF and CCM over the Mwafaka talks, which stalled in February 2008. The talks aimed to lay the ground for the sharing of power in Zanzibar.

The talks stalled after the parties differed on the structure of a government of national unity and how to arrive at such an arrangement.

Meaningful dialogue has failed to take off despite appeals by President Jakaya Kikwete and interventions by members of the international community, who believe that a negotiated deal was the best way to end political hostilities in Zanzibar.

Source: The Citizen
 
Je, mkutano wao huu utaleta matumaini gani kwa hali halisi inayowakabili wananchi wa visiwani kuelekea uchaguzi mkuu 2010?
 
Watakuwa wamejipanga kuirudisha jamhuri ya watu wa zanzibar
 
Sijamwona Karume akihudhuria vikao na sherehe nyingi za Muungano,
 
Mkutano huu wa jana una maanisha Maalim amekubali Karume ni Rais halali wa Zanzibar???
Kama mnakumbuka wakti fulani; Rais Karume alitoa 'condition' ya kukutana na Maalim Seif IKULU iwapo tu Maalim Seif atamtambua Rais Karume ni raisi halali wa Zanzibar.

Hebu Jinius, Gembe, Mwiba, StoneTown na wengineo tuwekeni wazi hapo...
 
nami nauliza kama wewe kwani maalimu alikuwa amtambui Karume kama rais,kwa msingi huyo sasa amemtambua au????
 
Loh! Natumai ni kuondoa migongano inayoendelea sasa ya uandikishaji wa wapiga kura
Kibs,kifo cha CCM hicho...simba kaingia ikulu kukagua mawindo yake...believe me or not its Maalim who will be the next occupier of the House...thats what transpire from the meeting.
 
Duh! wanasiasa kwa mbwembwe, subiri watakapo wahutubia wafuasi wao uone!
 
Kibs,kifo cha CCM hicho...simba kaingia ikulu kukagua mawindo yake...believe me or not its Maalim who will be the next occupier of the House...thats what transpire from the meeting.
I beg to differ..maalim amekuwa kikwazo sana kwasababu anapenda kuwa aamini hao CCM..wakti CCM wanatafut hila tu ..hito ni changa la macho..ni kosa kubwa sana anafanya huyu maalim kujirahisisha kwa karume ..
 
Kibs,kifo cha CCM hicho...simba kaingia ikulu kukagua mawindo yake...believe me or not its Maalim who will be the next occupier of the House...thats what transpire from the meeting.
Acha ndoto za Nchana Sahib!!!
 
Wewe na jamaa zako wa Bara acheni hizo. Hiyo ni hatua muhimu. Wa-Unguja na Wapemba ni watu wamoja -mbali na Watanganyika-. Kwa vyovyote vile ni lazima kuwe mna namna itakayowawezesha kushirikiana na kupendana ili kurutubisha mstakabala wa maisha yao na vizazi vyao.
 
Maalim alikuwa na ujumbe kwa rais Karume...hivyo alitaka akutane naye popote ampe ujumbe wake kwa maneno uso kwa uso, kwa maana Maalim Hamuogopi Karume kama Karume anavyodhani, kwahiyo, Karume alitaka kumuonyesha jeuri Maalim kama eti kama anataka kukutana naye basi amfate ofisini kwake,kwakuwa Maalim alichotaka kuongea na Karume ni kwa manufaa ya Wazanzibari na Zanzibar kwa jumla, hakuona tabu kuwa muungwana,kwa kuwa muungwana ni vitendo na ameonyesha jinsi anavyoitakia mema Zanzibar kwa kuweka kando siasa za vichochoroni na majukwaani na kukutana na Karume(mind you he is the de facto ruler of the isles),kuzungumza mambo ya faida kwa wananchi, akiamini kuwa Karume hana cha kupoteza hata CCM ikishindwa...provided Maalim akiwa rais hatakuwa na muda wa kuhubiri madhambi ya Karume...labda Mkapa na Mahita. Hivyo, ni hatua nzuri kwetu...nimepata habari kuwa wananchi visiwani wamekuwa watulivu wakitathmini athari ya mkutano wa viongozi hao na huwenda tukashuhudia KISHINDO kikubwa kutoka kwa Wazanzibar katika uchaguzi ujao licha ya matatizo yaliyoanza kujitokeza,hofu yetu ni reaction ya SMT wasiotaka kuiona Zanzibar ikifanya uchaguzi katika hali ya utulivu na amani na wa kwa uhuru na haki.
Acha ndoto za Nchana Sahib!!!
so long as we have identified our enemies...this step is commendable for our national unity...I know Maalim is few days away to state house with government of national unity. we lala tu!
 
Watakuwa wamejipanga kuirudisha jamhuri ya watu wa zanzibar

kama ulokuwepo lahau! ni serikali tatu au tugawane mbao. bravo maalim seif na amani karume. tukishirikiana tutagomboka. long live zanzibar. long live tanganyika. uadilifu muhimu.

ni mzenji halisi.
 
Wewe na jamaa zako wa Bara acheni hizo. Hiyo ni hatua muhimu. Wa-Unguja na Wapemba ni watu wamoja -mbali na Watanganyika-. Kwa vyovyote vile ni lazima kuwe mna namna itakayowawezesha kushirikiana na kupendana ili kurutubisha mstakabala wa maisha yao na vizazi vyao.
Pakacha,
Hayo uliyosema yanakubalika na yanaingia Akilini. Lakini kwanini Imechukua miaka tisa ya Karume kuwa madarakani ndio hili litokee? Je haiwezekani mmoja wa hao wah. anamfanya mwenzie Mjinga? Kwani Karume kwake Jua ndio linazama na bila Chembe ya Shaka CCM wameshapanga Mcheza wa nafasi hiyo. Je Maalim ataliona jua likichomoza kweli?
 
Kibs,kifo cha CCM hicho...simba kaingia ikulu kukagua mawindo yake...believe me or not its Maalim who will be the next occupier of the House...thats what transpire from the meeting.
Uzuri Maalim Madevu anajua ni nini SMZ, otherwise asingekuwepo Mtoni leo hii!
 
Uzuri Maalim Madevu anajua ni nini SMZ, otherwise asingekuwepo Mtoni leo hii!
Maalim yupo Mtoni si kwa hisani ya SMZ bali ni sheria kabisa unajuwa kuwa Maalim ni waziri kiongozi mstaafu wa SMZ,na anapata haki zote za ustaafu wa nafasi hiyo kama wanazopata Bilali na Ramadhani Haji Faki?
Kwa hiyo ni kweli kabisa anaijuwa vizuri kwa kuwa ameshakuwa kiongozi wake na anaijuwa CCM na SMZ vizuri zaidi kuliko hata Shamsi Nahodha na Hamza
 
Wewe na jamaa zako wa Bara acheni hizo. Hiyo ni hatua muhimu. Wa-Unguja na Wapemba ni watu wamoja -mbali na Watanganyika-. Kwa vyovyote vile ni lazima kuwe mna namna itakayowawezesha kushirikiana na kupendana ili kurutubisha mstakabala wa maisha yao na vizazi vyao.
Lol..umeshaanza kuhisi u-tanganyika na uzanzibar..mimi siko huko..
Hoja ni kwamba maalim atandanganywa sasa hivi kwakuwa CCM imeshaanza kushikwa pabaya nje na ndani ya nchi wakishapua ..wanamsahau na kuwatosa wazenj...kitakochofuata ni muafaka upotezaji muda tena for years..
Mbona siku za mwishoni maalim alikuwa safi sana na komandoo lakini hatimaye walichomfanya kila moja anajua...sioni faida ya kuwabembeleza CCM iwe bara iwe zenj.."wao wako kwenye hila kila siku" so siamini hiyo move kama inatusaidia sisi wapinzani..
 
tuseme ukweli waungwana na tusisemee kiushabiki ushabiki naqhisi mimi kuna jambo kubwa litatokea mbeleni kwani tukiangalia sana utaona leo karume yuko kinyumbo na mambo ya muungano hendi kwenye sherehe wala vikao na leo utaona wanakataa mambo yalio ya muungano mfano mafuta yasiwe ya muungano hili halina kificho sasa huyu mansour wazizi wa maji na nishati amepata wapi nguvu za kusema na zamani ulikuwa huwezi kusema jambo lolote linalo husu muungano mimi naona kuna namna itatokea tu madhali mahasimu wawili wamekutana na yaliyo zungumzwa hayajulikani bado ni siri basi tujue akili kichwani kwetu
 
Hizo siri siri ndio kanyaboa ambazo mimi siziafiki hata kidogo..ndugu..CCM karume who ever (mention them) ni watu ambao huwezi kuwatabiri kihivyo dawa yao jino kwa jino..ndiyo wanaelewa..mimi naona maalim anarudisha nyuma juhudi zetu..
 
Back
Top Bottom