Matokeo ya Kenya yatangazwa (KCSE) linganisha na Tanzania (CSEE)

Sasa ndugu yangu sie kweli sasa hivi tunaweza kujilinganisha na wakenya? hivi huyu mulugo angekuwa ni waziri wa elimu wa kenya sasa hivi bado angeendelea kuwa waziri (Tanzania ni muungano wa visiwa vya zimbabwe na pemba).

Tutajilinganishaje na waKenya kwa elimu wakati sisi ndio tunapeleka wanetu wakasome kwao...ushaona waKenya wanaleta watoto kuja soma Tanzania!? shule zetu za private (ambazo nyingi ndo zinafanya vizuri) zimeajiri waalimu waKenya wengi tu, kwani shule za Kenya ziaajiri walimu toka Tanzania!?
 
mfano sahihi kabisa,
haihitajiki tume kufanya uchunguzi kulinganisha elimu yetu na wakenya.
 
Tanzania inamadudu kibao. japo tunamadarasa mengi kielimu but mfumo hauko vzur.
 
kila nikijaribu kulinganisha Tanzania na Kenya naona havilingani labda upande zilipo hiz nchi ndio unafanana(East Africa)na baadhi ya makabila yapo nchi zote2mfano Masai&Jaruo,kitu kingine labda rangi wa watu wake(weusi)ila ukija kwenye elimu Kenya ipo juu,uchumi Kenya juu,siasa kenya juu,uzarendo kenya juu,kipengele kimoja jamaa yangu ananikumbusha tulichowazidi wakenya ni kuhudhuria kwenye viwanja vya michezo hasa mpira wa miguu,japo kwa viwango vya ubora vya fifa kenya pia wako juu.labda ndio maana kuna watu hawaamin kwamba Nyerere alikua MTZ halisi.
 
Nimemwangaliwa waziri wa Elimu wa Kenya akitangaza matokeo ya KCSE muda mchache uliopita kupitia Citizen Tv. Kwanza alitanza amejiamini, ana furaha, anapigiwa makofi. Amesema kuwa kiwango cha Elimu kimepanda, na kiwango cha Ufaulu pia kimepanda. Mtindo wao wa utangazaji matokeo sio kama wa Tanzania, alitaja kimikoa, na baadaye akataja wanafunzi kumi bora kitaifa, shule kumi bora kitaifa, akaweka msisitizo wa haya yafuatayo ambayo binafsi nimeona ni Tatizo kwa upande wa Tanzania.
  • Watahiniwa walikuwa 437,762= Waziri akasema Transition to higher Education is 100%
  • Akakiri kuwa Ratiba ilibadilika kidogo kwa wiki 3 kwa sababu ya mgomo wa Waalimu
  • Akasisitiza; Cheating is no longer option in Kenyan Examination process, yaani hakuna udanganyifu
  • Waziri akasema watu 88 WAMEFUNGWA kwa sababu ya kudanganya katika mitihani, au irregulaties mbalimbali
  • Wavulana wamefaulu kwa 55%, na Wasichana 45%...................
  • Akasema wataangalia upya madai ya waalimu kama walivyokuwa wamekubaliana

NIMEMALIZA KUSIKILIZA HIVYO, NIKALINGANISHA NA MATOKEO YETU YA MAJUZI YALIYOTANGAZWA, Nimejiuliza sana sisi tumekosea wapi Watanzania?.
'Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane'. Wanaong'ang'ania kukaa ofisini na wanaambiwa kuwa wametufelisha watoto kwa kutowajibishana, au kwa kufuata sheria kwa uleglege wachukuliwe hatua gani?

Mkuu bila shaka wewe ni Mkenya unaeishi Tanzania
 
Kwani kati ya Tz na Ug ipo elimu yap ipo juu? Pia kwa East Africa Tz ni ya ngapi kwa ubora elimu hasa elimu ya kati?
 
Nimemwangaliwa waziri wa Elimu wa Kenya akitangaza matokeo ya KCSE muda mchache uliopita kupitia Citizen Tv. Kwanza alitanza amejiamini, ana furaha, anapigiwa makofi. Amesema kuwa kiwango cha Elimu kimepanda, na kiwango cha Ufaulu pia kimepanda. Mtindo wao wa utangazaji matokeo sio kama wa Tanzania, alitaja kimikoa, na baadaye akataja wanafunzi kumi bora kitaifa, shule kumi bora kitaifa, akaweka msisitizo wa haya yafuatayo ambayo binafsi nimeona ni Tatizo kwa upande wa Tanzania.
  • Watahiniwa walikuwa 437,762= Waziri akasema Transition to higher Education is 100%
  • Akakiri kuwa Ratiba ilibadilika kidogo kwa wiki 3 kwa sababu ya mgomo wa Waalimu
  • Akasisitiza; Cheating is no longer option in Kenyan Examination process, yaani hakuna udanganyifu
  • Waziri akasema watu 88 WAMEFUNGWA kwa sababu ya kudanganya katika mitihani, au irregulaties mbalimbali
  • Wavulana wamefaulu kwa 55%, na Wasichana 45%...................
  • Akasema wataangalia upya madai ya waalimu kama walivyokuwa wamekubaliana

NIMEMALIZA KUSIKILIZA HIVYO, NIKALINGANISHA NA MATOKEO YETU YA MAJUZI YALIYOTANGAZWA, Nimejiuliza sana sisi tumekosea wapi Watanzania?.
'Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane'. Wanaong'ang'ania kukaa ofisini na wanaambiwa kuwa wametufelisha watoto kwa kutowajibishana, au kwa kufuata sheria kwa uleglege wachukuliwe hatua gani?

Huyu Waziri wa Kenya hana adabu. Kwanini alitangaza matokeo bila kumwalika Dr. Shukuru Kawamba? Ni kaniudhi kweli bwana! Atuombe radhi....
 
Mkuu inamana wanafunzi wa Kenya hawatumii simu na facebook?!
Maana nilimsikia kiongozi mmoja wa serkal akisema chanzo cha kufeli wanafunzi ni matumizi ya simu na facebook na wala sio sera mbaya ya elimu!!!

Hivi hizi shule za RC zilizofaulu zina sera tofauti ya elimu, jaribu kuwa muwazi kidogo. Jaribu kutembelea seminary uone nidhamu yao ilivyo, mkiwa mtaani mnawazuia walimu kuwagusa watoto wenu wanapokosea tofauti na seminary ambapo mtoto kuchezea bakora ni jambo la kawaida. Kama watoto wenyewe hawawaogopi walimu(wao wanasema piga ngoma usipige mwanafunzi) unategemea nini.
 
Hayo matokeo ni ya kisiasa zaidi la yamelenga kutokuchafua hali ya hewa kipindi hiki cha uchaguzi.uwe mbunifu na mfuatiliaji wa mambo hebu wamletee ndalichako ayasahihishe upya uone shuguli ya jeshi

Kwa mchango wako huu nimeamini wewe ndiye mtanzania wa kweli!
 
mkuu mleta mada,hii nchi haiishi wabishi embu kama unaweza tafuta web site ya hiyo wizara ulete ufaulu wao ili ujazie nyama hii hoja yako nzuri ndio tutaweza kulinganisha na hizo zero zetu.
Nakubaliana na wewe, jamaa wameanza kubisha yale ya Tomaso,wanasema matokeo ya kenya yana siasa ndani yake kuelekea kwenye uchaguzi,anasahau Tanzania ndio siasa imejaa kwenye elimu,wewe linganisha tu bajeti za elimu TZ na kenya uone tofauti.sekondari za kata zisizo na waalimu,maabara na vitabu vinavyokidhi halafu unategemea watoke wafauru hapo bado uwe na ujasiri wa kujilinganisha na wakenya??????TZ banaa tuache ushabiki.
 
Sasa waonyeshe mgawanyo wa hizo GPA.

Mbona dogo una ubishi wa Kikara, Kikerewe, Kijita, Kiha n.k. wewe!! Kama unataka mgawanyo si uingie kwenye website yao?!!

Mleta nampongeza kwa kuona utofauti uliopo kati yetu na majirani zetu kwenye swala la elimu! Waziri anajieleza kwa ufasaha, bashasha na kujiamini sana kuliko huyu wa kwetu. Siku ile wa kwetu anasoma/anatangaza matokeo utafikiri siyo Dr. ni kama jamaa fulani limehitimu Ngumbaru juzi likapewa kazi ya kujieleza kwenye kadamnasi!!

Matokeo ya wenzetu yanaenda mbali zaidi hata kuainisha walioongoza kwa kila jinsi/jinsia, Counties zilizoongoza kitaifa n.k.Sisi hapa tukiulizwa ni mkoa/wilaya gani iliyoongoza kitaifa hatuna majibu. Swala la div. I n.k wenzetu hawana kitu kama hicho wanatumia A, B, C na D (+ and Plain). Sasa jamaa katoa hata mchanganuo huo, nilichokisikia waliopata A wako zaidi ya 1,600 na C n D wako kama 60%. Jipe homework ya kuangalia kwenye wavuti yao!!!

Jamaa yanatupiga gap kubwa sana kwa kila idara iwe kwa viongozi wetu, na pengine hata sisi raia (ingawa katika hili sina uhakika sana). Lakini viongozi wetu wanazidiwa mbali sana na haya majamaa!!! Hebu mlinganishe Kawambwa na Mutula uone tofauti iliyopo). Wenzetu wanasema pamoja na kwamba matokeo ya mwaka huu ni bora kuliko ya mwaka jana lakini pengine yangekuwa mazuri zaidi kama kusingekuwa na mgomo wa walimu nchini mwao, Wa kwetu alisema matokeo mabaya yamechangiwa na wanafunzi kubaniwa wizi wa mitihani na kupenda facebook n.k. (Sababu ambayo inaweza kutolewa na mpumbavu tu!!) ina maana walimu siku hizi hawafundishi tena wanasubiri kuiba mitihani tu, wakibaniwa kidogo mambo yanaharibika? Use less Dr!!!
 
Najua wametuzidi lakini sio sana kama sisi Wa Tz tunavyodhania, bado na wao elimu yao inachangamoto kubwa. Tusijidharau kupita kiasi. Pia Mfumo wa Elimu wa kwao si sawa na wa kwetu. Wao wakitoka Form IV wanaingia chuo kikuu, wakati sisi tunaingia Form VI. Tusilinganishe vitu visivyolingana.
 
Back
Top Bottom