Wadau wa JF bila shaka wazima, wale wenye adha poleni sana!!!! Wale walioshabika ushindi wa chama tawala hongela sana!!!!!!
Wale wenye machungu ya kukosa walichotaraji poleni sana!!!!!!! Lakini tumejifunza nini hasa hapo Igunga, maana chaguzi bado ni nyingi hizi ndogo ndogo bila kusahau za madiwani Arusha!!!!!!!
Ndugu zangu wa chama tawala wamepata picha kuwa chaguzi zijazo tulielekea mwaka 2015 haitakuwa rahisi kama wanavyodhani, utaona kabisa kua nguvu walizotumia kwenye jimbo moja tuu la Igunga ilikuwa kubwa mno hadi inatisha!!!!!!!!! Viongozi wote wlihamia Igunga kupambana na moto wa CHADEMA!!!!!!! Hiyo inatoa picha ya chaguzi zijazo jinsi zitakavyo kuwa, watu wanazidi kuelimika pole pole!!!!
Kwa upande wa CHADEMA zilitumika mbinu mbali mbali kuweza kupata wanachama kwa muda mfupi Igunga!!!!!!! Hata hivyo nawasifu kuwa hawa jamaa wa CDM ni wapambanaji kweli kweli, si rahisi mtu uingie kwenye dimba ghafla uweze kudhihilisha umahili wako wa kucheza!!!!!!! Hongela sana wapambanaji na makamanda wa CDM!!!!!!! Je kwa pande zote mbili tumejifunza nini na tutarajie nini!!!!!!! Wadau nawakilisha!!!!!!!

Nakubaliana na mleta mada, wa kwanza wajaribu kupata Mwenyekiti mpya, nasema wajaribu kwa kuwa najuwa itakuwa ngumu kusambaratisha ukoo uliopo madarakani.
Tumejifunza kwamba siasa za jazba hazina nafasi katika maisha ya leo. Mmepiga na kudhalilisha watu na zile laana sasa zimewarudia.
Hata mimi nina mashaka na kura za CUF, huyu Bwn Mtatiro inabidi aje hapa jukwaani atueleze kura za mtaji 11,000 za CUF walizokuwa wanajivunia zilikwenda wapi???? Hawa CUF kweli pamoja na vitisho vya BAKWATA hawajauza kura kwa CCM???????TUJULISHENI!!!!!!!!
Nimefuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Igunga wa tarehe 2/10/2011. Chadema Imeshinda, imevuna Kura 23,260 from ZERO ndani ya mwaka mmoja ikiwa Imeshindwa na CCM kwa kura 26,484 kwa margin ya kura 3224 huku kura 1185 zikiharibika kwa CHAMA ambacho uchaguzi uliopita kilikuwa hakishikiki Igunga,CCM, isitoshe wameshindana na vikwazo vingi sana katika njia ya kufikia hapo ilipofika IKIWEMO KUSHINDANA NA SERIKALI NZIMA, SERIKALI STAAFU i.e RAISI MSTAAFU N.K.
Kwa kuzingatia sapoti waliyoipata kwa wana-igunga, wakati huu wakifuatilia irregularities zilizojitokeza kipindi cha UCHAGUZI hata kama kulikuwa na wizi wa kura wasisahau HESHIMA kubwa waliyopewa na wana-Igunga. WAMEWAAMINI SANA TENA SANA SANA.
Ninachopenda kukishauri chama hiki pendwa na kilicho mioyoni mwa watanzania wengi kwa sasa, ni kuwa kuna umuhimu wa kuandaa mkutano/mikutano ya kushukuru wana-igunga kwa sapoti waliyotoa kipindi chote kabla ya kampeni, katika kampeni na kwa kuwapatia kura za kutosha 23,260.
I believe Great Thinkers,CHADEMA and all Tanzanians will support this Idea of a Freshbrain. God bless Tanzania, God bless Tanzanians and God Bless CHADEMA. Peoples' Power
Nakubaliana na mleta mada, wa kwanza wajaribu kupata Mwenyekiti mpya, nasema wajaribu kwa kuwa najuwa itakuwa ngumu kusambaratisha ukoo uliopo madarakani.
Mkuu huwa sipendi kujibu hoja zako simply kwa sababu huwa unaendeshwa na ideology za kidini, but I will chip in on this one.
Mkuu naona umeingia na propaganda za CCM. CHADEMA sera zake ziko wazi kama huzipendi wewe na familia yako jiungeni na vyama vingine, lakini eti CHADEMA kufanya marketing ya ku-attract makundi ya kidini ni upuuzi ambao only desperate parties kama CCM can do. Katika historia ya nchi yetu ni chama gani kimewahi kufanya hili? Je waislamu walioko CHADEMA sasa hivi ina maana hawana ufahamu? Au hawawezi kufikiri? Acheni propaganda za kitoto!
Kumbuka CHADEMA ilikotoka slow and humbly mpaka wamefika walipo. Sasa kama siku zote wameenda mpaka kimekuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania bila support ya makundi yeyote ya kidini iweje leo wajiingize kwenye upupu huo? Kuna kila dalili kwamba CHADEMA wanaonewa gere na kuna watu ambao they can't swallow their pride to accept how succesful this party has become. Eti leo CHADEMA ianze kufanya marketing ya ku-attract makundi ya dini, how sick and wicked this opinion is?
Na hii allegation yako "Isitoshe kujigandisha huku kwa Chadema na maaskofu kumechangia hata wale wakristo moderate, wasio na dini (mapagani) kuigopa Chadema" unaweza kui-substantiate plz?
Hivi kwa nini wewe mkuu huwa huwezi kufikiria nje ya hili box la kidini? Ok huu ni udhaifu wako sasa kwa nini unalazimisha opinions zako ziwe za jamii? Mkuu upo in recordz humu humu JF kumtukana Dr. Slaa kwamba ni padre mzinzi, hana elimu wala credible accomplishments sasa iweje leo utake kutumbukia in his bandwagon?
Kwanza kabisa naomba nieleweke kuwa siasa sio ugomvi, bali ni itikadi, ujanja na maslahi. Niwapongeze wachangiaji walio wengi humu JF kwa kulitambua hilo na kuchangia mada kwa hoja na mlengo wa kisiasa. Zaidi kwa wapenzi wa chadema wachache walionesha uelewa wa siasa pale walipochangia kwa hoja baada ya CCM kuwashinda jana Igunga.
Nije kwenye hoja yangu:CCM wanakabiliwa maamuzi rahisi tu ili kurudisha imani na usahwishi wa wananchi kwa CCM, nayo ni kutoa fursa sawa kwa wananchi wote, bila upendeleo katika kupata viongozi wao hasa katika ngazi za maamuzi. Ambao ni uhamuzi mgumu kidogo kwao maana kubwa wanalinda ni kinachowagharimu CDM sasa (kuwapa watu nafasi nyeti bila kujua nia na chimbuko lao).
Juzi kwenye uchaguzi Igunga kuna kiongozi alienda kuaongeza nguvu kwa mgombea wake, best wangu mmoja wa CDM aliniambia sasa habari imekwisha CCM tunashinda Igunga. Ulishaona wapi askari wenu vitani wana rafiki wengi na wanapata sifa nyingi kutoka upande wa askri wa adui yao kuliko ndani ya jeshi lao??? kazi ya askari hao itakuwa ni kuwagawa ili msifanikiwe vita ili waendelee kufaidi matunda ya pande zote mbili za wenye vita husika.
Nisiwachoshe:
CDM wanahitaji kufanya mamuzi magumu sasa ikiwa ni pamoja na kukubali kupoteza...iwe majimbo na hata wanachama wafuasi wa.....kama kweli wanamapambano ya dhati kutaka kushika dola. La sivyo tutaendelea kushuhudia wananchi wanao wasupport CDM wanapata matatizo na hata kupoteza uhai, na watakapogundua, ambayo ni mapema tuu CDM itakwehisha.
Sourceolitical analyst
Moja ya tatizo la chadema ni kukosa umakini katika kutekeleza mikakati yao waliojiwekea lakini pia wanakuwa na papara na katika kutekeleza mikakati hiyo.
wanahitaji muda katika kujifunza namna ya kutekeleza mikakati na kuwa watulivu na kupunguza jazba katia kutekeleza sera zenu.
Poleni sana
nakubaliana na mleta mada, wa kwanza wajaribu kupata mwenyekiti mpya, nasema wajaribu kwa kuwa najuwa itakuwa ngumu kusambaratisha ukoo uliopo madarakani.
nakubaliana na mleta mada, wa kwanza wajaribu kupata mwenyekiti mpya, nasema wajaribu kwa kuwa najuwa itakuwa ngumu kusambaratisha ukoo uliopo madarakani.
Good God sijawahi kuona uchangiaji usio na fitina kutoka kwa huyu mama. mtoa mada was objective lakini huyu anaiharibu very sorry!!Nakubaliana na mleta mada, wa kwanza wajaribu kupata Mwenyekiti mpya, nasema wajaribu kwa kuwa najuwa itakuwa ngumu kusambaratisha ukoo uliopo madarakani.
bakwata IPI HII INAYOWATETEA NA KUWAKUMBATIA WAFUGA NGURUWE KAMA DC FATUMA KIMARIO?Lazima CDM imteue ZITTO kuwa mwenyekiti na ndio watapata baraka za BAKWATA.