Matokeo ya form 4

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
Jamani kama kuna mwenye taarifa juu ya matokeo ya f4 aziwekwe jamvini maana tumesubiri hadi tunakuwa impatient. kuna tatizo lolote huko jikoni jamani au ukata umefika huko nako?
 
mkulu kaenda davos ngoja kwanza arudi maana kila kitu hovyo sasa hivi
 
Subiri wafanye standardization kwanza..wakitoa km yalivyo ni kilio kwa watz kwani shule zimeongezeka maradufu!..next week yatakuwa hewan vuta subira kidogo!..
 
Matokeo........ovyo mwaka huu d--imeanzia 10,c--30,b--50,a--70......wamestandadize na nimesikia leo mchana saa nane yatakuwa hewani
 
Serikali ilikuwa haina hela ya kuwalipa wasahhshaj hvyo kucheleweshwa kutoa but,ucjal ndo wanamalzia kusahsha.
 
Back
Top Bottom