matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

Mbona sasa ni saa tatu usiku na bado hayajatangazwa au wamesahau kaka...ila tunashukuru kwa taarifa ingawa hakuna lolote mpaka sasa.
 
wadau
tuwe na tuishi kama ma GT sioni umuhimu wa kila mmoja wetu kubandika hisia na ndoto zake hapa, kwani lazima wote to post nuz hapa?Ona sasa usumbuf unaosababisha watu saa 4 na usiku hamna tangazo wala nn.
 
Unajua Mtu mwenye hekima huongea akiwa na kitu cha kuongea, lakini mpumbavu huongea kwa sababu anataka kuongea.... Kwaio kama huna cha maan cha kuongea bora unyamaze...
 
Jamani so vizuri kuwazingua wadogo wetu kwani sisi tunatakiwa tuwe mfano bora kwa wote kama kweli magreat thinkers.
 
jamani matokeo yatakuwa hewani leo kuanzia saa moja ........ila saa kumi waandishi wa habali watakuwa pale kumsikliliza naibu wazili
ila kwa kifupi ni kwamba......nimesikia kiwango kimeongezeka asilimia tatu tofauti na mwaka na nimesikia watahininiwa 2345
wamefutiwa matokeo......shule tisa hazina matokeo..........source nimepewa na one of my friends wanaofanya kazi baraza......alinipigia simu

Mods ondoa hii kitu!plz
 
Heading yako umeandika saa 10, kwenye comment umeandika saa 1. Unapotunga uongo jaribu kuwa na kumbukumbu.
 
Hakika wanafunzi wanahitaji matokeo yao sasa,wameishi kwa hofu kwa mda mrefu sana,ondoeni hofu zao!
 
Back
Top Bottom