Elections 2010 Matokeo ya awali Mkoa wa Mbeya

Status
Not open for further replies.
tutapata pale matokeo yote yatakapo jumuishwa maana sasa kila mtu anaongea yake.

Wee Mkombe vipi? hivi hivi ndio vizuri tunajumlisha wenyewe direct kutoka vituoni ili tujue wamechakachua ngapi...
 
Kumbe vijijini wameamka hivyo?! Walahi mwaka huu kazi kwlkwl!
 
Mkulima nina mashaka na matokeo hayo JK ana 150 vituo viwili?
Au ndo uchakachuaji?
 
watu wangu,vijana wa kazi mmesahau chanel ten ni ya rostam?lazma wachakachue matokeo,hawawezi toa ya ukwel lazma waipe ccm kipau mbele. . . !
Endeleeni ku2 apdeti vijana wangu wa kazi . . . . . . !

hakuna uhusiano wa kituo kumilikiwa na mtu na kutangaza matokeo ya uongo bwana, kama matokeo yameshatoka yametoka tu utamdanganya nani?kwa sababu miongoni mwa wale utakaotaka kuwadanganya yawezekana wapo kituoni na wameona mabango ya matokeo, let's be honest jamani, mi naamini wakitangaza matokeo hayo ndiyo yatakayobaki na kama kuchakachuliwa yatakuwa tayari yameshachakachuliwa tu

muhimu mawakala wawe strong kuzuia wizi wa kura tu
 
Mdau wa CCM Kyela analalamika kuwa Slaa anaongoza karibu kila mahari
 
Itunge - Kyela mjini
JK 54
Slaa 76

Community Center - Kyela mjini
JK 56
Slaa 125

Kilasilo - Kyela vijijini
JK 205
Slaa 36

Wilaya ya Rungwe kwa Mwandosya - jina la kata nimesahau
JK 206
Slaa 5

Inaelekea Kyela watakaribiana sana ila JK atashinda. Ila huko Rungwe nafikiri JK atakuwa na kura nyingi.
 
ee Mungu wetu najua unawapenda watanzania ni wewe tu unayeweza kulinda kura zetu zisichakachuliwe watanzania tuombe ccm wapigwe upofu wasione kura zetu dr huree huree
 
No one can trust this. 119 and 120 are the same. 1 and 2 for Prof also the same; 150 and 150 also the same, SHAME ON EVERY ONE THERE
 
dont trust any media house in tanzania they are under ccm control! wasio na nidhamu waandishi wa habari!
 
hata mm nimeshtuka haya ya kupikwa nini?, look, vituo viwili JK 150 halafu kila kituo anamzidi DR Slaa kwa 30
Mzee huko ni kijijini mkuu, kyela mjini ndio yatakayo toa ushindi wa jumla. Kwa kijijini sio mbaya DR slaa yupo juu sana. tusuburi ya kyela mjini wakuu.
 
Itunge - Kyela mjini
JK 54
Slaa 76

Community Center - Kyela mjini
JK 56
Slaa 125

Kilasilo - Kyela vijijini
JK 205
Slaa 36

Wilaya ya Rungwe kwa Mwandosya - jina la kata nimesahau
JK 206
Slaa 5

Inaelekea Kyela watakaribiana sana ila JK atashinda. Ila huko Rungwe nafikiri JK atakuwa na kura nyingi.

hpana mkulima,hapa kuna ki2.
 
Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni

Kituo A
chadema 140,
ccm 33,

Kituo B
chadema 115,
ccm 15.

Nita-update mara nipatapo matokeo mengine.

Pia, vijana wamejitokeza kulinda kura vituoni kuhakikisha hakuna kinachoingia au kutoka.

Asante mkuu,
Haya ni matokeo ya ubunge au urais?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom