Elections 2010 Matokeo ya awali Mkoa wa Mbeya

Status
Not open for further replies.
habari za uhakika toka mji na wilaya mpya ya tunduma ni kwamba chadema imeshinda kuanzia urais,ubunge mpaka madiwani.
kwa muda huu wananchi wanakula raha kwa kwenda mbele.
simnakumbuka alipokwenda JK walimjibu nini!! leo ndo wamekamilisha kazi. ni bear na burudani kwa sana tu.
 
Mbeya wamefanya kweli ndaga fijo na lolo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee tunasubiri na mikoa mingine kama wameiga mfano huo kudos.
 
Ndaga mtukunyike abhandu bha Kyala ie hongereni kwa kazi mlioifanya watu wa Mungu
 
Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni

Kituo A
chadema 140,
ccm 33,

Kituo B
chadema 115,
ccm 15.

Nita-update mara nipatapo matokeo mengine.

Pia, vijana wamejitokeza kulinda kura vituoni kuhakikisha hakuna kinachoingia au kutoka.

Jimbo la Mbeya Mjini, Kata ya Nzovwe, Kituo cha Hospitali ya Mkoa

URAIS
CCM - 50
CHADEMA - 128
TLP - 1

UBUNGE
CCM - 41
CHADEMA - 188

UDIWANI
CCM - 53
CHADEMA - 171
CUF - 4

Mbeya zaidi

Mwenge A:

Urais:
Dr Slaa 99, Jk 55, Lipumba 2

Ubunge Sugu 115, Mpesya 51

Mwenge B

Urais:

Slaa 105, Jk 61, Lipumba2

Ubunge: Sugu 120, Mpesya 37

Mwenge C

Urais: Slaa 113, Jk 48

Ubunge: Sugu 130, Mpesya 33

Kituo cha Meta 1

Urais Chadema 68
CCM 60
CUF 1

Ubunge Chadema 80
CCM 46
CUF 2

Udiwani Chadema 69
CCM 56

Kituo cha Meta 2

Urais Chadema 63
CCM 56

Ubunge Chadema 80
CCM 37

Udiwani Chadema 66
CCM 51

Kituo cha Meta 3

Uraisi Chadema 52
CCM 44

Ubunge Chadema 68
CCM 28

Udiwani Chadema 54
CCM 42
 
Tukuyu ushirika,

Urais:
chadema - 700,
ccm 54,

Mbeya mjini kituo cha azimio,

Urais:
chadema - 101,
ccm - 43,

Kituo cha Mwenge,

Ubunge:
chadema - 130,
ccm - 33,

Kituo cha kilimo 1,

Urais:
chadema - 119,
ccm - 29,

Kituo 2,

Urais:
chadema - 109
ccm - 39.

Habari toka Vwawa, chadema inaongoza mji unazizima kwa shangwe!

Mbeya oyeee!

It is PM now. I hope I am not dreaming. It is about 50 years since independence. In 1961, it was 50 years since Majimaji war! Does it mean that there should be a huge change every 50 years? So CCM can come in again in 2060 or thereabout. Hope i am not dreaming!
 
wanataka kuchakachua huku kwa sugu lakin wa2 hawakubali na watu wanaandamana huku nje muda huu huku wakiimba nyimbo za kumtukuza Sugu
 
Mpaka sasa matokeo ya Uchaguzi jimbo la Mbeya mjini hayajatangazwa na kuna umati mkubwa sana wa Wananchi wanangoja kusikia matokeo wakigoma kurudi majumbani. Polisi wamepiga mabomu ya Machozi ila kwa sasa hali imetulia. Taarifa zinasema kwamba mpaka sasa Joseph Mbilinyi anaongoza kwa tofauti ya wastani wa kura zaidi ya 12,000.
 
msikubali komaeni kama Arusha na Mwanza mpaka kieleweke
 
Sasa hivi mabomu yanapigwa Mwanjelwa na Mbalizi. Sugu anapeta. Hawataki kutangaza. Ila kumbuken kwamba Mbeya hatuogopi vitisho
 
it is pm now. I hope i am not dreaming. It is about 50 years since independence. In 1961, it was 50 years since majimaji war! Does it mean that there should be a huge change every 50 years? So ccm can come in again in 2060 or thereabout. Hope i am not dreaming!


nasikia mabomu yanaungurumishwa maeneo ya dsa, uwanja wa ndege na mafiati na polisi na bado hawataki kutangaza matokeo.

Kama bosi wao masha kakubali, nao watakubali tu
 
Yes Mr. sugu upo juu
Ndo maana wanamwita suguuuu!!!
wamwita suguuu....
sugu sugu sugu.....
 
ChademaTz Jimbo la Mbeya Mjini - UBUNGE: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) 46,411 Benson Mpesya (CCM) 24,327. Nguvu ya Umma Imeongea. #Uchaguzi #Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom