Elections 2010 Matokeo Mwakibete

kata ya mwakibete mbeya mjini:

slaa 3,564
kikwete 950

diwani ameshatangazwa......chadema

Yeah,bora wewe umeleta matokeo ya kata sio wale wanaoleta matokeo ya vituo kutujazia post hapa,

CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Wewe ni "We can" kweli au vipi?

Hakuna kuchakachua baada ya matokeo kutangazwa.....................

Mkuu unajua mara nyingine hata hawa wachakachuaji huwa wanachoka yaani anakuwa kama wamepigwa sindano ya ganzi vile.nina imani huko Nyerere aliko karibu ageuke ubavu na akigeuka tu ccm hata wangesimamisha malaika ni kazi hure, CHADEMA OYEEEEEEEEE
 
hapo umesema jambo ... kule oysterbay kwa mafisadi na kule makumbusho, ile lead ya jk imefutwa kishenzi!!!

Mimi bado namuunga mkono yule jamaa aliyetuma post akasema mikoa yenye mafala wengi ndiyo pekee wanaoweza kumuunga mkono jk, na pia ndiwo wanaongoza kwa umasikini ktk nchi hii, angalia MTWARA, LINDI SINGIDA TANGA, Ina maabunuasi tu, japokua mikoa hiyo wamejaliwa kila kitu na kikubwa zaid wana bahari na kila aina ya maliasili lakini ni kama wako ktk karne ya 15, jamani tembeeni mjionee,
 
Hii ni dalili nzuri. Hata mimi niliye nje ya nchi nayafuatilia. Big up naomba update zaidi
 
Mimi bado namuunga mkono yule jamaa aliyetuma post akasema mikoa yenye mafala wengi ndiyo pekee wanaoweza kumuunga mkono jk, na pia ndiwo wanaongoza kwa umasikini ktk nchi hii, angalia MTWARA, LINDI SINGIDA TANGA, Ina maabunuasi tu, japokua mikoa hiyo wamejaliwa kila kitu na kikubwa zaid wana bahari na kila aina ya maliasili lakini ni kama wako ktk karne ya 15, jamani tembeeni mjionee,

Hapo sitii neno..ila kwa mikoa ambayo JK ataongoza ni wale ambao hawajui dunia inakwendaje..wamenunuliwa na Khanga, Tshirt, na show za bongo fleva za bure kwani hawana uwezo wa kumudu..kwa wajanja wote..JK hawezi kukatiza..atabwagwa hadi aibu..ila kwa waliochoka ndo anaweza kuwaibia kukiwa na mwanga!
 
Jamani kwa kweli leo ni siku ya furaha sana. Watu wa Mbeya wameamua kutuonyesha kwa vitendo mabadiliko makubwa. Safi sanaaaaaaaaaaaa
 
Mimi bado namuunga mkono yule jamaa aliyetuma post akasema mikoa yenye mafala wengi ndiyo pekee wanaoweza kumuunga mkono jk, na pia ndiwo wanaongoza kwa umasikini ktk nchi hii, angalia MTWARA, LINDI SINGIDA TANGA, Ina maabunuasi tu, japokua mikoa hiyo wamejaliwa kila kitu na kikubwa zaid wana bahari na kila aina ya maliasili lakini ni kama wako ktk karne ya 15, jamani tembeeni mjionee,

Hata hii mikoa wamejitahidi pia, kwa mfano kulingana na TBC, CUF ndo wanaongoza Lindi Mjini kwa hiyo ni habari njema pia kwa upinzani. Japo kuwa ni matokeo ya awali
 
Mimi bado namuunga mkono yule jamaa aliyetuma post akasema mikoa yenye mafala wengi ndiyo pekee wanaoweza kumuunga mkono jk, na pia ndiwo wanaongoza kwa umasikini ktk nchi hii, angalia MTWARA, LINDI SINGIDA TANGA, Ina maabunuasi tu, japokua mikoa hiyo wamejaliwa kila kitu na kikubwa zaid wana bahari na kila aina ya maliasili lakini ni kama wako ktk karne ya 15, jamani tembeeni mjionee,
WE MAJOR SHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII ANGALIA MANENO YAKO. HUJUI HUKO NDO ANAKO TOKA FIRST LADY!!!!!!!!!!!!! nAYE NI ****"****"" U KAPIGA KULA KWA KUMSAPORT SLAAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom