Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
 
Mmesononeshwa na nani?

Kijana ana kiburi hajui kuwa Kuna wakubwa kwake,mnyakyusa wa hovyo kabisa huyo! Ajipange vizuri safari hii hatoboi

Kwanza katengeneza maadui wengi kisiasa ,unategemea Nini?
Taratibu mkuu, hebu tueleze
-kamdharau nani mkubwa wake,
-katengeneza maadui kstika kitu gani?
Kwetu wananchi wake mbona yuko humble na hana majivuni.
Weka mambo wazi, isije ikawa majungu yenu ndiyo mmemfikishia mama Samia.
 
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Mbunge wenu na sisi Mbunge wetu na wale Mbunge wao wote Wana sifa ya Uwaziri au Tufanye wabunge wote wawe mawaziri
 
Nafasi ya uwaziri haina mwenyewe.
Mwakibete amepoteza wenzake wamepata.
Awe mtulivu anaweza kurudishwa
 
Watatokea wa kusema wewe ndiye Mwakibete mwenyewe. Unalia lia kutia huruma.

Turudi kwenye uzi;
Uongozi ni sawa vijiti vya kupokezana. Mwakibete alipopata, kuna aliyeachishwa. Na alipopotez yeye, kuna aliyepata.

Atulie, kuna wenzake wengi tu waliwekwa kando baadae wakarudi kwa kishindo.

Kuhusu miradi, serikali inapaswa kutekeleza si kwa sababu fulani ni Waziri. Bali kwa sababu kuna ulazima wa kufanya hivyo.
 
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Kwani amepokonywa na Ubunge?
 
Hizi I'd fake hovyo kabisa, wewe siyo wa kwanza kutemwa uwaziri, komaa na ubunge maana ndo uliogombea na ukatoa ahadi ya kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Hamdhani kuwa sasa atapata muda mwingi sana wa kushughulikia matatizo ya Rungwe badala ya yeye kuwa Dodoma, au hamumpendi.
 
Taratibu mkuu, hebu tueleze
-kamdharau nani mkubwa wake,
-katengeneza maadui kstika kitu gani?
Kwetu wananchi wake mbona yuko humble na hana majivuni.
Weka mambo wazi, isije ikawa majungu yenu ndiyo mmemfikishia mama Samia.
Kwani amevuliwa ubunge?

Nalaaabuk
 
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!

Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.

Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe.

Tulianza kuona mwanga kuwa miradi muhimu ya miundombinu iliyoahidiwa toka Awamu ya Pili, kuwa sasa itakamilika.

Hii barabara ya Busokelo hadi Katumba inatutesa toka enzi ya ukoloni.

Rais Samia hebu tuonee huruma huyu kijana alikuwa muwakilishi na mtetezi wetu mzuri.
Wanyakyusa sisi siyo wajinga hivi
 
Back
Top Bottom