Matokeo COET- UDSM first semester hewani.

Danos

Member
Dec 21, 2013
88
100
Haya wale wenzangu wa UDSM especially wahandisi wa CoET , jana matokeo ya semester ya kwanza yalitolewa. Nimeshuhudia matokeo ya department ya CME yakiwa yamebandikwa na soon yatawekwa ARIS. Kiujumla matokeo sio mazuri kwani nilishuhudia watu wakishika vichwa kutokana na wengi kutiwa nyavuni(supp), wengine mpaka masomo manne(4). Daah kweli CoET si mchezo.
 
Matokeo hadi tarehe9 au hujasoma Almanac

Ni kweli hiyo ndiyo tarehe ambayo yatawekwa rasmi ARIS. Nenda sasa CoET mambo hewani wamebandika nimeona pale kwenye notice board ya department ya CPE.
 
Taarifa tu:nimehtimu UDSM 2012,kwa iyo usiwe na dharau,humu makazini tupo wa UDSM na wengine toka vyuo vingine,tena ni miongoni mwa wanaofanya vizuri kwenye management n.k
 
Basi kama ni hivyo nina wasiwasi na kazi unayofanya, na bosi aliyekuajiri. Ikiwa tu jambo hili nalo lmekutoa povu kiasi hiki. Kiujumla mi sijakudharau ni mtazamo wangu kama we ulivyoleta mtazamo wako. Ni hilo tu.
 
Haihtaji kuwa na "fikra tunduizi" ili kutambua uwezo wako hafifu kwenye suala dogo kama hili na nakushauri ndugu sometimes you have to involve your conscious mind rather than using subconscious mind kila mara,mnajidanganya sana vijana ambao bado mnasoma na elimu madesa hiyo ya hapo COET,ni bora elimu ingekua inawakomboa hakuna chochote kipya unachotoka unajua hapo zaidi ya ku-format computer au kuchonga funguo,so kwa level yako huwezi kuwa na wasi wasi na ajira yangu au boss wangu,coz what ur saying is typical daftness so jipange,na mimi kama strong and intelligent person siwezi kufanya argument na wewe zaidi ya ku-ignore upuuzi wako,intelligent is nothing to do with education,eti mara "mimi mhandisi.....mhandisi bongo,utaishia kupanga VLC barabarani na akili mufilisi kama zako"
 
Nahisi ulitaka kuandika 'intelligence' !! Hapo usije na utetezi kwamba lugha sio fani yako!

Lakini najua umeelewa,coz nipo fasta kujibu silliness zako wewe fundi saa wa Coet,ambae mbwembwe zote unatoka na Gpa "pass",then unajiita mhandisi,hakuna lolote unalofahamu zaidi ya begi mgongoni na ki-laptop chako cha Dell ulichonunua baada ya kuingiziwa boom na bodi,umejaza movies na games,maisha magumu unashindia mikate,intergrative thinking inahtajika kwa wapuuzi kama wewe na wenzio!
 
Dah wanafunzi wa UDSM wakali, wanajiona wao wanajua kila kitu, kuandika, kuongea na kuelezea hoja. mimi nina wasiwasi kuwa hawa ndo wale wanaoleta vituko bingeni, wanafunzi wa UDSM kwa nini hamuwezi kujibu watu kipolepole. hivi uko chuoni mnalishwa kitu gani mpaka mnakua hivi

mkuu jifundishe kua na hekma ili uwe msomi mzuri wa baadae. AHSANTE SANA KAMA UTANIELEWA
 
Haihtaji kuwa na "fikra tunduizi" ili kutambua uwezo wako hafifu kwenye suala dogo kama hili na nakushauri ndugu sometimes you have to involve your conscious mind rather than using subconscious mind kila mara,mnajidanganya sana vijana ambao bado mnasoma na elimu madesa hiyo ya hapo COET,ni bora elimu ingekua inawakomboa hakuna chochote kipya unachotoka unajua hapo zaidi ya ku-format computer au kuchonga funguo,so kwa level yako huwezi kuwa na wasi wasi na ajira yangu au boss wangu,coz what ur saying is typical daftness so jipange,na mimi kama strong and intelligent person siwezi kufanya argument na wewe zaidi ya ku-ignore upuuzi wako,intelligent is nothing to do with education,eti mara "mimi mhandisi.....mhandisi bongo,utaishia kupanga VLC barabarani na akili mufilisi kama zako"

Umeanza vizuri ila hapo kwenye red ndio umeharibu!!! mara nyingi hizi tunaita ni chuki na wivu ambao ni hatari kwa maendeleo ya nchi na kwako pia.
 
Sio chuki mkuu,mleta mada alinikera sana!

Nilikukera nini? mbona kuna thread nyingi zenye kueleza jambo kama hili la matokeo? kama kweli unajielewa mbona hukucomment huko huo ugoro wako? tatizo lako we ni NGWINI na ndo maana una wivu na chuki kwa wana udsm na coet. We mwenyewe unaquote, quotes za watu unajidai msomi. Jambo gani la muhimu ulilolifanyia taifa hili, ikiwa msomi mzima unakosa hata chembe ya hekima. Nakuheshimu mkuu so linda heshma yako pia. Maana kadri unavyozidi kuandika unazidi kuonyesha udhaifu wako ulionao, na GPA kubwa si kigezo cha kufanikiwa maishani. Jitambue mkuu.!!
 
Mkuu hueleweki,wapi nimemquote mtu?,mambo ya GPA yanaingieje hapa?,niwe na wivu na mwanaCOET?,hiyo experience ya GPA quality ningekushauri mimi na sio wewe coz bado unasoma,wivu dhidi ya UDSM inatoka wapi coz nami nmesoma UDSM na ubaguzi wa vyuo au vitivo tuliacha muda mrefu,nishakwambia wewe sio saizi yangu,saizi yako ni first year wenzio,so jipange!
 
Sio chuki mkuu,mleta mada alinikera sana!

sawa mkuu nimekwelewa!!! ila approach uliyotumia haikua nzuri kiasi flani, BTW signature yako nadhani uitilie maanani!! itakusaidia...
"Namuomba mungu anipe busara na hekima ya kugundua jambo zuri kwa wakati sahihi...............!"
karibu sana!!
 
Mtu wa Udsm akiposti mnapenda kumcritisize au mnaona wivu?kama hayakuhusu potezea usiwe ka chaja ya kobe kuchaji kila battery
 
Ila kweli mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe jamaa nae ana makosa asipende kujisifia et yupo kwenye ajira kwan ndio kipimo approach yake ilikuwa co et humu n ubao wa matangazo we kwan ndo owner aache zarau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom