Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa

Hii kitu sijui imeishia wapi?? hao Apollo mbona hapa Bongo wapo??

Apollo Hospitals to render specialist health services in Tanzania



May 28, 2011, 12.25pm IST
Tags:

DAR ES SALAAM (TANZANIA): Apollo Hospitals, one of India's leading chain of super speciality and referral hospitals, will render specialist health services in Tanzania following the signing of a Memorandum of Understanding ( MoU) between India and Tanzania.
Three agreements were signed between India and Tanzania on Friday, among which the first one was a joint venture to increase trade and small-scale industries between the two nations.
The second was to start a chain of Indian hospitals especially known for heart treatments in association with the Ministry of Health and Social Welfare of Tanzania.

The third agreement was an agreement for the avoidance of double taxation and the prevention of fiscal evasion with respect to taxes on income.
Apollo Hospitals Chairman Dr. C Prathap Reddy said that the prime motive of the group's venture in the African nation would be to spread awareness and render preventive health care.
"I am glad that we are at Tanzania, but this is not the beginning or the end of it. There are a lot of expansions going on. We are into 360 degrees of health care. This is why I have said that we have excelled in clinical excellence. We have got the service excellence, technological excellence, but using technology we are trying to build 360 degree of health in bringing awareness, bringing prevention, we have done world's largest preventive check ups apart (from) treating 20 million people," Dr. Reddy said.
He further mentioned the concentration of their hospitals in Tanzania would be to provide world-class health facilities to the patients.
"This is going to be a brand new land, virgin land on which we are going to build a hospital which will suit our design to deliver tertiary and cardiac care hospital for people who do not have to go to other place majority of times," Dr. Reddy said.

[COLOR=#000000 !important]Ads by Google


Apollo Hospital set up in Tanzania - YouTube







[/COLOR]
pixel.gif
 
1.India matibabu ni bei poa na wanatoa mkopo kwa Tz.
2.Ma dakitari bingwa wetuwana mahospitali Yao binafsi kwa hiyo kwa vyovyote vile mtu atalipia matibabu.
3.Vijana wanayomaliza masomo Muhimbili wanalipwa hela kidogo wanakimbilia NGOs za UKIMWI na Malaria hawaendelei na masomo zaidi.
4.Hospital kubwa itajengwa karibuni Dar kushirikiana na hopitali ya Apollo.
 
Hivi hizi hela zote tunazoziteketeza katika kuadhimisha miaka hamsini ya nchi ambayo haipo kisheria (Tanganyika) hazitoshi kujenga hospitali kama hiyo ambayo viongozi wetu wanaikimbilia huko India?. Ni mawazo yangu tu
 
..sisi acha tuendelee na dozi za muarobaini. Maleria inaenda kutibiwa India? Maleria!
 
India haipo kwa wanasiasa tu, hata watanzania wa kawaida huwa wanaenda. Kama vipi nawe jipange uende.
 
Nimekuwa nikifuatilia umuhimu wa Nchi ya India hasa kwa matibabu ya viongozi wetu wapendwa wa Tanzania. Bora hao viongozi wetu inaposhindikana kutibiwa kwenye hospital zetu hapa nchini wanapelekwa India. Kwa mfano Mh. Zitto inasemekana amekutwa na wadudu 150 wa malaria lakini Hospital ya Taifa ya Mhimbili wameshindwa kumtibu na hatimaye amepelekwa India kwa matibabu. Kuna mawaziri 3 wa serikali yetu wamepelekwa India ambao ni Prof. Mwandosha, Dr. Mwakyembe na Dr. Chami. Je wewe mtanzania wa kawaida unayetoka Bunda au kijiji chochote hapa Tanzania ukikutwa na hao wadudu 150 wa malaria ikashindikana kutibiwa utapelekwa wapi?
 
Hiyo hela ya kwenda kwa amita bachani si tungewekeza hapa hapa na tunge kunge weza kuwalipa ma DR ili kazi ifanyike home'
 
Rasi wa Tz alienda Afrika ya kusini mwaka juzi alikutana na madaktari wa TZ ambao walennda kusoma kule na walipomaliza masoma.
Walipewa kazi,Raisi wa Tz aliomba warudi nyumbani kufanya kazi.(kwa vitisho)
Baada ya kurudi,Ahadi alizo toa ni danganya toto.
Je utategemea nini mshahara ni mdogo sana hapa ni bora ufanye kazi nje utaweza kupata maji ya kunywa.
 
Hata zito naye malaria tu kakubali kwenda india nlikuwa namjua ni mtanzania hodari kumbe ni mwizi tu dah !
 
Kumekuwa na wimbi la viongozi kukimbizwa india wakiumwa ,huyu rais wa JMTakiumwa watamkimbiza wapi ?
 
Anakwenda UK; Unakumbuka Malecela alikimbizwa UK then akaenda USA naona Waziri Mkuu kwenda juu U.K
 
Wajinga ndiyo waliwao. Uchumi mmewapa wahindi na sasa roho zenu! How stupid are they to think that India can solve their problems whilst they are themselves a problem. Si watoe urais kwa mhindi ili wapate hizo huduma badala ya kupoteza muda wenye uchovu kwenye madege? Nani ajua? Huenda kuna hospitali ambazo ni miradi ya wazito. Maana ukiangalia hata wizi wa rada, dege mafua la rais, na ufisadi mwingine lazima awepo mhindi mwezeshaji. Mtakoma wabongo kwa kuogopa kuwatolea uvivu wezi wenu wanaoitwa waheshimiwa. Nawasilisha.
 
Tutakapotunga katiba mpya tuweke sheria, ya kuwabana wanasiasa na mawaziri kutotibiwa nje au kusomesha watoto nje ya nchi, na atakayefanya hivyo basi ajiuzulu kwanza nafasi yake, the same kwa wale wanaotaka kuchanganya biashara na siasa. Kwa kufanya hivyo hospitali huduma zitakuwa nzuri na mashule yetu yatahudumiwa vizuri na wahusika kwa kuwa watakuwa wanajua kuwa watoto wao watalazimika kusoma hapahapa nchini na wao wakiumwa watatibiwa hapahapa.
 
Hivi karibuni kumekuwapo taarifa za Mawaziri na wabunge kuugua na wote kupelekwa India kupata matibabu. Kinachoniskuma kuhoji kwamba Bunge linapata kamisheni katika Hospitali za India ni kutokana na Wabunge kuhudumiwa kwa takriban asilimia 100 na Bunge. Hivi hakuna Hospitali katika nchini nyingine zenye uwezo wa kuwatibia Wabunge?

Mwaka jana kama sikosei yule Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga alifanyiwa operesheni ya kichwa ambayo ilifanyika Kenya. Hii inaonyesha jinsi wenzetu wanavyozithamini na kuwa na imani nazo hospitali zao. Angekuwa Pinda, basi angepelekwa India au hata UK na nchi nyingine za magharibi.
 
sawa sawa kaka, madaktari wetu wengi wanasoma ili wafaulu si kuelewa na wawe professionals ndio maana mgonjwa anayetakiwa kufanyiwa operation ya kichwa anafanyiwa ya goti na yule anayetakiwa kufanyiwa operation ya goti anafanyiwa ya kichwa, sasa si heri tunywe miarobaini tu
..sisi acha tuendelee na dozi za muarobaini. Maleria inaenda kutibiwa India? Maleria!
 
Nimekuwa nikifuatilia umuhimu wa Nchi ya India hasa kwa matibabu ya viongozi wetu wapendwa wa Tanzania. Bora hao viongozi wetu inaposhindikana kutibiwa kwenye hospital zetu hapa nchini wanapelekwa India. Kwa mfano Mh. Zitto inasemekana amekutwa na wadudu 150 wa malaria lakini Hospital ya Taifa ya Mhimbili wameshindwa kumtibu na hatimaye amepelekwa India kwa matibabu. Kuna mawaziri 3 wa serikali yetu wamepelekwa India ambao ni Prof. Mwandosha, Dr. Mwakyembe na Dr. Chami. Je wew
 
Nimekuwa nikifuatilia umuhimu wa Nchi ya India hasa kwa matibabu ya viongozi wetu wapendwa wa Tanzania. Bora hao viongozi wetu inaposhindikana kutibiwa kwenye hospital zetu hapa nchini wanapelekwa India. Kwa mfano Mh. Zitto inasemekana amekutwa na wadudu 150 wa malaria lakini Hospital ya Taifa ya Mhimbili wameshindwa kumtibu na hatimaye amepelekwa India kwa matibabu. Kuna mawaziri 3 wa serikali yetu wamepelekwa India ambao ni Prof. Mwandosha, Dr. Mwakyembe na Dr. Chami. Je wewe mtanzania wa kawaida unayetoka Bunda au kijiji chochote hapa Tanzania ukikutwa na hao wadudu 150 wa malaria ikashindikana kutibiwa utapelekwa wapi?

LOLIONDO kwa Babu-kama wanasiasa hawahawa walivokuwa wanapita FAST TRACK line kupata kikombe chapchap nawe ukienda na referral toka Muhimbili utamwona Babu straight (sina hakika kama bado kuna foleni kwake)
 
Back
Top Bottom