Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa

Kwa nini tusiwe na hospitali hapahapa nchini ambazo zinatoa huduma bora zaidi ili na sisi tuhudumie viongozi wa nchi nyingine?
Kama wataalam wenyewe ndo wale wanaofanya operation ya kichwa badala mguu tutaweza kweli?Wacha waende India tu.
 
Hivi karibuni kumekuwapo taarifa za Mawaziri na wabunge kuugua na wote kupelekwa India kupata matibabu. Kinachoniskuma kuhoji kwamba Bunge linapata kamisheni katika Hospitali za India ni kutokana na Wabunge kuhudumiwa kwa takriban asilimia 100 na Bunge. Hivi hakuna Hospitali katika nchini nyingine zenye uwezo wa kuwatibia Wabunge?

Sijawahi kumuona askari magereza au polisi mwenye asili ya kihindi. Wao ni bungeni na kariakoo tu, kama kweli ni watanzania kama wengine wakajiunge jeshini sio iwe bungeni pekee
 
Hivi karibuni kumekuwapo taarifa za Mawaziri na wabunge kuugua na wote kupelekwa India kupata matibabu. Kinachoniskuma kuhoji kwamba Bunge linapata kamisheni katika Hospitali za India ni kutokana na Wabunge kuhudumiwa kwa takriban asilimia 100 na Bunge. Hivi hakuna Hospitali katika nchini nyingine zenye uwezo wa kuwatibia Wabunge?

Zipo Nairobi, SA
 
[h=2]90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi[/h]
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
1.ukimwi
2.kisukali
3.pressure
4.
5.
Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.

Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.

Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.

Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi

ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​
 
Suala la kutibiwa nje ya nchi lisiwasumbue sana kwasababu hata mke wa Obama mwenyewe alishawahi kwenda Afrika ya Kusini kupasuliwa jipu. Nadhani ni suala la maamuzi tu na hakuna kingine hapo.

Si suala la maamuzi bali ni kama alivyonena Chatumkali kwamba viongozi wetu wakiwemo wabunge ndiyo wenye haki zaidi ya kutumia sehemu kubwa ya keki ya taifa hili. Wengine nendeni Mwananyamala.
 
Wanajamvi
Mimi kama mtanzania mpiga kura,nasikitishwa sana na kasumba tuliyoiendekeza ya viongozi wetu kupelekwa kutibiwa India huku sisi wapiga kura tunagombania panado katika hospital zetu.wakati wanatuomba kura walisema wanataka kututumikia na waliahidi kuboresha huduma za afya,najiuliza tu kuwa gharama zinazotumika kuwatibu,safari,masurufu n,k hazingetosha kuleta vifaa bora vya tiba na tukatumia madaktari wetu waliopo na kuwaboreshea maslahi.Huu ni uzembe mkubwa wa kufikiri wa viongozi wetu.
Nadhani ni wakati mwafaka na sisi wapiga kura tudai kupelekwa India kutibiwa tunapougua,kwani ndio tuliowaweka hao wanaopelekwa India kwa kodi zetu.
Nchi hii viongozi wameigeuza kama geto tu au chimbo la mavuno,then wanastarehe ulaya,tiba India,watoto masomo nje n.k
Ipo siku nasi tutalazimisha India na kama hawataki basi nao wasiende au tuwape hospitali zetu wahindi ili wote tutibiwe hapa nchini,imekuwa kasumba, mwenye safura India,surua India,Malaria nayo inataka kupelekwa India,mafua India,India! India! India! walalahoi kwenda India mpaka Uchangiwe kwa m-pesa wakati viongozi wanatanua kwa kodi zetu.
2015 kitaeleweka,sitamani ya Misri ila inauma sana.
am out!
 
Mbona rahisi sana, sema tu au nenda kwenye vyombo vya habari sema kuna watu wanataka kuniua na wameshaniwekea sumu au jiunge na chama fulani hivi kisha jifanye una kisukari au "BP ya kushuka na kupanda" halafu kula nao dili kuwa kwenye huo msafara utaenda na viongozi au watoto wa viongozi wa chamafulani chenye bendera ya jembe, lazima utapelekwa. au sema nanihii ni ndugu yako yule jamaa yule sijui ndie asiyefahamu matatizo ya watu wake
 
Wanajamvi
Mimi kama mtanzania mpiga kura,nasikitishwa sana na kasumba tuliyoiendekeza ya viongozi wetu kupelekwa kutibiwa India huku sisi wapiga kura tunagombania panado katika hospital zetu.wakati wanatuomba kura walisema wanataka kututumikia na waliahidi kuboresha huduma za afya,najiuliza tu kuwa gharama zinazotumika kuwatibu,safari,masurufu n,k hazingetosha kuleta vifaa bora vya tiba na tukatumia madaktari wetu waliopo na kuwaboreshea maslahi.Huu ni uzembe mkubwa wa kufikiri wa viongozi wetu.
Nadhani ni wakati mwafaka na sisi wapiga kura tudai kupelekwa India kutibiwa tunapougua,kwani ndio tuliowaweka hao wanaopelekwa India kwa kodi zetu.
Nchi hii viongozi wameigeuza kama geto tu au chimbo la mavuno,then wanastarehe ulaya,tiba India,watoto masomo nje n.k
Ipo siku nasi tutalazimisha India na kama hawataki basi nao wasiende au tuwape hospitali zetu wahindi ili wote tutibiwe hapa nchini,imekuwa kasumba, mwenye safura India,surua India,Malaria nayo inataka kupelekwa India,mafua India,India! India! India! walalahoi kwenda India mpaka Uchangiwe kwa m-pesa wakati viongozi wanatanua kwa kodi zetu.
2015 kitaeleweka,sitamani ya Misri ila inauma sana.
am out!

Umedhungumza mambo ya msingi sana, hivi watanzania tumerogwa na nani? Libya walipewa kila kitu lakini wamehasi, sisi hatupewi chochote tunasubili nini?

India wataenda kina Nape, Ridhiwani, Beno malisa, Chilligati, Sitta, peke yao.
 
Na tena wahindi hao hao tuliwapa reli ikawashinda au kwa vile wamenunua airtel? yaani mambo yalivyo ni kama vile kuna mkataba wa matibabu kati ya India na serikali! Marekani ni taifa tajiri kuliko yote duniani lakin raia wake wako barabarani kudai maisha bora,
Siku tukimgundua aliyeturoga itakuwa ndo tiba ya ujinga wetu.
 
Hello wanajamvi,nimeona nikiwa mmoja wa wazelendo wa nchi yangu nionyeshe wasiwasi wangu ktk hili wimbi la viongozi wetu kupelekwa India kwa matibabu.hv ni kweli India inastahiri kuwa hospitali yetu ya rufaa?,mwanzo niliwahi kuambiwa kuwa kule ndiko kwenye madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo ila nashangaa kuona ata mtu akizidiwa kwa malaria option ya serikali uwa ni kumpeleka India,kwa nn tusipeleke madaktari wetu ili wakajifunze kile ambacho sisi ambacho hatuna ili waje kuimarisha Muhimbili yetu.Au kunani chini ya kapeti?.
 
Tatizo sio kwenda kwa ajili ya matibabu yameshindikana hapa, ni kuongeza wigo wa kukamata kakiasi, hujui kama kuna vipadiem kadha wa kadha kule? Lazima wife aende, lazima nesi toka wizarani awepo na wengine kidogo. Kwani ishu kama ya ZK si ugonjwa wenyewe umegundulika tayari na umegundulika hapa hapa Dar? kwahiyo ugonjwa ugundulike hapa dawa ukanywee India?

Wanaondoa maana halisi ya yale magonjwa ya kweli yanayotakiwa kupelekwa nje ya nchi, inasikitisha na kuuma sana unaposikia sometimes hawaendi hata kutibiwa wanaenda kwenye 'normal body check up'
 
zitto ana zaidi ya malaria. Huenda ana uvimbe kichwani. Ila ukweli ni kuwa serikali inajidhalilisha katika hili.
 
serikali ya mabogus hiiii
kwanini hatubadiliki na mipango hatuna!
 
Hello wanajamvi,nimeona nikiwa mmoja wa wazelendo wa nchi yangu nionyeshe wasiwasi wangu ktk hili wimbi la viongozi wetu kupelekwa India kwa matibabu.hv ni kweli India inastahiri kuwa hospitali yetu ya rufaa?,mwanzo niliwahi kuambiwa kuwa kule ndiko kwenye madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo ila nashangaa kuona ata mtu akizidiwa kwa malaria option ya serikali uwa ni kumpeleka India,kwa nn tusipeleke madaktari wetu ili wakajifunze kile ambacho sisi ambacho hatuna ili waje kuimarisha Muhimbili yetu.Au kunani chini ya kapeti?.
Tunakula hasara. Kwa jinsi nchi hii tunavyoenda tumepoteza dira.
Siwezi kuamini miaka 50 ya uhuru tunashindwa kutraining specialists kwenye referal hospital. Tukaweka na vifaa. T shs vs USD problem inaendelea tu hapa.
 
Wakiweza kuondoa rushwa M'mbili,labda huduma zitakua bora.Otherwise hakuna kitu.Hata tuletewe vifaa vilivyopo USA + Majengo.
 
Wanasiasa wa Tanzania wamejazana bara hindi wanatafuta nini? Au babu wa loliondo kahamia India? nini! Au ndio historia inajirudia ya akina vasco da gama kutafuta pilipili manga bara hindi.
 
Wana JF hivi serikali inatumia shilingi ngapi kumpelika mgonjwa mmjo India?
Na niwangapi wameshapellekwa India?
Kwani ni shilingi ngapi zinahitajika kuboresha muhimbili hospital?
Ni shilingi ngapi zinahitajika kusomesha au kutafuta ma Dr wakuweza kufanya kinacho fanyika India?

Au haiwezikani kuboresha Muhimbili hospital kwa sababu mafisadi wachache watokosa ten parcent?????
Nikifikiri sipati jibu.Labda kuna mtu anajibu.
 
Back
Top Bottom