plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,381
- 1,414
Hi Guys!
Karibu katika Chellenge. Tutadeal na numbers only kasoro sifuri (zero). Zero (0) its nothing, kwahiyo hatutaitumia. Nitatoa challenge kama tatu hivi. Na ntasoma mawazo yenu na ntatoa jibu moja litakalokuwa common kwa wote.
NOTE: Kuna watu pia watakuwa wanajua hizi tricks, hivyo hapa tutafahamu jinsi tricks hizo zinavyofanya kazi.
CHALLENGE NO 1:
Fikiria namba isipokuwa sifuri.
Ijumlishe hiyo namba kwa yenyewe.
Jibu utakalopata lizidishe kwa 10.
Jibu utakalopata gawanya kwa namba uliyoifikiria.
Kisha jumlisha 8.
Jawabu lako la mwisho ni 28.
CHALLENGE NO 2.
Fikiria namba nyingine isipokuwa sifuri.
Ijumlishe kwa yenyewe.
Jibu utakalopata zidisha kwa 13.
Jibu utakalopata gawanya kwa namba uliyoifikiria.
Kisha jumlisha na 14.
Jibu lako la mwisho ni 40.
CHALLENGE NO 3.
Fikiria namba nyingine.
Ijumlishe kwa yenyewe.
Zidisha kwa 3 jibu ulilopata.
Gawanya kwa namba uliyoifikiria.
Jumlisha 4.
Jibu lako la mwisho ni 10.
Kumbuka kufikiria namba yoyote ile isipokuwa sifuri. Next time tutadiscuss Vortex Math na jinsi inavyofanya kazi.
Be There.