Mateso ya Vengu (Joseph Shamba), serikali imsaidie!

Polee saana Vengu! Dis iz Tz bhana tumikaaaa mwisho wa siku unaachwa kama kikaragosi aliachwa yule Mama alowahi kuwa DC ndio Vengu akomae tuu
 
Mchekeshaji marufu wa vichekesho nchini wa kundi la zecomedy ambaye anasumbuliwa na ugonjwa unaodaiwa kushambulia sehemu za kichwa.unaomtesa mpaka sasa baada ya kuka chumba cha ICU takribani miezi miwili afya yake imezolota sana tunaiomba serikali imuangalia nae aende nchini india akapate matibabu.je nani hajui mchango wake katika nchi hii
ni kweli anahitaji msaada... Je ww erick joseph umemsaidiaje?
 
Pole sana Vengu. Mungu anyooshe mkono wake na kukugusa hapo ulipo. Kila jambo kwa Mungu linawezekana. lets pray for him.
 
vipi maendeleo?
Kuna nafuu yoyote.
Hapo alikuwa anapita tu kwenda kumuangalia jamaa yake mwingine. Jamaa wakamtonya..."yule kijana anayefanya the O.K naye yuko hapa" akasema... "oh! ngoja na yeye nimsalimie....ndio wapiga kura wetu hawa"..tehetehee
 
huyu si wamoeleke india huyu..mbona sheikh yahaya alipelekwa...?
 
Yule si muajiliwa wa Yusuf Manji??? sasa kwanini manji asimpeleke India kumutibia au ndo yaleyale ya kutumika kama mpira?? au kuna nini Manji si kibopa wa ukweli sasa kwa nini hamjali mtumishi wake??? na hao comedi orijino wenzake wanafanya nini kumsaidia kabla haijawa ishu ya kitaifa???
 
itakuwa alikuw kapumzika baada ya kumaliza ngwe ya kwanza
hahahahah!!!!!!!!hivi guest hakumaanisha hakuwa kalog in?


af guest lazima uwe na kiburudisho khaaaaaa
Ulikuwa unasoma ukiwa guest hse?Totos alikuwa anafanya mini.lugha gongana
 
Back
Top Bottom