Matatizo ya St. Joseph Arusha campus

Oct 2, 2014
74
6
WANAFUNZI CHUO KIKUU ST.JOSEPH ARUSHA WAWEKA MGOMO Wanafunzi wa chuo kikuu cha ST.JOSEPH kilichopo Kisongo mkoani Arusha wameitaka serikali kutoa tamko kwa chuo hicho kwamba ni cha halali ama sio cha cha halali kwani hawatendewi haki ya kimasomo kama ilivyo vyuo vingine. Wakizungumza na waandishi wa blog hii wanafunzi hao ambao wameweka mgomo na kukataa kusoma katika chuo hicho wamedai chanzo ni baada ya kauli aliyotoa bungeni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa kuwa chuo hicho kinatoa masomo ngazi ya Diploma na sio Degree hali ambayo imepelekea wanafunzi hao kufanya mgomo ili kutaka kujua hatma yao katika chuo hicho kwani wengi wao wanasoma degree.

Wamesema wanaiomba serikali kulitumia macho suala hilo kwani wanashindwa kuwa na imani na chuo hicho kutokana na jinsi ambavyo wanapata mafunzo kupitia walimu ambao hawana uzoefu ulio bora wa kuwafundisha. Naye Raisi wa chuo hicho ndg.Jumanne Maryogo amesema hawaoni muelekeo mzuri katika chuo chao ikiwemo mfumo ambao wanatumiwa kufundishiwa kwani wanabadilishiwa walimu mara kwa mara hali ambayo imesababisha kutokuwa na utaala uliobora kwa wanafunzi hao.

Blog hii imelezimika kumtafuta mkuu wa chuo hicho ili aweze kuzungumzia mgogoro huo ambapo Makamu mkuu wa chuo hicho bwn.Siles Balasink amesema wanafunzi wamefanya mgomo huo baada ya kusikia kauli ya waziri lakini pia amedai chuo hicho kina usajili uliokamilika wa TCU hivyo amewataka wanafunzi warudi chuoni ili waweze kupata suluhu ya mgogoro huo. Hata hivyo wanafunzi hao walikuwa na jazba kutokana na kudai haki zao wanedai kwenda mpaka katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma ili wapeleke malalamiko yao na hatimaye waweze kutatuliwa
 
Si yupo mbuge wao lema kwani shida iko wap si wamuambie hizo kerro

Nina imani kama hiki chuo kingekuwa kwenye jimbo la LEMA,ushenzi wa jinsi hii usingekuwepo maana jamaa kwa kutetea haki hajambo.
Hivyo huenda kikawa kwenye jimbo la wazee wa ndiyoooooooooooooooooooooooooo...wakiwa mjengoni
 
Chuo hahiko kwenye jumbo la Lema kiko kwenye jimbo la Olemedey CCM Arumeru mashariki
 
Hawa watu ni wezi,Takukuru wafatilie usajili wa hiki chuo.
Wahusika walio wapa usajili pia wakamatwe maana wameshiriki kuhujumu uchumi wa watanzania.

Watu wmesajiliwa kwenda soma digrii kumbe ni diploma.
Nikiwa kama mlezi,endapo chuo kitafutwa wazazi na walezi wenzangu nawaomba tujipange kwenda mahakamani.
 
Hao wadosi wapuuzi wamekuja kupiga pesa tu. Tanzania ni kama shamba la bibi, wamepitia mgongo wa kanisa wanakula pesa. Matapeli watupu
 
Tatizooo sioo chuo tatizoo ni marks zakoo ndogoo ulizopata form six hahahaha tusidanganyane bhanaa BRN bhanaaa kwaninii usingeenda udsm au hata udom ulikosaaa???!!!! Points za six hazisomii leoo unalalamika semenii ukwelii division ya six mbovu ndo tatizoo lazima wawaendeshe watakavyoo si mnauroho na bumu hahahhaha tuseme ukweli bhanaaa
 
ivi we una akili kweli wangapi wapo udom tume wazidi kiwango cha kufaulu usi ishi kwa kukariri ww
 
kuwa na akili pale udsm kuna watu wa four huku kwetu kuna watu wana one kali kabsa then unasema eti marks ndogo hv unaumwa au uchizi acha kufili kwa kutumia matako ww
 
Tatizooo sioo chuo tatizoo ni marks zakoo ndogoo ulizopata form six hahahaha tusidanganyane bhanaa BRN bhanaaa kwaninii usingeenda udsm au hata udom ulikosaaa???!!!! Points za six hazisomii leoo unalalamika semenii ukwelii division ya six mbovu ndo tatizoo lazima wawaendeshe watakavyoo si mnauroho na bumu hahahhaha tuseme ukweli bhanaaa

una akiri timamu kweli?
 
Acheniii uongo etiii udsm watuu wana four hahahhah nyie mngeenda hata SUA kama mngekuwaa na marks nyingi za PCB semaa hamjachelewa muapply upya st joseph kombakomba la division three mmepaniki wakati ndo ukweli hahahhah TCU application zipo on fanyeni kuapply na three zenuizoo alafuu mkose hata hicho st joseph marks zenu ndogo bhanaa
 
we na zarau zako nikwambie wanafunzi wa ud wote malayaaaaa kile sio chuo ni danguro la wanaojiuza
 
Acheniii uongo etiii udsm watuu wana four hahahhah nyie mngeenda hata SUA kama mngekuwaa na marks nyingi za PCB semaa hamjachelewa muapply upya st joseph kombakomba la division three mmepaniki wakati ndo ukweli hahahhah TCU application zipo on fanyeni kuapply na three zenuizoo alafuu mkose hata hicho st joseph marks zenu ndogo bhanaa

ud ndo chuo kinachoongoza kwa matahira kama mmepata one kwann mnajiuza si mubuni biashara au muombe nafas kwa mda mfanye kazi ud malayaaaaaa hamna lolote
 
Back
Top Bottom