Matatizo ya ndoa yanarithishwa?

Maswali yangu:</u></b>
  1. Je, ni sahihi kwa mume kugoma kulipia nyanya na vitunguu ili abaki na matumizi makubwa tu?
<ol style="list-style-type: decimal">Je, ni sahihi kwa mke kugharamia familia yake ya mkoa at the expense ya kujenga familia yake mwenyewe?
Je, hii familia itaweza kudumu katika ndoa maana mke ameshatishia kuondoka?
Je, matatizo ya kifamilia yanarithishwa kati ya kizazi na kizazi.
. Biblia inasemaje? 1). Kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. 2). Wanaume wapendeni wake zenu nanyi wanawake watiini waume zenu 3). Mwanamke mpumbafu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Huyo mwanamke elimu yake hamsaidii na anampendea mwanaume fedha. Ingaa umedai wanapendana sana lakini ukweli ni kuwa hakuna mapenzi bali wameunganishwa na uzi mwembamba wa fedha. Naogopa siku ukikatika mapenzi hakuna. Plz mweleze huyo nyamaume ameliwa aachane na huyo GUBERI kwani halipi.
 
Hapa huu uzi nimeupenda sana! Wanawake wanaofanya kazi ni shida, akipata Hata kuwa promoted kazini ni kama haisaidii kitu kwenye kipato cha familia, huwa wanaona pesa ambayo ni tamu ni ya Mume tu! Zao ni chungu sana!
Hata akiwa na hela hataki kuitoa kwa kuchangia matumizi. Wanaume tuzidi kukomaa. Mapenzi ya wanawake wengi ni pale una hela! Ikikatika ujue huna mke tena!
 
Yereuwiiii! Kwahiyo mie nabeba majukum ya mume? Huwa tunagawana majukum pasu kwa pasu lakini pia hela inayobakia inakuwa ya akiba pia ruksa mtu kumtoa mwenzake!
 
Mke yupo sawa kidizain na mume pia yupo sawa kiaina sababu yupo kwenye ujenzi...lakin mkev asiondoke kwenye ndia ksbisaa...
Kuna koo utakuta watoto wa kike wote wamezaa nyumban au wotee talaka sasa hao naona wana roho ya kukipimbia ndoa na kulundikana nyumban..ahahah
 
Ebu nsaidie huyu mke yupo sawa katika nyanja gani ndugu
 
Hayo Ndo Matatizo Ya Wasomi Kwa Wasomi Wakioana Lazima Itakuwepo Tofauti Kila Mmoja Atajiona Yuko Sawa Kuliko Mwenzie
 
Sidhani kama mdada ni selfish. Maybe na yeye anataka kuprove point yake. Unajua tena wanawake wasomi hawapendi kuendeshwa.Ila ya mwanaume kuwa strong ndo imepelekea kuwa katika situation waliyopo. Mke akiamua kubaki na stand yake na mume na ya kwake lazima watachokana.

Nakubaliana na mengine yote.

Kosa analofanya huyo Dada ni kutaka kuonekana kua yeye ni mtu mzuri kwa ndugu zake na anaweza kuamua lolote atakalo hata kama mume hapendi. Anatakiwa atambue na awakumbushe hao ndugu zake kua yeye yupo chini ya mume hivyo hufanya Yale wanayopanga pamoja. Hao ndugu zake wanapaswa kujitegemea na si kumnyonya ndugu yao.
 
Ebu nsaidie huyu mke yupo sawa katika nyanja gani ndugu

Ni jukumu la mume kuhudumia familia ktk kila kitu...kwa kawaida mume hupaswi kuupangia matumiz mshahara wa mkeo we timiza wajibu wako ma hasa sababu analalmika mshahara mdogo na analea familia yake pia...kwa mume yupo sawa pia sababu anajenga na pengine majukumu yamemzidia....ni vitu vinavyozingumzikika ila pana kitu zaid tusichokijua kinachofanya igomvi uwe mkubwa...pengine mke analalamika sababu anajua kipato cha mumewe na anajua anaweza fanya ila hataki tu...
 
Duuh bhas me mwenzio ndoa itanishinda kama ndio inakuaga hivyo...eti mume anatakiwa kuhudumia kila kitu? How come alafu mke anamshahara nyumban kaja kukua au! Si bora angebaki kwao? Au ameniletea papuchi tu? Maisha ya ndoa ni kusaidiana,ku negotiate kila jambo bila upande mmojawapo kuegemewa...Hivyo mume kuhudumia kila kitu me kwangu hapana aseeh labda kama mke golikipa but incase anaingiza na mimi naingiza...no
 
Ahahah...kusaidiana ndo vizuri na ndo mpango bt kuna wanaume wengi tu hawajui wake zao wanapokea sh ngapi wala hawataki.....afu wanaume wakisaiddiwa nao uwa wanatabia ya kubweteka flan......yani wanawake wanafundishwa kabisa wasijifanye vihere here kuudumia familia si jukimu lao
 
Wewe unafanyaje mkuu
 
Back
Top Bottom