MATATA Anusurika Kipigo

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
375
Mh. Henry Matata wiki iliyopita alinusurika kipigo kutoka kwa vijana alowapa kazi ya kupakua mizigo yake kutoka kwnye mitumbwi eneo la Mwaloni jijini Mwanza.

Sekeseke hilo lilikuwa hivi, baada ya mitumbwi kutia nanga aliwachukua vijana kuwa waende wateremshe mizigo kwa makubaliano kuwa atawalipa baada ya kazi. Vijana wale wakatii, baada ya kumaliza kazi vijana walimwambia Mh. kuwa tayari wamemaliza kazi so awape chao.

Mh. alikuja kuakiki kama ni kweli kazi imeisha, baada ya kuridhika kuwa kazi yake imeisha Matata akawaambia "ok, asanteni" akaanza kuondoka, ndipo vijana wale waliokuwa zaidi ya 50 wakamzunguka, Mh. kuona vile akatoa bastora yake, bahati nzuri au pengine mbaya, rafiki yake matata alimuona Mh. akitoa Bastola akasikika akisema "Matata rudisha bastola watakuua" mara moja Mh. akarudisha bastola mfukoni na kuanza kutii maagizo ya vijana wale, kwanza alikarishwa chini ya ulinzi na akaamriwa awape pesa zao, Mh. akatoa pesa mfukoni na kuanza kuwalipa, zilipungua, ndipo akapiga simu kwa mtu asiye fahamika mara moja na baada ya muda mfupi mtu huyo akaja na pesa zingine ili kuwamalizia vijana.

source: Nilikuwepo mimi.
 
Hajaacha ujinga bado
 
Vijana walikuwa 50, inahitaji uwe na risasi 50
kuwamaliza. Matata una bahati kweli.
 
Ni upuuzi na udaku na mambo ya kike kike ninadhani mnafuatilia hata nyumba za watu nani anagombana na mkewe na watoto ili mumwanike ktk Jf nijuavyo mimi Matata alipishana kimapatano na wale vijana nao walikua kama 9 hivi sasa vijana 50 hayo mawe yalikua ktk Mv Mapinduzi? Na hakuna bastola iliyotolewa kuna watu wanapenda kukuza mambo bila sababu ya msingi mradi waonekane wameleta thread ktk Jf
 
Hizi bastola siku hizi Tanzania, soon tutaanza kulia kama USA na hatutaweza tena kuzirudisha. Watu wana abuse kuwa na hizi bastola.
 
Mh. Henry Matata wiki iliyopita alinusurika kipigo kutoka kwa vijana alowapa kazi ya kupakua mizigo yake kutoka kwnye mitumbwi eneo la Mwaloni jijini Mwanza.

Sekeseke hilo lilikuwa hivi, baada ya mitumbwi kutia nanga aliwachukua vijana kuwa waende wateremshe mizigo kwa makubaliano kuwa atawalipa baada ya kazi. Vijana wale wakatii, baada ya kumaliza kazi vijana walimwambia Mh. kuwa tayari wamemaliza kazi so awape chao.

Mh. alikuja kuakiki kama ni kweli kazi imeisha, baada ya kuridhika kuwa kazi yake imeisha Matata akawaambia "ok, asanteni" akaanza kuondoka, ndipo vijana wale waliokuwa zaidi ya 50 wakamzunguka, Mh. kuona vile akatoa bastora yake, bahati nzuri au pengine mbaya, rafiki yake matata alimuona Mh. akitoa Bastola akasikika akisema "Matata rudisha bastola watakuua" mara moja Mh. akarudisha bastola mfukoni na kuanza kutii maagizo ya vijana wale, kwanza alikarishwa chini ya ulinzi na akaamriwa awape pesa zao, Mh. akatoa pesa mfukoni na kuanza kuwalipa, zilipungua, ndipo akapiga simu kwa mtu asiye fahamika mara moja na baada ya muda mfupi mtu huyo akaja na pesa zingine ili kuwamalizia vijana.

source: Nilikuwepo mimi.

Alitaka kufuata nyayo za Marehemu Mabina?
 
.
Samahani wandugu, Tena kwa mshangao na masikitiko huyu H.Matata namfahamu tangu shuleni hizo ndiyo zake...... Kudhulumu jasho la wengine, kuonea walalahoi... Ivo bado hajakuwa huyu nao kesha badili jina mara nyingi ORIGINO jina llake halisi ni "Tinda" !!
 
huyu jamaa aliyemshauri sijui alitoa wapi hizo busara za haraka.

angelimuacha wazee wa kazi wakamtoa ushuzi...

hawa ndo viongozi wa sasa na uongozi wao wa kibabe bila busara.
kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom